Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Si kweli. Yanasaidia kuepuka baadhi ya wenzetu kutudhalilisha na kujikweza mwanangu.Haya mambo ya historia hayatasaidia lolote kwa sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweli. Yanasaidia kuepuka baadhi ya wenzetu kutudhalilisha na kujikweza mwanangu.Haya mambo ya historia hayatasaidia lolote kwa sasa.
Kwamba unabishana na Historians? Huwa napenda nikiongea vitu nije na ushahidi na wewe naomba unipe ushahidi wa kupinga na sio uelewa wako kwa kuangalia movies na Series.Umeandika uongo mtupu,
Hakuna Himaya ya Africa iliyowahi kukaribia hata nusu ya Roman Empire, Himaya ya Roma walikuwa na barabara bora kuliko sehemu kubwa ya Africa leo hii, walikuwa na mavazi bora ya kijeshi, walikuwa na maktaba bora na nyingi Kuliko sehemu kubwa ya Africa.
Kupitia aqueducts raia wa himaya ya Roma walikuwa wanapata maji mengi na safi kuliko raia wengi wa Africa leo hii.
Kila mtu katawaliwa, kutesa kwa zamu,Kama walikuwa advanced ikawaje wakatawaliwa?
Kama Hoja Empire kuwa Advanced ni ukubwa basi leo Urusi eneo lake ni mara mbili ya Usa, hivyo Usa hana Technology wala chochote anachozidi Mrusi? Nitakua sahihi?Muongo mkubwa huyu, sio kuwa hata nusu, hata zilizowahi kua hata robo ya roman empire ni almost mbili tu, zingine zilikua 5% ikizidi sana 10%.
Nani Kasema Africa haikuwa na kitu?Sijui kama unajua unachosema. Nenda Misri uone zile pyramid ambazo hata leo wazungu hawajui zilijengwa vipi. Ni watu wachache wasiojua historia au wanaojikana wanaoona kama Afrika ilikuwa haina kitu.
Achana na hizo historia za kubumba na kuungaunga,Kwamba unabishana na Historians? Huwa napenda nikiongea vitu nije na ushahidi na wewe naomba unipe ushahidi wa kupinga na sio uelewa wako kwa kuangalia movies na Series.
1. Watu walioshi kipindi hicho Wali consider Super power wanne Roma, Aksumite, Han (China) na sasanide (Iran) , hii ilikuwa ni karne ya 3, source
Munro-Hay, Stuart (1991). Aksum: An African Civilisation of Late Antiquity. Edinburgh: Edinburgh University Press.
2. Aksum Wali miliki Trade route zote za red Sea mpaka Bahari ya Hindi, kama unavyoona Leo Houth Wakipiga Pin Meli na wao walimiliki hilo eneo wakati wao
View attachment 3174075
3. Hela yao ilitumika Kimataifa
led the Persian religious leader Mani to label
Aksum as the third of the kingdoms of the world in the later third century; and something of this reputation is substantiated by the production of an independent coinage (Ch. 9) at about this time. It paralleled the country with the few other contemporary states with the wealth and political status to issue gold coinage; Rome, Persia (to a lesser degree), and, into the third century, the Kushana kingdom in northern India" (Munro-Hay, 1991: 13).
So wakati watu wanatumia barter trade, wao walikua na Coin na inatumika kimataifa, watu wote waliopita hapo walitumia hio Coin. Hizi coin zimekuwa Excavated as far as India.
4. Walitumia cement na ujenzi mwengine bora kwenye Majengo yao obelisk zipo hadi leo ambazo ni kama Equivalent ya Ghorofa 10
View attachment 3174078
Na hio Obelisk ya mita 33 ndio monolithic building ndefu zaidi kupata kujengwa kipindi cha zamani, zinazidi hadi Za Egpty. kama Empire nyengine zilishindwa kufanya hivyo bado unaichukulia poa Aksum?
5. Kushite Empire ambayo ilikua ikiionea Roma na Kuipiga ilikuja kuwa Conquered na Aksum
![]()
The African Kingdom of Kush that Humbled Rome: Legions in the Sands
Following the annexation of Egypt, the Roman army attempted to push the border south. But the warlike kingdom of Kush fought back, forcing Rome to abandon its plans for good.www.thecollector.com
6. Katika Uhai wake Wote Aksum Rome hawajawahi kuigusa Na siku zote walitaka kuwa na Amani nao japo walipakana.
7. Aksum mwaka 525 ilivamia Himyar (Yemen ya sasa) na kumpiga Mfalme Myahudi aliyekua akiuwa Wakristo, Mfalme huyo Alikuwa supported na Sasanid, zaidi ya Jeshi La watu 100,000 na Meli 70 zilitumika.
