Mwinyi hajawahi kukaa bila ya nyumba ya serikali baada ya urais.Yaani kutopewa nyumba ndo kuiba?
Wakati Nyerere anastaafu hskujitungia sheria ya mafao ya kujengewa nyumba pindi akistaafu, tuambie Aliiba sh ngapi akiwa madarakani?
Mwinyi alikaa miaka 25 kabla ya kujengewa nyumba na kukabidhiwa hapa majuzi, ina maana alipokuwa rais aliiba ili ajijengee nyumba zake?, Mana wakati wake sheria ya mstaafu kujengewa nyumba haikuwepo
Utaratibu wa kutunga sheria una mnyororo mreefu, wabunge na bunge ni sehemu ya mnyororo huo tu na wala siyo mnyororo wote!Hii bqrua inaonesha ujinga wa Watanzania wengi.
Sheria zinatungwa bungeni, kwa nini usiwaandikie wabunge wabadilishe hiyo sheria?
Halafu mtu kashaoewa hilonkasri kisheria, kwa nini unamshikia bango?
Kwa nini usibadili sheria hiyo iwe nzuri zaidi kwa maraus wajao?
Halafu, ukiwa na marais ambao hawana uhakika na mafao yao kuwa mazuri, wakikuibia ili wajiandae na maishanya kustaafu, napo utalalamika?
Kabla hajawa rais alikuwa hana nyumba?Mwinyi hajawahi kukaa bila ya nyumba ya serikali baada ya urais.
Alikuwa na nyumba ya serikali Oysterbay Laibon Road karibu na Ubalozi wa zamani wa Marekani tangu akiwa rais mpaka anastaafu, nafikiri mpaka leo anayo ile nyumba bado.
Yani hata kama alikuwa na nyumba 1,000.Kabla hajawa rais alikuwa hana nyumba?
Alikuwa anaishi pangoni?
Na kama hakuwa na nyumba kwa nini hakuwa nayo wakati alikuwa anafanya kazi na kulipwa mshahara?
Mwinyi ana wake wawili, wote walikuwa wanakaa nyumba moja?
Wewe kama mwananchi unatakiwa ku deal na wabunge uliowachagua na wengine walio bungeni wapitishe sheria nzuri, na wakwamishe sheria mbaya kupita.Utaratibu wa kutunga sheria una mnyororo mreefu, wabunge na bunge ni sehemu ya mnyororo huo tu na wala siyo mnyororo wote!
Hata kupitia outcry ya wananchi serikali inayoandaa miswada na kuipeleka bungeni inaweza kuchukua hatua.
I believe wakati wa kuandaa marekebisho ya sheria hiyo, Wadau yaani wastaafu wataulizwa, na kwa kuwa watakuwa na feedback kutoka kwa wananchi kuwa hatupendi kutwishwa zigo la kuwabeba kwa vitu ambavyo wana uwezo nao bila shaka wataweza kutoa mawazo constructive kwenye kurekebisha sheria hiyo!
Kuhusu mtu kuiba madarakani eti kisa atakosa nyumba ya kukaa akistaafu, hiyo ni hoja muflisi kwa sababu marupurupu na mishahara ya rais bado inawatosha kujijengea nyumba zao binafsi. Wakati wa Nyerere hakukuwa na sheria hii ya Kinyonyaji, Tell us Nyerere alituibia sh ngapi? —Alikuwa muadilifu yule na alitosheka na alichopata
Sasa kama mchakato wa sheria unahusisha watu wengi,mbona mnamlaumu mtu mmoja - JK?Utaratibu wa kutunga sheria una mnyororo mreefu, wabunge na bunge ni sehemu ya mnyororo huo tu na wala siyo mnyororo wote!
Hata kupitia outcry ya wananchi serikali inayoandaa miswada na kuipeleka bungeni inaweza kuchukua hatua.
I believe wakati wa kuandaa marekebisho ya sheria hiyo, Wadau yaani wastaafu wataulizwa, na kwa kuwa watakuwa na feedback kutoka kwa wananchi kuwa hatupendi kutwishwa zigo la kuwabeba kwa vitu ambavyo wana uwezo nao bila shaka wataweza kutoa mawazo constructive kwenye kurekebisha sheria hiyo!
