Nakuuliza hivi, hiyo sheria ilivyopitishwa bungeni uliipinga?Nadhani kwenye kutunga sheria unafahamu process vizuri
Process:
1. Muswada ni wa serikali au Mbunge
2. Kupitisha Muswada ni bunge
3. Kusaini Muswada ni Raisi
Kurekebisha Sheria:
1. Mapendekezo ya mabadiliko ni serikali au Mbunge
2. kupitisha Mabadiliko ni Bunge
3. Kusaini Mabadiliko ni Rais
Jakaya akiwa rais serikali yake haijawahi kupeleka muswada bungeni wa kubadili hiyo sheria ya Kujipa mahekalu.
Huwezi kushiriki kutunga sheria mbovu au kuibariki, kisha ukajificha kwenye sheria hiyohiyo kufanya Magumashi, halafu ukiulizwa kuhusu magumashi yako unaisingizia sheria kwa kusema aah, sheria ndivyo inavyotaka sasa nitafanyaje?
Tunachotaka ufanye ukatae matunda ya hiyo sheria ya dhulma kwa kupiga bei hilo hekalu pesa zikasaidie kutatua kero za wananchi!
Hakuna time limit ya kupinga sheria za kidhalimu na matokeo ya sheria hizo.Nakuukiza hivi, hiyo sheria ilivyopitishwa bungeni uliipinga?
Na sasa hivi umefanya nini kuibadilishq bungeni?
Kwa nini unamshambulia Jakaya kama vile Jakaya kasaini peke yake kujimilikisha hiyo nyumba bila mlolongo wa kupitisha sheria haujafuatwa?
Wqkati mlolingo umefuatwa, bila kificho, wananchi wamejua, hawajapinga popote pale in significant numbers kupitishwa kwa sheria hiyo.
Ulitaka Jakaya akatae matakwa ya wawakilishi wa wananchi?
Kumbe jiwe rais wa wanyonge ndiyo ametekeleza haya? Vipi nyerere inamaana hakujengewa?Sheria ilikuwepo lakini marais wote waliona Haya kuitekeleza, akaja Jiwe mwenye PhD ya unafiki akawajengea wote Kwa mpigo. Lawama ni Kwa Jiwe sio JK
Nyerere alijengewa kama Zawadi, haikuwa lazima ajengewe, na haikuwa sheria ajengewe! . Ila hawa wengine waliofuata wakaigeuza hiyo act kuwa ni stahiki yao ya msingi hata kama wana mijumba mingi yao binafsi!Kumbe jiwe rais wa wanyonge ndiyo ametekeleza haya? Vipi nyerere inamaana hakujengewa?
Walizitunga wao!Sheria za inchi hii ndio tatizo
Hakuna time limit ya kukemea jambo lisilofaaIla na wewe mtoa mada Kama hiyo Sheria ilivyotungwa hukuona Kama tatizo, alipokabidhiwa jumba mwinyi na mkapa bado hukuona Kama ni tatizo, hukutoa neno kwa mtekelezaji yaani jpm basi una chuki na jk au una lako Jambo,
Hiyo Sheria ilipitishwa mwaka gani? Ila Kama wengine wamejengewa basi hakuna namna, maana kumtaka jk asipokee wakati wengine wanazo inaonekana una lako Jambo na jkNyerere alijengewa kama Zawadi, haikuwa lazima ajengewe, na haikuwa sheria ajengewe! . Ila hawa wengine waliofuata wakaigeuza hiyo act kuwa ni stahiki yao ya msingi hata kama wana mijumba mingi yao binafsi!
Wengine waliojengewa kwa mujibu wa hiyo sheria ni Mkapa na Mwinyi.Hiyo Sheria ilipitishwa mwaka gani? Ila Kama wengine wamejengewa basi hakuna namna, maana kumtaka jk asipokee wakati wengine wanazo inaonekana una lako Jambo na jk
Ungeweka na kapicha ingependeza zaidi
Ndio tatizo la watanzania huwa tuna zile siasa za msimu. Hili suala likipoa mleta mada atasahau kuwa alishaanzisha wazo lake jamii forum.Ila na wewe mtoa mada Kama hiyo Sheria ilivyotungwa hukuona Kama tatizo, alipokabidhiwa jumba mwinyi na mkapa bado hukuona Kama ni tatizo, hukutoa neno kwa mtekelezaji yaani jpm basi una chuki na jk au una lako Jambo,
Ha ha ha! Unamuonea. Mbona ulikuwa kimya mkapa alipokuwa hai? Unatakiwa unbalance. Mwinyi unamsamehe kwa vile Mzee. Kikwete anakaribia 70. No Kijana kumbe. Uzee unaanzia miaka mingapi?Mkapa ni marehemu hawezi kusoma au kujibu hii barua ya wazi
Mwinyi ni mzee sana na hana kumbukumbu nzuri.
Ila Jakaya yupo, ana afya tele, kwa hiyo ujumbe huu na umfikie popote alipo nchini maana huwa namuona ana smartphone, hii inaonyesha kuwa huwa anaingia mitandaoni na atatusoma hapa!
Nimewahi kusikia bwana mmoja akishukuru baba yake kufa ghafla.Mwalimu akifufuka hapa anaweza kupata mshtuko na kufa tena.......hivi hawa watu ndo wamekulia kwenye itikadi za mwalimu kweli? wazee wa kujivinjari na marcedes benz na mahekalu huku mtanzania akiendelea kuogelea kwenye lindi la ufukara..
JPM alikuwa akitekeleza Sharma waliyojiwekea watangulizi wake kuwapima karma walikuwa serious kuzipokea Healy hizo, hii bagosha! Akashangaa wakazipokea! And wanaendelea kuzipokea Bilal haye!Si Magufuli ndio alimjengea
JK hakuona haya Bali alikuwa goigoi kutekeleza mipango ya maendeleo na sharia, kwani alikuwa busy angani kuzunguka Dunia! JPM ngosha ni bingwa wa kutekeleza mipango yote ya maendeleo na ni msomi mzuri na mfuatiliaji wa mambo na hivyo kuyaibua hata yaliyozikwa!Hata JK a atakuwa kuona haya... Hii ni kama vile dhuluma kwa walipa kodi... Ndiyo maana yeye hakufanya hivyo kwa watangulizi wake.
Kama kweli serikali inataka kuwatunza basi iwaweke kwenye nyumba za serikali mpaka Siku wao na Waja wao waondoke duniani. Yaani hizo nyumba ziwe ni mali ya serikali.