Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
Wengine hawana hiyo background ya revolutionBinadamu wote ni Homo Sapiens
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine hawana hiyo background ya revolutionBinadamu wote ni Homo Sapiens
Yes ,ukisoma foundations of operation research mzungu anaamini only the present situations can predict the future!tujipange,historia haitatusaidia kumove walipo waoHaya mambo ya historia hayatasaidia lolote kwa sasa.
1. Kipindi wazungu wa Mwanzo kina Vasco da Gama wanakuja Bunduki ilishagunduliwa ila sio widely Available ilikuwa bado ni Expensive na huwezi ku Afford jeshi zima, miaka ya 1400
2. Wareno walivyokuja Africa Walikuta Chuma kinachofuliwa ni high Quality kuliko vyuma vyao, solution ni ku Export Chuma cha Africa kwenye Viwanda vyao.
3. Issue ya Chuma cha Africa ni stori ndefu mno ila ni Fact at that time Watu Africa walikua juu kwenye Ufuaji chuma. Jiulize swali moja kwanini Wakoloni waliwakata Mikono Blacksmith wa KI Africa? Why blacksmith na sio field nyengine?
Kilowapa Uwezo wa kutengeneza empire kubwa tu ambazo zilidumu kwa Mamia ya miaka, Ureno wakati wanatia Mguu West Africa walikuta Empire zao ni sawa na Empire za Ulaya pre Industrial Revolution, Usisahau Moors ( Wa Africa wa North na West Nchi kama Mali) wametawala Spain karne 8 kuanzia miaka ya 700-1400, Hata Wazungu hawaja Tawala Africa kiasi kirefu hivyo, na Elimu waliyoipata Wazungu Spain wakati huu ndio iliotengeza Civilization ya sasa.Nisadie mkuu, hivi chuma cha Waafrika kiliwafikisha wapi?