Mzee Juma Duni Haji: Wanaotaka Mbowe aendelee kusota Mahabusu wako Ulaya

Mzee Juma Duni Haji: Wanaotaka Mbowe aendelee kusota Mahabusu wako Ulaya

Mkuu kuna faida ya Mbowe kuwepo mahabusu ,michango ni mingi saaana hadi Mbowe anajenga mji wake pale machame ,wewe uliona wapi mfungwa anajenga ? Ndio ujue kwa nini nae anajifanya kungangania mahabusu mkuu
Akili za funza hizi.
Mbowe ameanza kujenga ile ghorofa yake pale barabara ya kwenda Machame miaka kadhaa nyuma.
Tumia akili dada usipotoshe watu.
Mambo ya ujenzi kwa Mbowe ni kitu cha kawaida ameanza kujenga kabla ya wewe hujavunja ungo.
 
Juma Duni Haji amesema akipata nafasi yoyote ya kumuwezesha Freeman Mbowe kutoka mahabusu na kuungana na familia yake, ataitumia bila kujali kama atatukanwa ama lah.

Amesema serikali haijawahi kukiri kukosea, na wanaotaka aendelee kukaa mahabusu wako Ulaya wakila kuku na
viyoyozi.

Mzee wetu anataka kutuaminisha ni nani hasa aliyepo huko Ulaya anaependa Mbowe aendelee kushikiriwa mahabusu!

View attachment 2093619
Kwa hiyo sabaya ndio anafaa kusota jela wengine wakaungane na familia zao
 
Juma Duni Haji amesema akipata nafasi yoyote ya kumuwezesha Freeman Mbowe kutoka mahabusu na kuungana na familia yake, ataitumia bila kujali kama atatukanwa ama lah.

Amesema serikali haijawahi kukiri kukosea, na wanaotaka aendelee kukaa mahabusu wako Ulaya wakila kuku na
viyoyozi.

Mzee wetu anataka kutuaminisha ni nani hasa aliyepo huko Ulaya anaependa Mbowe aendelee kushikiriwa mahabusu!

View attachment 2093619
Well said Mzee wetu Juma Duni, Mwenyekiti wa Chama Taifa yuko ndani kwa ile wanaita kesi ya kubambika, mwanasheria mkuu wa chama yuko nje kisa ametumiwa sms anataka kuuliwa anaandika tu kwa youtube na twitter kumtetea mbowe haiwezi kumsaidia.,

Mimi nafkiri mzee Duni ametumwa na Mbowe aseme maneno haya kama kweli wenzake wanamjali watoke huko mafichoni., maalim seif alitishiwa sana maisha yake na kila aina madhila mpaka kutegewa masumu lakini aliamua liwalo na liwe alikuwa Zanzibar muda wotee.

Watanganyika ni mijitu mijoga sana, Juzi chadema wametangaza wana wanachama milioni 8 nchini hawa watu hawaonekani ata ukiitisha maandamano hawatoki ata watu 5., Shuwain kabisa..,
 
Tuwe wa kweli hivi Mbowe anapoendelea kusota jela tunafurahia ili tujifunze nini hasa, Demokrasia ya Tanzania sio ya uingereza hilo somo halitasaidia, ni bora atoke tuu.
Huko jela Kuna watu wengi wanasota na hatuoni faida yake. Sasa unaposema huoni faida ya mbowe kuwa mahabusu Bora atoke, hao wengine umeona faida gani wanavyokaa gerezani kusubiri mahakama itende haki?
 
Kwann kikwete asiitwe mdini? kwann mzee Mwinyi asiitwe mdini? kwann Salmin Ahmed asiitwe mdini? kwann Maalimu Seif hakuitwa mdini? unafikiri hoja ya kwamba zito ni mdini,mkabila,na mlafi kasingiziwa?
Maalim seif na cuf yake ilikuwa udini haswa, Zitto mtu wa fursa tu kwa imani ipi aliyonayo hadi akawa mdini.
 
Fundi, hebu tulia akili usome uelewe anachokijibu shahidi, huoni kwamba anayakana maelezo yake? Huoni kwamba anashangaa?

Nimeelewa alichokijibu shahidi ila sijaelewa kwa nini umetumia majibu yake kumjibu Fundi. Naona kama vile unakubaliana na mtizamo kuwa Chadema ndio wanaomshikilia Mbowe. Na kuwa Lissu na Lema ndio wanaozuia asiachiliwe. Hivyo baada ya shahidi wa Chadema kubanwa na Kibatala, inabidi Chadema wamuachie Freema Mbowe.

Amandla...
 
Nimeelewa alichokijibu shahidi ila sijaelewa kwa nini umetumia majibu yake kumjibu Fundi. Naona kama vile unakubaliana na mtizamo kuwa Chadema ndio wanaomshikilia Mbowe. Na kuwa Lissu na Lema ndio wanaozuia asiachiliwe.

