Wanaelewa sana ila wanajitoa ufahamu kuona watu wamegundua ghiliba zaoAsante kuwaelewesha Hawa viumbe lakini sijui Kama wataelewa
Kapata aibu sana leo..Tulisema hapa uchumi wa kati FAKE sasa Kikwete kathibitisha. Sasa huyo MKURUPUKAJI hizi details huwa hazijui anakurupuka tu!?
Sijamtaja Lissu hapa ila nafikiri kwa jinsi watu fulani wanavyo mhofia basi anaweza akawa rais wa sita wa Tanzania endapo kutakuwa na fair play kama ile waliyoonesha uwanja Taifa.Na kwa hivyo Lisu atashinda kwa sababu ya hilo?
Mkuu ujenzi wa barabara ya morogoro hasa eneo la mbezi mwisho,Barabara zetu kujaa matuta,sheria za ajabu Kama matokeo ya urais kutopingwa popote nk ni moja ya indicators za ukilaza huoKwanini unakuwa na akili mgando kwamba unaongozwa na vilaza?
Sisi kama mchi hatuongizwi na vilaza! Labda hao vilaza wanakuongoza wewe na familia yako
Ishu ya uchumi wa kati sio serikali ya jpm ndio imesema, ni bank ya dunia na vyombo vyake sasa hao ndio muwafungulie uzi wa mapovu na sio jpm...Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa.
Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania.
Pia kaweka rekodi nyingine sawa kuwa Uchumi kukua kwa asilimia 7 Ni Mkapa ndio aliweka na baada ya Mkapa haijawahi kushuka hiyo Kasi.
Hii ni tofauti na propaganda za Sasa hivi kuwa Magufuli ndio kapandisha Kasi ya ukuaji Uchumi.
Mtu anayesema uongo kila anapofunguwa mdomo wake anafaa kuwa kiongozi wa wanaccm pekee katika dunia hii ya watu waliostarabikaNa kwa hivyo Lisu atashinda kwa sababu ya hilo?
Pointi yangu Ni kuwa lengo ambalo CCM walijiwekea (dola 3000), halijafikiwa badoIshu ya uchumi wa kati sio serikali ya jpm ndio imesema, ni bank ya dunia na vyombo vyake sasa hao ndio muwafungulie uzi wa mapovu na sio jpm...
Mkuu 2025 development strategy ipo mtandaoni kwa nini usiisome ukajiridhisha?lengo mdogo wangu haikuwa kuingia uchumi wa kati tu bali kipato Cha USD 3000.00 Sasa tupo 1028.00 bado sana,na JK kamwambia bado sana sheheNgoja nikuache na mtazamo wako wa kichadema!
Basi tufanye Kikwete kamuumbua Magufuli na kwamba tz haijafika uchumi wa kati kama WB walivyosema
Mara hii wameshaanza kupishana kauli, maara paap Kikwete kahamia ACT wazalendoKikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa.
Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania.
Pia kaweka rekodi nyingine sawa kuwa Uchumi kukua kwa asilimia 7 Ni Mkapa ndio aliweka na baada ya Mkapa haijawahi kushuka hiyo Kasi.
Hii ni tofauti na propaganda za Sasa hivi kuwa Magufuli ndio kapandisha Kasi ya ukuaji Uchumi.
Ina maana unasikiliza sana propaganda na kuziamini, siku ukiambiwa tofauti unashtuka ulidanganywa
Kweli haukuwahi kusikia kuona kujua, kutambua kuwa 7% ya ukuaji wa uchumi alianza mkapa? Una tatizo gani?
Haya amini leo kuwa mama yako ni mwanaume
Ungeangalia ile hotuba ya Dr. Mpango wakati anatoa hii habari ya kuingia uchumi wa kati ungejua sisi tunasema nini. Sasa kwa kuwa umekaa kusifia kuabudu kusujudu kutamka neno juhudi kama dozi ya TB basi na akili yako umeiweka mfukoni unatembea nayo!Ishu ya uchumi wa kati sio serikali ya jpm ndio imesema, ni bank ya dunia na vyombo vyake sasa hao ndio muwafungulie uzi wa mapovu na sio jpm...
Jina lako lina maana mbili; zote ni kwa lugha(kabila) ya kwetuSiokweli.
Kosa la kikwete ni kuwaamsha watu na kuwaluhusu kujua yanayotokea kwenye utawara.wake ote.
Kwasasa mambo mengi ya hovyo yanafanywa hata kuliko vipindi vyote vilivyopita.
Ila hakuna anaesubutu kuongea.
Yaan kwa ufupi tumeludishwa usingizini tena kama zamani.hakuna kuhoji wala kusema palipopinda.
Ukitaka uishi salama unatakiwa usifie tu.
Kwani Mimi nimesema niliziamini?.Ina maana unasikiliza sana propaganda na kuziamini, siku ukiambiwa tofauti unashtuka ulidanganywa
Kweli haukuwahi kusikia kuona kujua, kutambua kuwa 7% ya ukuaji wa uchumi alianza mkapa? Una tatizo gani?
Haya amini leo kuwa mama yako ni mwanaume
| Year | 2020 | 2021 | 2022 | 2023 | 2024 | 2025 |
| Per capital GDP and projected | 1,080.00 | 1,317.60 | 1,607.47 | 1,961.12 | 2,392.56 | 2,918.92 |
| Required GDP growth per capita | 22% | 22% | 22% | 22% | 22% |