8. Walikua na Herufi zao, Dini yao, Vitabu vyao etc.
So thinking Aksum haikuwa on par Na wengine ni Ujinga wa Kutojua Historia, Bottom Line Roma wenyewe waliwatreat Aksum kama Equal.
Sheikh wangu acha uongo.Kulikua na Himaya na mataifa makubwa tu ya Ki Africa, mengine Yalikua yameendelea kushinda hata baadhi ya Mataifa ya Ulaya.
Egpty, Ethiopia ya kale (Aksum), Mali Timbuktu, Zimbabwe Stone town, Kilwa etc.
Kwa picha
1. Zimbabwe Ruins za miji ya Zamani
View attachment 3174031
2. Timbuktu
View attachment 3174033
3. Aksum Empire
View attachment 3174036
4. Kilwa
View attachment 3174037
Wazungu wanakuja Africa wanakuta Chuma kipo advanced kuliko kwao wakawa wanaki export kwenda India na mataifa mbalimbali kutengeneza Bunduki.
Kabla ya wazungu kuja Kulikua na Empire 4 kubwa Duniani ambazo zina Balance Power, Aksum, Roma, Persia na China, Aksum (Africa) ilikua na Nguvu kama Roma na Persia.
So hawa wanaofanya Revisionism kwamba Ukoloni ulisaidia Mataifa wengi ni mazombie wa media za west ambao kila wanachofanya west wao wanakimeza kama kilivyo na kukiabudu.
Mkuu maktaba kubwa ya kale mpaka sasa ipo Mali na ingine ilikuwepo Misri warumi wakachoma moto.Umeandika uongo mtupu,
Hakuna Himaya ya Africa iliyowahi kukaribia hata nusu ya Roman Empire, Himaya ya Roma walikuwa na barabara bora kuliko sehemu kubwa ya Africa leo hii, walikuwa na mavazi bora ya kijeshi, walikuwa na maktaba bora na nyingi Kuliko sehemu kubwa ya Africa.
Kupitia aqueducts raia wa himaya ya Roma walikuwa wanapata maji mengi na safi kuliko raia wengi wa Africa leo hii.
🌤️🙋♂️🎯👌👍👏👊🤝🙏💐🗼🛡️Kulikua na Himaya na mataifa makubwa tu ya Ki Africa, mengine Yalikua yameendelea kushinda hata baadhi ya Mataifa ya Ulaya.
Egpty, Ethiopia ya kale (Aksum), Mali Timbuktu, Zimbabwe Stone town, Kilwa etc.
Kwa picha
1. Zimbabwe Ruins za miji ya Zamani
View attachment 3174031
2. Timbuktu
View attachment 3174033
3. Aksum Empire
View attachment 3174036
4. Kilwa
View attachment 3174037
Wazungu wanakuja Africa wanakuta Chuma kipo advanced kuliko kwao wakawa wanaki export kwenda India na mataifa mbalimbali kutengeneza Bunduki.
Kabla ya wazungu kuja Kulikua na Empire 4 kubwa Duniani ambazo zina Balance Power, Aksum, Roma, Persia na China, Aksum (Africa) ilikua na Nguvu kama Roma na Persia.
So hawa wanaofanya Revisionism kwamba Ukoloni ulisaidia Mataifa wengi ni mazombie wa media za west ambao kila wanachofanya west wao wanakimeza kama kilivyo na kukiabudu.
Mkuu rudi ufanye utafiti vizuri!!Umeandika uongo mtupu,
Hakuna Himaya ya Africa iliyowahi kukaribia hata nusu ya Roman Empire, Himaya ya Roma walikuwa na barabara bora kuliko sehemu kubwa ya Africa leo hii, walikuwa na mavazi bora ya kijeshi, walikuwa na maktaba bora na nyingi Kuliko sehemu kubwa ya Africa.
Kupitia aqueducts raia wa himaya ya Roma walikuwa wanapata maji mengi na safi kuliko raia wengi wa Africa leo hii.
Mkuu una mahaba na Roma. Ugiriki waikuwa na rekodi.Akina Plato Sokret nk si ndio wanakumbu kumbu za zamani zaidi ya Roma ? Ungeniambia Roma olikuwa Hegemony culture na ku swallow other culture. Kama USA leo anavyotumia rasilimali za dunia nzima kujitangaza. Miaka 2000 ijayo dunia itaamini USA ndio watu wenye akili zaidi.Roman Empire imeacha legacy
Maktaba za mali ni za juzi juzi tu hapo, maandiko mengi yakiwa ni ya hadithi za kiislamu, maandiko ya zamani ya Himaya ya Rumi ni kabla hata Yesu hajazaliwa.Mkuu maktaba kubwa ya kale mpaka sasa ipo Mali na ingine ilikuwepo Misri warumi wakachoma moto.
