Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Binadamu wote ni Homo SapiensHadi sas binadam wa leo wa kiafrika anatofauti gani na HOMO SAPIENS
Umeandika uongo mtupu,Kulikua na Himaya na mataifa makubwa tu ya Ki Africa, mengine Yalikua yameendelea kushinda hata baadhi ya Mataifa ya Ulaya.
Egpty, Ethiopia ya kale (Aksum), Mali Timbuktu, Zimbabwe Stone town, Kilwa etc...
Homo Sapien Adam au?!Binadamu wote ni Homo Sapiens
[emoji57][emoji57][emoji57]Kulikua na Himaya na mataifa makubwa tu ya Ki Africa, mengine Yalikua yameendelea kushinda hata baadhi ya Mataifa ya Ulaya...
Muongo mkubwa huyu, sio kuwa hata nusu, hata zilizowahi kua hata robo ya roman empire ni almost mbili tu, zingine zilikua 5% ikizidi sana 10%.Umeandika uongo mtupu,
Hakuna Himaya ya Africa iliyowahi kukaribia hata nusu ya Roman Empire, Himaya ya Roma walikuwa na barabara bora kuliko sehemu kubwa ya Africa leo hii, walikuwa na mavazi bora ya kijeshi, walikuwa na maktaba bora na nyingi Kuliko sehemu kubwa ya Africa.
Wazungu walikuja Africa na cannons na bundukiKulikua na Himaya na mataifa makubwa tu ya Ki Africa, mengine Yalikua yameendelea kushinda hata baadhi ya Mataifa ya Ulaya...
Kwanini hayakudumu? Mbona Watu wa Asia walikutana na hizo Kash Kash za ukoloni ila asili yao bado ipo?Kulikua na Himaya na mataifa makubwa tu ya Ki Africa, mengine Yalikua yameendelea kushinda hata baadhi ya Mataifa ya Ulaya.
Egpty, Ethiopia ya kale (Aksum), Mali Timbuktu, Zimbabwe Stone town, Kilwa etc.
Kwa picha
1. Zimbabwe Ruins za miji ya Zamani
View attachment 3174031
2. Timbuktu
View attachment 3174033
3. Aksum Empire
View attachment 3174036
4. Kilwa
View attachment 3174037
Wazungu wanakuja Africa wanakuta Chuma kipo advanced kuliko kwao wakawa wanaki export kwenda India na mataifa mbalimbali kutengeneza Bunduki.
Kabla ya wazungu kuja Kulikua na Empire 4 kubwa Duniani ambazo zina Balance Power, Aksum, Roma, Persia na China, Aksum (Africa) ilikua na Nguvu kama Roma na Persia.
So hawa wanaofanya Revisionism kwamba Ukoloni ulisaidia Mataifa wengi ni mazombie wa media za west ambao kila wanachofanya west wao wanakimeza kama kilivyo na kukiabudu.
Hizi hesabu za asilimia mnatumia calculator gani na factor zipi ,maana majibu yote Hayana hata desimaliMuongo mkubwa huyu, sio kuwa hata nusu, hata zilizowahi kua hata robo ya roman empire ni almost mbili tu, zingine zilikua 5% ikizidi sana 10%.
Kudumu vipi yaani, si picha hizo nimekuwekea? Kama Zimepigwa picha ina maana zimedumu hadi sasa?Kwanini hayakudumu? Mbona Watu wa Asia walikutana na hizo Kash Kash za ukoloni ila asili yao bado ipo?
1. Kipindi wazungu wa Mwanzo kina Vasco da Gama wanakuja Bunduki ilishagunduliwa ila sio widely Available ilikuwa bado ni Expensive na huwezi ku Afford jeshi zima, miaka ya 1400Wazungu walikuja Africa na cannons na bunduki
Sijui kama unajua unachosema. Nenda Misri uone zile pyramid ambazo hata leo wazungu hawajui zilijengwa vipi. Ni watu wachache wasiojua historia au wanaojikana wanaoona kama Afrika ilikuwa haina kitu. Utakuta huyo mzee ni yale mazalia ya kiarabu. Yupo mmoja kariakoo niliwahi kumsikia akijivuna kuwa waarabu wameendelea kwa sababu wana kitabu yaani quran nikashangaa kwanini asirudi kwao uarabuni anakokanwa na kuitwa mtumwa.Umeandika uongo mtupu,
Hakuna Himaya ya Africa iliyowahi kukaribia hata nusu ya Roman Empire, Himaya ya Roma walikuwa na barabara bora kuliko sehemu kubwa ya Africa leo hii, walikuwa na mavazi bora ya kijeshi, walikuwa na maktaba bora na nyingi Kuliko sehemu kubwa ya Africa.
Kupitia aqueducts raia wa himaya ya Roma walikuwa wanapata maji mengi na safi kuliko raia wengi wa Africa leo hii.
Kama walikuwa advanced ikawaje wakatawaliwa?Kulikua na Himaya na mataifa makubwa tu ya Ki Africa, mengine Yalikua yameendelea kushinda hata baadhi ya Mataifa ya Ulaya.
Egpty, Ethiopia ya kale (Aksum), Mali Timbuktu, Zimbabwe Stone town, Kilwa etc.
Kwa picha
1. Zimbabwe Ruins za miji ya Zamani
View attachment 3174031
2. Timbuktu
View attachment 3174033
3. Aksum Empire
View attachment 3174036
4. Kilwa
View attachment 3174037
Wazungu wanakuja Africa wanakuta Chuma kipo advanced kuliko kwao wakawa wanaki export kwenda India na mataifa mbalimbali kutengeneza Bunduki.
Kabla ya wazungu kuja Kulikua na Empire 4 kubwa Duniani ambazo zina Balance Power, Aksum, Roma, Persia na China, Aksum (Africa) ilikua na Nguvu kama Roma na Persia.
So hawa wanaofanya Revisionism kwamba Ukoloni ulisaidia Mataifa wengi ni mazombie wa media za west ambao kila wanachofanya west wao wanakimeza kama kilivyo na kukiabudu.
Mbona hata wazungu wenyewe wametawaliwa tena na waarabu kwa zaidi ya miaka 500?Kama walikuwa advanced ikawaje wakatawaliwa?
Haya mambo ya historia hayatasaidia lolote kwa sasa.Mbona hata wazungu wenyewe wametawaliwa tena na waarabu kwa zaidi ya miaka 500?