Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Mwinyi hajawahi kukaa bila ya nyumba ya serikali baada ya urais.Yaani kutopewa nyumba ndo kuiba?
Wakati Nyerere anastaafu hskujitungia sheria ya mafao ya kujengewa nyumba pindi akistaafu, tuambie Aliiba sh ngapi akiwa madarakani?
Mwinyi alikaa miaka 25 kabla ya kujengewa nyumba na kukabidhiwa hapa majuzi, ina maana alipokuwa rais aliiba ili ajijengee nyumba zake?, Mana wakati wake sheria ya mstaafu kujengewa nyumba haikuwepo
Alikuwa na nyumba ya serikali Oysterbay Laibon Road karibu na Ubalozi wa zamani wa Marekani tangu akiwa rais mpaka anastaafu, nafikiri mpaka leo anayo ile nyumba bado.