Nisome vizuri mkuu.Hatukuwahi kuwa na lengo la just kufikia au kuingia uchumi wa kati.bali tulikuwa na lengo la kuongeza kipato Cha mtanzania hadi kufikia USD 3000.00 by 2025 _unaweza kusoma mwenyewe hii fact kwenye The national 2025 development strategy.Hii ya WB kututangazia kuingia uchumi wa kati kwa kipato Cha USD 1028 halikuwa lengo letu Ila Magufuli alilitumia Kama Kiki kuwagribu watanzania kwamba anachapa kazi sana. Ndo maana amekuwa akijigamba kwamba tumefikia uchumi wa kati mapema kabla ya 2025Lengo lipi alilosema Magufuli kwamba tumefika mapema?
Magufuli alikuwa anaongelea lengo la nchi kufikia uchumi wa kati by 2025 au lengo la Mkapa la kila mtanzania kuwa na wastani wa pato la dola elf 3 kwa mwaka by 2025?
Nenda kakalie ya mwenyekiti wako, mbatata mamaakoNenda kalewe na mwenyekiti wako mbatata we
Wapinzani akiwemo Bavicha ni 'Mbumbumbu na wapumbavu' by Mkapa voice, sasahivi wapinzani wanamshangilia Kikwete wakati walikuwa wanamwita dhaifu kuliko Rais wote waliotanguliaAcha ujinga CCM tunaamini katika kupokezaba kijiti Kikwete alifanya mambo mengi mazuri tu, na Magufuli anaendelea kufanya mambo mengi mazuri kwa nchi yetu. Naona umenasa kwenye mtego wa mabavicha.
Huwezi ukawa mtu ambae hujijui ukawa na nyumba hizi, labda wewe ni dalali ambae umetafuta wapangaji kwenye nyumba ulizotajaMkuu hapa Dar nina nyumba tatu,moja ipo kigogo luhanga,a self contained house,Ya pili ipo mbezi Luis ndo naishi Sasa na nyingine ipo mbezi msumi.Zote ni nyumba bora naza kisasa kabisa,sebuleni kwangu Kuna screen ya nchi 70 iliyonunuliwabkea shilingi za kitanzania milioni Saba na nusu pale duka la sumsung karibu na mnara wa askali au nyuma ya iliyokuwa postal bank_just for your information
Usipaniki, utashindwa kulewa mbatata weNenda kakalie ya mwenyekiti wako, mbatata mamaako
Asante kuwaelewesha Hawa viumbe lakini sijui Kama wataelewaNisome vizuri mkuu.Hatukuwahi kuwa na lengo la just kufikia au kuingia uchumi wa kati.bali tulikuwa na lengo la kuongeza kipato Cha mtanzania hadi kufikia USD 3000.00 by 2025 _unaweza kusoma mwenyewe hii fact kwenye The national 2025 development strategy.Hii ya WB kututangazia kuingia uchumi wa kati kwa kipato Cha USD 1028 halikuwa lengo letu Ila Magufuli alilitumia Kama Kiki kuwagribu watanzania kwamba anachapa kazi sana. Ndo maana amekuwa akijigamba kwamba tumefikia uchumi wa kati mapema kabla ya 2025
Mkuu tusichukuliane poa,Ila tujadiri tu Mambo haya kwa faida ya nchi yetu maana matatizo ya nchi hii yanatuhusu sote,ni bahati mbaya tu tunaongozwa na vilazaHaya basi wewe uko tofauti na wenzio
Sijapaniki nimekuambia kakalie ya mwenyekiti wakoUsipaniki, utashindwa kulewa mbatata we
Alietangaza ni nani?Lengo la Uzi Ni kupinga propaganda zizosema kuwa Magufuli kafikia lengo tulilojiwekea kabla ya muda
Ngoja nikuache na mtazamo wako wa kichadema!Nisome vizuri mkuu.Hatukuwahi kuwa na lengo la just kufikia au kuingia uchumi wa kati.bali tulikuwa na lengo la kuongeza kipato Cha mtanzania hadi kufikia USD 3000.00 by 2025 _unaweza kusoma mwenyewe hii fact kwenye The national 2025 development strategy.Hii ya WB kututangazia kuingia uchumi wa kati kwa kipato Cha USD 1028 halikuwa lengo letu Ila Magufuli alilitumia Kama Kiki kuwagribu watanzania kwamba anachapa kazi sana. Ndo maana amekuwa akijigamba kwamba tumefikia uchumi wa kati mapema kabla ya 2025
Kutangaza Nini?Alietangaza ni nani?
Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa.
Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania.
Pia kaweka rekodi nyingine sawa kuwa Uchumi kukua kwa asilimia 7 Ni Mkapa ndio aliweka na baada ya Mkapa haijawahi kushuka hiyo Kasi.
