Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Na utani maana yake ni kuambiana makavu bila kushika bunduki Wala kuita policeHao ni watani wanajuana sana kuliko unavyofikiria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na utani maana yake ni kuambiana makavu bila kushika bunduki Wala kuita policeHao ni watani wanajuana sana kuliko unavyofikiria.
Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa.
Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania.
Pia kaweka rekodi nyingine sawa kuwa Uchumi kukua kwa asilimia 7 Ni Mkapa ndio aliweka na baada ya Mkapa haijawahi kushuka hiyo Kasi.
Hii ni tofauti na propaganda za Sasa hivi kuwa Magufuli ndio kapandisha Kasi ya ukuaji Uchumi.
Nakumbuka Misukule wa Lumumba walinitukana kishenzi baada ya watu kuweka kumbukumbu sawa!MATAGA watamuona JK ni bonge la Snitch.
Amesema kazi ya Magu sasa ni kututoa hapa kwny kipato cha $1,080 na kufikia $3,000 by 2025 ili kufikia uchumi wa Kati.
Yaani kama tangu 2005 mpk 2020 wamepambana marais hatari ndio tumefikia $1080 sijui miujiza ya aina gani itafanyika ndani ya miaka 5 kufikisha $1,920 zingine.
Mkuu hata corona ikimalizia pass zilizopigwa na Kisukari,ukimwi,kansa nk muwe mnaipa heshima hivyo hivyo na si kuhamisha magoriMagu ndio katufikisha hapa kwenye uchumi wa Kati....
ni kama vile straika anapofunga goli....
hupasiwa pasi na wenzake hilo halina ubishi chief
Huu msingi wa kuachiana achiana safari hii naona unatikiswa kwa nguvu sanaNdiyo maana miaka kumi ikiisha unaachia wengine ili na wao wafanye yao. Hongereni sana CCM kwahiyo Demokrasia makini.
Kwa muda wote aliokaa madarakani, JPM aliweza kupandisha from $980 to $1080; which means, kwa muda wote amepandisha kwa $100...the worst growth compared to previous presidents!!Kwani magufuri kajitangaza mwenyewe au ni shirika la kimataifa?
Tumieni akili basi na mpunguze upumbavu mlio nao.
Kama mkapa na kikweye walipanga iwe 3000 sasa kwa nini hawakufikia kiwango hicho?
Hayo mambo ni sawa na wewe kwenye maisha yako useme kuwa siku ukinunua gari basi iwe BMW ya ulaya halafu inafika muda unazeeka huna hata baisjeri kisha kijana wako anakununulia toyota ya mjapani, kisha unanza kusema mimi nilipanga kununua BMW, sasa ulikuwa wapi mbona umepigwa na jua mpaka unazeeka?
Kama wao walitaka iwe 3000 hadi 2025 kwa hiyo muda bado upo wasubili.
Pia mkumbuke magufuli hajakitangaza katangazwa sasa kama mnakata rufaa nendeni huko kwenye shirika lililo mtangaza mkate rufaa kwamba sisi kama nchi tulitaka mpaka ifike 3000usd ndo tungie uchumi wa kati
Hizo chuki zenu zitazidi kuwapa msongo wa mawazo saana, na bado mtanyooka.
Nabkama nyie ni wasoni wa kiwango cha juu basi kama nchi bado tuna shida sana na usomi wenu, vinginevyo muwe wachawi.
Aone political blunder kwa sababu kawakosoa wanaopenda kujimwambafai, au?! Na ukikumbukahilo neno "kujimwambafai" bila shaka utajua hicho unachoamini ataona kafanya political blunder, katu hataona hivyo kwa sababu sio mara yake ya kwanza!!!Kikwete akikaa baadae akaiangalia tena hiyo hotuba nadhani ata yeye mwenyewe atajiambia ni moja ya political blunder kubwa aliyowahi fanya katika maisha yake.
Kwa Nini mkuu?Kikwete akikaa baadae akaiangalia tena hiyo hotuba nadhani ata yeye mwenyewe atajiambia ni moja ya political blunder kubwa aliyowahi fanya katika maisha yake.
It was unnecessary
Hawa wasanii watoto wadogo tu siku hizi wanapofanyiwa interview na waandishi marafiki wana code zao nikishika sikio achana na hilo swali.
Kipindi hiki cha uchaguzi mtu ambae maisha yake yote kafanya siasa JK should know that was uncalled for.
Inabidi uone ni kiasi gani Zitto anapambana kuitoa hiyo hoja akishirikiana na gazeti la economist, kama kawasaidia vita yao either kwa makusudi au bahati mbaya.Aone political blunder kwa sababu kawakosoa wanaopenda kujimwambafai, au?! Na ukikumbukahilo neno "kujimwambafai" bila shaka utajua hicho unachoamini ataona kafanya political blunder, katu hataona hivyo kwa sababu sio mara yake ya kwanza!!!
Only he knows why?Kwa Nini mkuu?
Yaani political blunder kivipi? Kuna blunder gani hapo?Only he knows why?
Mkapa alitaka tufike kwa lile daraja la juu siyo hili la chini. Kwa hiyo bado tuna safari ndefu. Middle income huku kuna raia kibao hawana maji, wanashindia maparage ya kula mlo mmoja!! Safari ndio tumeianza!Namnukuu Kikwete:
Tumeshafika kwenye uchumi wa kati lakini si kwa lengo lile la Mkapa la pato la dola elfu 3
Sasa mabavicha yanavyocoment hapa ni kama vile Kikwete amecrash tangazo la WB la tz kufikia uchumi wa kati.
Alafu akietangza uchumi wa kati si Magufuli bali ni WB.
You can’t take away one of the party campaign line near election; politics is about fibs.Yaani political blunder kivipi? Kuna blunder gani hapo?
Wacha wee! Leo hii hatimae imekuwa ni Zitto na gazeti la The Economist?! Na sio Eric Kabendera? Btw, kwani ni kipi kipya alichoongea JK ambacho huyo Zitto hakifahamu, hadi ionekane sasa Zitto ndo atatumia hiyo hoja kwa The Economist?!Inabidi uone ni kiasi gani Zitto anapambana kuitoa hiyo hoja akishirikiana na gazeti la economist, kama kawasaidia vita yao either kwa makusudi au bahati mbaya.
Has far as party politics go JK kachemka, wengine it’s ok to celebrate.