Mzee katoa hoja "Mzungu kaitoa Afrika Porini" akamwagiwa kahawa yake

Hizo Pyramids zilijengwa na wanubi wa Sudan nazo pia ni mabaki tu.
 
Kwanini walikubali kukatwa mikono?, yaani watu wamesafiri across the continent wanafika kwenu wanawakata mikono. How dull were the Africans?
Hivi Waafrika walishindwa nini kuwahi wao kufikia Europe and colonize them, enslave them and grab whatever was valuable.
Inasemekana Waafrika walikutwa wakichezea diamonds bila kufahamu kwamba zilikuwa precious and valuable, yaani sisi hata leo watu wa nje ya Afrika wakiacha kununua hizo precious gemstones zitabaki kuwa kokoto ngumu zenye rangi tu kwetu.
 
Kuna mzungu rafiki yangu aliwahi niambia BINADAMU MWEUSI ni binadamu kimuonekano ila ubongo wake sio wa binadamu ni crone ya ubongo OG wa mtu mweupe
Maelezo yao ya kwanza wakati wanaingia Afrika yalikuwa ni kwamba wamekutana na viumbe very similar to human beings, somehow organized like human beings but slow in thinking.
 
Maendeleo ya Aksumite empire yalichochewa asiliamia kubwa na muingiliano wake na bara la Asia na ulaya, na hii ndio uhalisia mkubwa wa jamii zilizoibuka Kaskazini kwa jangwa la Sahara (hata huo ukristo kuwahi kufika huko ni kutokana na jiografia yake)
Kiufupi, empire yoyote iliyokuwepo Afrika hadi miaka ya 1500 AD haikuwa by any means imeendelea kuakisi miundombinu ya miji kama London (london ilikuwa ina paving kabisa!), in fact ukiangalia miaka hiyo mshindani wa kilichokuwa kinaendelea kwenye miji ya Ulaya ilikuwa ni miji iliyochipuka South America (Omelec ➡️ Aztecs ➡️ Mayans )
 
Kinachosikitisha mwafrika bado hawezi hata kumuiga mzungu teknolojia aliyogundua. Mchina yuko fasta kuiga alichogundua mzungu. Zungu likiunda simu lichina nalo linaiga simu hata kama ni feki. Wapi mwafrika hachunguzi wadudu wanafanyaje kazi zao ili akaunde mashine kwa idea ya maumbo ya wadudu na viumbe wengine. Mwafrika anaunda vyungu lakini haja advance hadi leo. Check kwenye zana za kilimo hakuna ubunifu. Mwafrika bado anafanya kazi za suluba, kuli wakati mzungu habebi mizigo anabuni mashine. Habebi zege wala kukoroga kwa mikono. Mchina anaiga fasta kwa mzungu anaunda vipawatila vidogo vya kulimia unanyanyua kwa mkono kama jembe la mkono. Akili za mwafrika zina nini?
 
Wengi wamejibu hoja vizuri, niongezee kwa usemi huu " wajinga na wahuni pia huzeeka". Hawa ndio wahuni waliotuuza
 
Kuna mdau aliwahi kuniambia ukiangalia upande wa genetics, DNA ya mzungu na watu wa Asia imekuwa "polluted" na jamii nyingine ya binadamu wanaitwa neanderthals, hii DNA sisi waafrika hatuna kabisa; imani yake ni kwamba muingiliano wa DNA hizo ndio iliwafanya wao wawe kama walivyo na sisi kuikosa ndio imetufanya tuwe kama tulivyo
 
Kuna mzungu rafiki yangu aliwahi niambia BINADAMU MWEUSI ni binadamu kimuonekano ila ubongo wake sio wa binadamu ni crone ya ubongo OG wa mtu mweupe
Huu ni udhalilishaji mkuu
 
Mkuu, tuachane na hiyo michoro, ukiamua unaweza ukachora mingine
Wazungu wanakuja Africa wanakuta Chuma kipo advanced kuliko kwao
Chuma kipo advanced kivipi? Nini maana ya kitu kuwa advanced?
wakawa wanaki export kwenda India na mataifa mbalimbali kutengeneza Bunduki.
Mbona kama unaongelea malighafi?
Kabla ya wazungu kuja Kulikua na Empire 4 kubwa Duniani ambazo zina Balance Power, Aksum, Roma, Persia na China, Aksum (Africa) ilikua na Nguvu kama Roma na Persia.
Hii power balance una maanisha nini? Nini kilikuwa kipimo kilichoonyesha hiyo balance of power?
So hawa wanaofanya Revisionism kwamba Ukoloni ulisaidia Mataifa wengi ni mazombie wa media za west ambao kila wanachofanya west wao wanakimeza kama kilivyo na kukiabudu.
Wewe hii story yako ni kwa mujibu wa media zipi mkuu? Kwanini wenzako wawe mazombi kwa kuamini walichofundishwa halafu wewe usiwe zombi kama wao kwa kwa kuwa na wewe umeamini ulichfundishwa? Au wewe ulikuwepo ukajionea?
 