Hayo uliyopost ni magofu mkuu, kiufupi ni majengo ambayo hatuyatumiii wakati jiji kama london mpaka leo wanamajengo ya kihistoria ambayo na ukale wake yanatumikaKudumu vipi yaani, si picha hizo nimekuwekea? Kama Zimepigwa picha ina maana zimedumu hadi sasa?
Kwani asili ya Africa imebadilika? Kuna wa Africa wanaishi karne Kadhaa North America na bado wanapenda Ngoma, asili ipo vile vile it's just kuna watu wanataka usifuate Natural Evolution yako bali uwafuate wao wanacho taka.
Kuandika yetu katukataza nani?History ( His story ) based on white superma...
MfanoMaktaba za mali ni za juzi juzi tu hapo, maandiko mengi yakiwa ni ya hadithi za kiislamu, maandiko ya zamani ya Himaya ya Rumi ni kabla hata Yesu hajazaliwa.
Tunaongelea empires, Jamii kadhaa za kale zilikuwa zina watu wanoandika mambo mbalimbali ila katika level ya empire waliokuwa bora katika utunzaji na uhifadhi kwa mpangilio wa hizo kumbukumbu ni Warumi. Hata hivyo utawala wa Wagiriki ulimezwa na dola la Kirumi.Mkuu una mahaba na Roma. Ugiriki waikuwa na rekodi.Akina Plato Sokret nk si ndio wanakumbu kumbu za zamani zaidi ya Roma ?
Hapa ndugu yangu tuongelee sisi wa Sub-sahara huku chini , hao Wamisri sio wenzetu maana waliingiliana sana kitamaduni na uchumi na watu wa bara la ulaya na Asia (kina Plato walisoma Misri); tujiongelee sisi wa huku chini , yaani hata hiyo Baganda kingdom ya waganda ukienda kuangalia hamna mabaki yoyote ya msingi ya ujenzi wa maana ambao tumeubeba mpaka leo, empire zote za kusini mwa jangwa la Sahara utaonesha evidence ya vifusi vifusi na mawe tu na hamna tulichokibeba toka kale kuja Karne ya 21Sijui kama unajua unachosema. Nenda Misri uone zile pyramid ambazo hata leo wazungu hawajui zilijengwa vipi. Ni watu wachache wasiojua historia au wanaojikana wanaoona kama Afrika ilikuwa haina kitu. Utakuta huyo mzee ni yale mazalia ya kiarabu. Yupo mmoja kariakoo niliwahi kumsikia akijivuna kuwa waarabu wameendelea kwa sababu wana kitabu yaani quran nikashangaa kwanini asirudi kwao uarabuni anakokanwa na kuitwa mtumwa.
Kwa hio hata waafrika inawezekana walikuwa sehemu ya hio dola,kwa h99 nso wamechangia hizo documents.Kama suala ni kumezwa.Tunaongelea empires, Jamii kadhaa za kale zilikuwa zina watu wanoandika mambo mbalimbali ila katika level ya empire waliokuwa bora katika utunzaji na uhifadhi kwa mpangilio wa hizo kumbukumbu ni Warumi. Hata hivyo utawala wa Wagiriki ulimezwa na dola la Kirumi.
Mtakuwaje na teknolojia ya chuma afu mkakatwa mikono kifalafala?1. Kipindi wazungu wa Mwanzo kina Vasco da Gama wanakuja Bunduki ilishagunduliwa ila sio widely Available ilikuwa bado ni Expensive na huwezi ku Afford jeshi zima, miaka ya 1400
2. Wareno walivyokuja Africa Walikuta Chuma kinachofuliwa ni high Quality kuliko vyuma vyao, solution ni ku Export Chuma cha Africa kwenye Viwanda vyao.
3. Issue ya Chuma cha Africa ni stori ndefu mno ila ni Fact at that time Watu Africa walikua juu kwenye Ufuaji chuma. Jiulize swali moja kwanini Wakoloni waliwakata Mikono Blacksmith wa KI Africa? Why blacksmith na sio field nyengine?
Dola la kale la Misri walikiwa wanaandika kwa kutumia Hieroglyphs, karne hii ndio watu wamekuja kujifunza ku decode hizo Hieroglyphs katika vibao, kuta na nyaraka chache za kale ziliobakia. Himaya ya Kirumi kwa Africa ilijumuisha Misri, Tunisia, Algeria, Libya na Morroco.Kwa hio hata waafrika inawezekana walikuwa sehemu ya hio dola,kwa h99 nso wamechangia hizo documents.Kama suala ni kumezwa.