Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania



Tatizo ujumbe umerukisha hotuba take sehemu nyingine!! sio vizuri
 
Nakumbuka Misukule wa Lumumba walinitukana kishenzi baada ya watu kuweka kumbukumbu sawa!

And to make it clear, HATUTAFIKA hicho kiwango kwa sababu JK aliacha GNI per capita ya 980, na kwahiyo kwa muda WOTE JPM aliokaa madarakani amepandisha for ONLY $100 !!!!!!
 
Magu ndio katufikisha hapa kwenye uchumi wa Kati....
ni kama vile straika anapofunga goli....
hupasiwa pasi na wenzake hilo halina ubishi chief
Mkuu hata corona ikimalizia pass zilizopigwa na Kisukari,ukimwi,kansa nk muwe mnaipa heshima hivyo hivyo na si kuhamisha magori
 
Ndiyo maana miaka kumi ikiisha unaachia wengine ili na wao wafanye yao. Hongereni sana CCM kwahiyo Demokrasia makini.
Huu msingi wa kuachiana achiana safari hii naona unatikiswa kwa nguvu sana
 
Kikwete akikaa baadae akaiangalia tena hiyo hotuba nadhani ata yeye mwenyewe atajiambia ni moja ya political blunder kubwa aliyowahi fanya katika maisha yake.

It was unnecessary

Hawa wasanii watoto wadogo tu siku hizi wanapofanyiwa interview na waandishi marafiki wana code zao nikishika sikio achana na hilo swali.

Kipindi hiki cha uchaguzi mtu ambae maisha yake yote kafanya siasa JK should know that was uncalled for.
 
Tatizo MATAGA na Magufuli wao huwa wanatabia ya kufunika moto kwa kutumia nguo
 
Kwa muda wote aliokaa madarakani, JPM aliweza kupandisha from $980 to $1080; which means, kwa muda wote amepandisha kwa $100...the worst growth compared to previous presidents!!

That being said, acheni kujimwambafai wakati kimsingi, JPM kashusha ukuaji wake huku mkijaribu kuaminisha watu kwamba JPM ndie kafanya kazi kubwa!!!
 
Kikwete akikaa baadae akaiangalia tena hiyo hotuba nadhani ata yeye mwenyewe atajiambia ni moja ya political blunder kubwa aliyowahi fanya katika maisha yake.
Aone political blunder kwa sababu kawakosoa wanaopenda kujimwambafai, au?! Na ukikumbukahilo neno "kujimwambafai" bila shaka utajua hicho unachoamini ataona kafanya political blunder, katu hataona hivyo kwa sababu sio mara yake ya kwanza!!!
 
Sasa hvi vujana wa Lumumba na MATAGA hawampendi Kikwete kisa kaweka records sawa.
 
Kufika hiyo 2025 tutakuwa tumerejea kule kule. Kufanya figisu za kuiba kura na kutengeneza uchumi ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Kwa Nini mkuu?
 
Aone political blunder kwa sababu kawakosoa wanaopenda kujimwambafai, au?! Na ukikumbukahilo neno "kujimwambafai" bila shaka utajua hicho unachoamini ataona kafanya political blunder, katu hataona hivyo kwa sababu sio mara yake ya kwanza!!!
Inabidi uone ni kiasi gani Zitto anapambana kuitoa hiyo hoja akishirikiana na gazeti la economist, kama kawasaidia vita yao either kwa makusudi au bahati mbaya.

Has far as party politics go JK kachemka, wengine it’s ok to celebrate.
 
Hii MATAGA yakitia timu hapa sijui kama huyu mzee atasalimika, leo atatukanwa hadharani!
 
Mkapa alitaka tufike kwa lile daraja la juu siyo hili la chini. Kwa hiyo bado tuna safari ndefu. Middle income huku kuna raia kibao hawana maji, wanashindia maparage ya kula mlo mmoja!! Safari ndio tumeianza!
 
Tanzania wakati uliopita huwa ni bora zaidi kuliko wakati uliopo au wakati ujao,hivyo wakati uliopo huwa hauna mashaka katika wakati ujao kwa sababu unajua tu wakati wake uliopita na wenyewe utainekana kuwa ni wakati bora kwa sababu siyo wakati uliopo tena bali ni wakati uliopita.
 
Yaani political blunder kivipi? Kuna blunder gani hapo?
You can’t take away one of the party campaign line near election; politics is about fibs.

Anyway hii mada ina mambo mengi ambayo sio size yangu kuyaelewa, with time ntajifunza.

Wacha niendelee kuwa msomaji.
 
Inabidi uone ni kiasi gani Zitto anapambana kuitoa hiyo hoja akishirikiana na gazeti la economist, kama kawasaidia vita yao either kwa makusudi au bahati mbaya.

Has far as party politics go JK kachemka, wengine it’s ok to celebrate.
Wacha wee! Leo hii hatimae imekuwa ni Zitto na gazeti la The Economist?! Na sio Eric Kabendera? Btw, kwani ni kipi kipya alichoongea JK ambacho huyo Zitto hakifahamu, hadi ionekane sasa Zitto ndo atatumia hiyo hoja kwa The Economist?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…