Kuhusu mtu kuiba madarakani eti kisa atakosa nyumba ya kukaa akistaafu, hiyo ni hoja muflisi kwa sababu marupurupu na mishahara ya rais bado inawatosha kujijengea nyumba zao binafsi. Wakati wa Nyerere hakukuwa na sheria hii ya Kinyonyaji, Tell us Nyerere alituibia sh ngapi? —Alikuwa muadilifu yule na alitosheka na alichopata
Jibu swali: Kupiga simu uwanjani kuokoa mechi ya Simba na Yanga, na mamilioni ya wavuja jasho aliyotumia kuwajengea wenye nazo, muhimu ni kipi?! Kuokoa kanuni za TFF wakati wa Simba na Yanga; na kuokoa sheria na kanuni za bunge, ni kipi muhimu Jiwe alitakiwa kufanya?!Ukimaliza kubwabwaja, njoeni na Bi Mkubwa wako, raia wanataka hela zao mlizowahadaa na kuwaghilimu, sawa!??? Nasikia ndizo mmetumia kumnunulia mstaafu wenu benzi ya mabilioni. Jiuzuluni, Watanzania wameshawasomeni wizi wenu!!!
Nadhani kwenye kutunga sheria unafahamu process vizuriWewe kama mwananchi unatakiwa ku deal na wabunge uliowachagua na wengine walio bungeni wapitishe sheria nzuri, na wakwamishe sheria mbaya kupita.
Ulifanya kazi hiyo?
Yeye na wenzie ambao nimekwisha elezea sababu za kutowaandikia barua ya wazi katika suala hili ndiyo wanufaika wakuu wa unyonyaji huu, na pia walikuwa wanaplay key role katika formation ya sheria zote nchini, wao ndo wanazisaini na wao walikuwa na uwezo wa kupeleka miswada bungeni kuzirekebishaSasa kama mchakato wa sheria unahusisha watu wengi,mbona mnamlaumu mtu mmoja - JK?
Kwanini hankupaza sauti wakati nyumba hizo zinajengwa?.Mlikuwa mnamuogopa Jiwe?Yeye na wenzie ambao nimekwisha elezea sababu za kutowaandikia barua ya wazi katika suala hili ndiyo wanufaika wakuu wa unyonyaji huu, na pia walikuwa wanaplay key roke katika formation ya sheria zote nchini, wao ndo wanazisaini na wao walikuwa na uwezo wa kupeleka midwada bungeni kuzirekebisha
Huwa hakuna time limit ya kukemea udhalimuKwanini hankupaza sauti wakati nyumba hizo zinajengwa?.Mlikuwa mnamuogopa Jiwe?
Nyerere na Mkapa ni marehemu hawawezi kusoma hii barua ya waziWewe mleta mada una roho mbaya Sana,wote waliojengewa nyumba na serikali kuanzia
Nyerere
Mwinyi
Mkapa
Umemuona jakaya tu[emoji34][emoji34] acha roho ya chuki,unapoamua kukosoa kosoa wote tu.
Kama ni kijana una roho mbaya hivyo,ukiwa mzee lazima itakua mchawi tu.
Sawa lakini lazima tuhoji matumizi ya kodi zetu. Labda kama wewe unakaa kwa shemeji...Hiyo nyumba hata isingejengwa.
Bado wewe na ukoo wako mngeendelea kubaki masikini.
Kanchi katamu kweli, ukiwa kiongozi unakula unavyotaka huku ukiwadanganya wananchi keki ya taifa ni ndogo.Ila lakini haka ka nchi!
Alikuwa anahalalisha ujenzi wa airport ya kijijini.Wote ni Wanyonyaji tu. Hivi Magufuli hakujiuliza kwa nini we zake hawakujengeana mpaka yeye akaamua kuwajengea wote.... Tatizo lilikuwa wapi?
Kikwete anadai ni haki yake, mbona sasa yeye hakumjengea Mkapa na Mwinyi mpaka wakasubiri Magufuli awajengee...!!
Kwa maoni yangu binafsi, huu ni muendelezo wa kujirundikia mali na matumizi mbaya ya pesa za wananchi.
As it is siyo dhuluma bali ni haki yake kisheria. Kama unabisha nenda kesho fungua kesi ya kudai au anzisha maandamanoNani alikudanganya kuna kuchelewa katika kupinga dhuluma, wizi na ufisadi unaofanywa katika nchi yoyote ile dhidi ya raia!?
As it is siyo dhuluma bali ni haki yake kisheria. Kama unabisha nenda kesho fungua kesi ya kudai au anzisha maandamano