Amandla...
Duh! Fundi utakua mzito kidogo au utakua na majibu yako mwenyewe
 
Kwann kikwete asiitwe mdini? kwann mzee Mwinyi asiitwe mdini? kwann Salmin Ahmed asiitwe mdini? kwann Maalimu Seif hakuitwa mdini? unafikiri hoja ya kwamba zito ni mdini,mkabila,na mlafi kasingiziwa?
Kikwete,Maalim Seif,Ali Hassan Mwinyi pia mliwaita wadini. Acheni unafiki na wivu wa kisengerea. Sasa kama babu duni udini Wake uko wapi?
 
Nimeelewa alichokijibu shahidi ila sijaelewa kwa nini umetumia majibu yake kumjibu Fundi. Naona kama vile unakubaliana na mtizamo kuwa Chadema ndio wanaomshikilia Mbowe. Na kuwa Lissu na Lema ndio wanaozuia asiachiliwe.

Amandla...
Duh! Fundi utakua mzito kidogo au utakua na majibu yako mwenyewe
 
Duni kishakuwa kundi moja na zitto hvyo undumilakuwili, udini,na ukabila lazima umvae. Hawezi kuwa competent tena, kila kitu wanchoangalia,wanaangalia kwa ulafi wa fursa binafsi.
Hutaki Mbowe atoke?

Basi wacha kesi iendelee tuone mwisho wake
 
Duh! Fundi utakua mzito kidogo au utakua na majibu yako mwenyewe
Nivumilie. Ninavyokuelewa ni kuwa Chadema wanatakiwa kumuachia Mbowe baada ya shahidi wao kubanwa kisawasawa na wakili Kibatala. Na kuwa Lissu na Lema waache mizengwe ili Mbowe aachiwe. Ndio maana malalamiko mengi yanaelekezwa kwa Chadema na watu kama Lissu na Lema kuwa wao ndio wanaomshikilia Mbowe na ni furaha kwao akiendelea kubaki ndani. DPP anafuata maagizo ya Chadema hvyo Chadema wangetaka Mbowe angeishakuwa nje.

Amandla...
 
Hutaki Mbowe atoke?

Basi wacha kesi iendelee tuone mwisho wake
Ukiondoa wanao mshikilia sidhani kama kuna mtu ambae hataki Mbowe atoke. Tofauti ni namna atakavyotoka. Chama chake kinasema kwa sababu hajafanya kosa lolote basi DPP atangaze tu kuwa hana nia ya kuendelea na kesi hivyo ataachiwa. Wengine wanasema kuwa aombe msamaha tu hata kama anajua kuwa hajafanya kosa ili atoke. Shida ya kuomba msamaha ni inamaanisha umekiri kuwa umetenda kosa uliloshitakiwa. Kwa sababu hiyo Mbowe atajulikana kuwa ni gaidi kwa kwenda mbele. Sidhani kama kuna watu wanakataa watu kufanya wanaloweza ili Mbowe aachiwe mradi tuu hawamlishi maneno kuwa ameomba msamaha. Ingekuwa hawataki atoke wasingefanya jitihada kubwa kuomba mataifa ya nje kuishinikiza serikali imuachie Mbowe. Au wasingeendelea kupaza sauti kuwa " Mbowe sio Gaidi".

Amandla...
 
Kosa kubwa alikofanya maalim seif Ni kuwapeleka wafuasi wake ACT..Wazanzibar wapinzani Wana spirit ya haki ,ukweli na true opposition ndani ya nafsi zao..Sasa Hawa wakina zitto ndumila kuwili wanaojifanya wapinzani kumbe wapigaji hawawezi endana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hakukosea. Priority ya wakina Maalim ni siasa za Pemba na Unguja, za bara hawana mpango nazo. Chadema wasingekubali hilo ila Zitto aliona ni njia ya kupata nafasi za uhakika bungeni kupitia Pemba. Gharama yake ni kupata kura pungufu ya 150 katika uchaguzi bara.

Amandla...
 
Well said Mzee wetu Juma Duni, Mwenyekiti wa Chama Taifa yuko ndani kwa ile wanaita kesi ya kubambika, mwanasheria mkuu wa chama yuko nje kisa ametumiwa sms anataka kuuliwa anaandika tu kwa youtube na twitter kumtetea mbowe haiwezi kumsaidia.,

Mimi nafkiri mzee Duni ametumwa na Mbowe aseme maneno haya kama kweli wenzake wanamjali watoke huko mafichoni., maalim seif alitishiwa sana maisha yake na kila aina madhila mpaka kutegewa masumu lakini aliamua liwalo na liwe alikuwa Zanzibar muda wotee.

Watanganyika ni mijitu mijoga sana, Juzi chadema wametangaza wana wanachama milioni 8 nchini hawa watu hawaonekani ata ukiitisha maandamano hawatoki ata watu 5., Shuwain kabisa..,
Wewe na huyo Mzee wako Duni hamna akili au kama mnazo basi ni duni kama jina lake. Hamumjui Zitto Kabwe nyie wapemba,huyo amesha kuuzeni kwa CCM. Kazi yote aliyofanya Maalim Seif enzi ya uhai wake imefutwa na huyo Mrundi Zitto Kabwe.
 
Back
Top Bottom