Hii ni tofauti na propaganda za Sasa hivi kuwa Magufuli ndio kapandisha Kasi ya ukuaji Uchumi.
Ndiyo maana miaka kumi ikiisha unaachia wengine ili na wao wafanye yao. Hongereni sana CCM kwahiyo Demokrasia makini.
MATAGA watamuona JK ni bonge la Snitch.
Amesema kazi ya Magu sasa ni kututoa hapa kwny kipato cha $1,080 na kufikia $3,000 by 2025 ili kufikia uchumi wa Kati.
Yaani kama tangu 2005 mpk 2020 wamepambana marais hatari ndio tumefikia $1080 sijui miujiza ya aina gani itafanyika ndani ya miaka 5 kufikisha $1,920 zingine.
Kikwete ninampenda bure. Maana watanzania walijua kuwa wamefika pato la 3000 kabla ya 2025.
Tulisema hapa uchumi wa kati FAKE sasa Kikwete kathibitisha. Sasa huyo MKURUPUKAJI hizi details huwa hazijui anakurupuka tu!?
Akili kubwa daima huwa hazifeli.
Acha ramli chonganishi rais Magufuli alielezea vizuri tangu siku anarudisha form ya urais kuwa kazi ya kuipeleka nchi uchumi wa kati ilianzishwa na wa tangulizi wake. Kwenye timu ya mpira sifa anapewa mfungaji bora anayepokea pasi ya mwisho.
Mgambo wanaruka na kukanyagana, ah ah ah Thanx JK umetutoa tongotongo haya MATAGA wazee wa kujipendekeza jibuni mapigo
Sio ramli chonganishi,
Zimekuwepo propaganda kuwa tumefikia Uchumi wa Kati kabla ya Muda Tena muda mwingine Kutoka kwa Magufuli mwenyewe, nikipata video nitakuwekea hapa
yule jamaa mwingine kakunja ndita kweli kweli!!
Kwanini unakuwa na akili mgando kwamba unaongozwa na vilaza?Mkuu tusichukuliane poa,Ila tujadiri tu Mambo haya kwa faida ya nchi yetu maana matatizo ya nchi hii yanatuhusu sote,ni bahati mbaya tu tunaongozwa na vilaza
Tumefikia uchumi wa kati chini ,na 2025 tukuwa tumefikia uchumi wa kati,katikati au juu ,kwanini tuaanze uchuro?Kuwakumbusha wanaosema kuwa tumefika uchumi wa Kati kabla ya malengo kua lengo bado halijafika
Mkuu sijijui ni jina tu. siku ukipita mitaa ya mbezi tutafutane mkuu maana unaonekana wewe ni tomasoHuwezi ukawa mtu ambae hujijui ukawa na nyumba hizi, labda wewe ni dalali ambae umetafuta wapangaji kwenye nyumba ulizotaja
Na kwa hivyo Lisu atashinda kwa sababu ya hilo?Kwa kweli nilifurahi sana leo Kikwete alipokuwa anaweka mambo sawa sikutegemea angefanya hivyo mahali pale kwenye msiba wa Mkapa. Pia hakupindisha aliposema Mkapa alifanya mengi ila hakuwa anapenda kusifiwa, hii ilikuwa ya uso kabisa kwa bwana jiwe. Pia aliweka wazi kwamba ukuaji wa uchumi wa Tz ulikuwa kubwa zaidi kiasi cha Mkapa kufikia 7% ambapo sasa umeshuka hadi 5%,hii nayo ilikuwa ya uso kwa mtu. Mwinyi naye amenichekesha sana aliposema mara ya kwanza kuvaa viatu ni wakati alipokwenda jandoni.
Hawa watu wanavichwa vizito asikwambie mtu mkuu Ila acha nijitahidiAsante kuwaelewesha Hawa viumbe lakini sijui Kama wataelewa
Kwa kweli nilifurahi sana leo Kikwete alipokuwa anaweka mambo sawa sikutegemea angefanya hivyo mahali pale kwenye msiba wa Mkapa. Pia hakupindisha aliposema Mkapa alifanya mengi ila hakuwa anapenda kusifiwa, hii ilikuwa ya uso kabisa kwa bwana jiwe. Pia aliweka wazi kwamba ukuaji wa uchumi wa Tz ulikuwa kubwa zaidi kiasi cha Mkapa kufikia 7% ambapo sasa umeshuka hadi 5%,hii nayo ilikuwa ya uso kwa mtu. Mwinyi naye amenichekesha sana aliposema mara ya kwanza kuvaa viatu ni wakati alipokwenda jandoni.
Usipanik utapaliwa na mikonyagi hiyoSijapaniki nimekuambia kakalie ya mwenyekiti wako