Mzee katoa hoja "Mzungu kaitoa Afrika Porini" akamwagiwa kahawa yake

Kwamba unabishana na Historians? Huwa napenda nikiongea vitu nije na ushahidi na wewe naomba unipe ushahidi wa kupinga na sio uelewa wako kwa kuangalia movies na Series.

1. Watu walioshi kipindi hicho Wali consider Super power wanne Roma, Aksumite, Han (China) na sasanide (Iran) , hii ilikuwa ni karne ya 3, source
Munro-Hay, Stuart (1991). Aksum: An African Civilisation of Late Antiquity. Edinburgh: Edinburgh University Press.

2. Aksum Wali miliki Trade route zote za red Sea mpaka Bahari ya Hindi, kama unavyoona Leo Houth Wakipiga Pin Meli na wao walimiliki hilo eneo wakati wao


3. Hela yao ilitumika Kimataifa

led the Persian religious leader Mani to label
Aksum as the third of the kingdoms of the world in the later third century; and something of this reputation is substantiated by the production of an independent coinage (Ch. 9) at about this time. It paralleled the country with the few other contemporary states with the wealth and political status to issue gold coinage; Rome, Persia (to a lesser degree), and, into the third century, the Kushana kingdom in northern India" (Munro-Hay, 1991: 13).

So wakati watu wanatumia barter trade, wao walikua na Coin na inatumika kimataifa, watu wote waliopita hapo walitumia hio Coin. Hizi coin zimekuwa Excavated as far as India.

4. Walitumia cement na ujenzi mwengine bora kwenye Majengo yao obelisk zipo hadi leo ambazo ni kama Equivalent ya Ghorofa 10

Na hio Obelisk ya mita 33 ndio monolithic building ndefu zaidi kupata kujengwa kipindi cha zamani, zinazidi hadi Za Egpty. kama Empire nyengine zilishindwa kufanya hivyo bado unaichukulia poa Aksum?

5. Kushite Empire ambayo ilikua ikiionea Roma na Kuipiga ilikuja kuwa Conquered na Aksum


6. Katika Uhai wake Wote Aksum Rome hawajawahi kuigusa Na siku zote walitaka kuwa na Amani nao japo walipakana.

7. Aksum mwaka 525 ilivamia Himyar (Yemen ya sasa) na kumpiga Mfalme Myahudi aliyekua akiuwa Wakristo, Mfalme huyo Alikuwa supported na Sasanid, zaidi ya Jeshi La watu 100,000 na Meli 70 zilitumika.

8. Walikua na Herufi zao, Dini yao, Vitabu vyao etc.

So thinking Aksum haikuwa on par Na wengine ni Ujinga wa Kutojua Historia, Bottom Line Roma wenyewe waliwatreat Aksum kama Equal.
 
Sijui kama unajua unachosema. Nenda Misri uone zile pyramid ambazo hata leo wazungu hawajui zilijengwa vipi. Ni watu wachache wasiojua historia au wanaojikana wanaoona kama Afrika ilikuwa haina kitu.
Nani Kasema Africa haikuwa na kitu?
Mimi naongolea ukubwa, umuhimu, influence na legacy za himaya.
 
Achana na hizo historia za kubumba na kuungaunga,
Roman Empire ndio ilikuwa Empire iliyokuwa watunzaji wazuri wa kumbukumbu kuliko Empire yoyote duniani, ndio maana leo historia yao inajulikana kwa uhakika kuliko himaya nyingine yoyote. Unaweza kupata mamia ya maandiko na waandishi waliokuwa wanaishi katika himaya ya Roma lakini sijui kama kuna andiko au mwanndishi hata mmoja unayeweza kunitajia wa hiyo himya ya Aksum.

Roman Empire imeacha legacy inayoishi na iliyoathiri dunia mpaka leo kuanzia Calendar, dini ya Ukristo, Mfumo wao wa serikali wa Jamuhuri(Republic), sheria, ujenzi wa majengo na barabara, indoor plumbing, literature, hadi lugha ya kilatini inayotumika katika sheria na mapadri hapo kwenu Kisiwandui.
 
Sheikh wangu acha uongo.
 
Mkuu maktaba kubwa ya kale mpaka sasa ipo Mali na ingine ilikuwepo Misri warumi wakachoma moto.
 
🌤️🙋‍♂️🎯👌👍👏👊🤝🙏💐🗼🛡️
 
Mkuu rudi ufanye utafiti vizuri!!
 
Roman Empire imeacha legacy
Mkuu una mahaba na Roma. Ugiriki waikuwa na rekodi.Akina Plato Sokret nk si ndio wanakumbu kumbu za zamani zaidi ya Roma ? Ungeniambia Roma olikuwa Hegemony culture na ku swallow other culture. Kama USA leo anavyotumia rasilimali za dunia nzima kujitangaza. Miaka 2000 ijayo dunia itaamini USA ndio watu wenye akili zaidi.
 
Hayo uliyopost ni magofu mkuu, kiufupi ni majengo ambayo hatuyatumiii wakati jiji kama london mpaka leo wanamajengo ya kihistoria ambayo na ukale wake yanatumika
 
Mkuu una mahaba na Roma. Ugiriki waikuwa na rekodi.Akina Plato Sokret nk si ndio wanakumbu kumbu za zamani zaidi ya Roma ?
Tunaongelea empires, Jamii kadhaa za kale zilikuwa zina watu wanoandika mambo mbalimbali ila katika level ya empire waliokuwa bora katika utunzaji na uhifadhi kwa mpangilio wa hizo kumbukumbu ni Warumi. Hata hivyo utawala wa Wagiriki ulimezwa na dola la Kirumi.
 
Hapa ndugu yangu tuongelee sisi wa Sub-sahara huku chini , hao Wamisri sio wenzetu maana waliingiliana sana kitamaduni na uchumi na watu wa bara la ulaya na Asia (kina Plato walisoma Misri); tujiongelee sisi wa huku chini , yaani hata hiyo Baganda kingdom ya waganda ukienda kuangalia hamna mabaki yoyote ya msingi ya ujenzi wa maana ambao tumeubeba mpaka leo, empire zote za kusini mwa jangwa la Sahara utaonesha evidence ya vifusi vifusi na mawe tu na hamna tulichokibeba toka kale kuja Karne ya 21
 
Kwa hio hata waafrika inawezekana walikuwa sehemu ya hio dola,kwa h99 nso wamechangia hizo documents.Kama suala ni kumezwa.
 
Mtakuwaje na teknolojia ya chuma afu mkakatwa mikono kifalafala?
 
Kwa hio hata waafrika inawezekana walikuwa sehemu ya hio dola,kwa h99 nso wamechangia hizo documents.Kama suala ni kumezwa.
Dola la kale la Misri walikiwa wanaandika kwa kutumia Hieroglyphs, karne hii ndio watu wamekuja kujifunza ku decode hizo Hieroglyphs katika vibao, kuta na nyaraka chache za kale ziliobakia. Himaya ya Kirumi kwa Africa ilijumuisha Misri, Tunisia, Algeria, Libya na Morroco.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…