Yaliyojaa mjini tu siyamalizi sa yanini nijisumbue na Historia..

Naisomaga tu kama hadithi ila hainishuulishi kubishana kabisa eti babu alikuwa sokwe..! Mara binadamu wa kwanza duniani aliishi Tanzania 😅😅
Upo sahihi kabisa. Waafrika ni viumbe wa ajabu sana. Wenzao wanajenga uchumi, wanafanya tafiti a vumbuzi, wanafanya kila kitu cha maana ili kuwa juu kwenye hii dunia, lakini Waafrka wapo busy wakijitapa "Sisi enzi zetu noma, enzi zetu tulikiwa imara, tulikuwa na majumba, magari".
Hivi Waafrika wangebahatika kuwpa na hizo enzi wanazojisingizia kuwa nazo si wangekuwa mbali sana?
Kwasababu mataifa yaliyokuwa na "enzi zao" ndiy haya ambayo mpaka leo yanakimbiza sababu "enzi" ni mtaji na walipo sasa inaelezea namna "enzi zao" zilivyokuwa na waliyoyafanya.
 
Kwaku nukuu "polluted" ndio maana we have to eat organic foods. Ndio maana hatukua na vyoo.
 
Mpaka leo Diamond ni overpriced, kuna watu ama Kikundi cha watu kina inflate tu bei yake. Ila sio kwamba ni Madini muhimu kivile.

Na watu walipigana sehemu nyingi tu, bara hili lina wanafiki na wasaliti wengi tu, japo majeshi ya Africa hayakua Advanced ila yalishinda vita vingi na Wazungu wakiona wameshindwa wa natafuta Mu Africa wa kumnunua awasaliti wenzake. In short matatizo ya kipindi hiko na sasa yanafanana, watu wengi wana bei.

Si kila mtu yupo Comfortable ku colonize watu, inshort Zamani Hakukua na ukoloni kabisa, Empire zili Conquer Empire nyengine ila si Ukoloni.
 
Mtakuwaje na teknolojia ya chuma afu mkakatwa mikono kifalafala?
Kila kitu ni process, it's not like mtu anatoka na panga Ulaya Anakuja katikati ya watu 1000 na kukata mkono mtu.

Chukulia mfano Hapo Spain Si Africa wametawala hapo? Si ilikua ni Roman Empire zamani? Why might Roman imetawaliwa na Africa? It's a process ilianza baada Ya Roman kuwa weakened Taratibu kushindwa Vita taratibu ikawa dhaifu hadi Moors wakaja kuichukua.

Same kwa Africa, naamini Historia umeisoma, ina Involves Explorer, Wamisionary na wengineo, mpaka Ukoloni unakuja ni miaka zaidi ya 400 ya slow na painful process ya kulifanya Bara liwe dhaifu litawalike.
 
Kwaku nukuu "polluted" ndio maana we have to eat organic foods. Ndio maana hatukua na vyoo.
Bosi someni aisee, kushite hao waliowapiga waroma walikua wanalima kwa Irrigation na walikua na one of the most advanced bath/Toilets ever.

Archaeologist wame recreate Vyoo vya kushite that time
 
Hayo uliyopost ni magofu mkuu, kiufupi ni majengo ambayo hatuyatumiii wakati jiji kama london mpaka leo wanamajengo ya kihistoria ambayo na ukale wake yanatumika
Sometime unaandika Hoja halafu unasahau hoja yako nini, sio wewe huyu aliendika hivi?

Anasema mpaka sasa mbona tukisema tunaenda kuangalia majengo ya kale tunachokiona ni kazi ya mwarabu na mzungu, sisi ngome zetu zenye ubora kama ya hao watu ziko wapi? (Wazee wengi ne walifoka sana hapa

So nimejibu hivyo kutokana na Mada yako mwenyewe, wewe ndio Umesema majengo ya zamani ni Ya mzungu/Mwarabu, nimekuonesha sio, halafu unakana tena mada yako mwenyewe?
 
Sio kwamba warumi ndio walikopi utunzaji na mipangilio toka kwa Mgiriki Hadi kuhamisha kila kitu toka kwenye library zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…