Matokea yake ni Kama hayo,matuta kila kona kwenye barabara zetu,ujenzi wetu ni Kama ule wa hapa mbezi mwisho,au mfugale bridge etcSasa ulivyo wewe kilaza usifikiri kila mtu ni kilaza,,!
Hao viongozi vilaza wanakuingoza wewe, na ukoo wako basi ila sisi wenye akili tunaongozwa na viongozi wenye akili timamu wakiongozwa na jemadari Magufuli, hutaki jinyonge
Ni kwamba wewe ni kilaza kama unaona kiongozi wako hafai jibu ni kwmba wewe ndio kilazaMkuu unasema hivyo kwa sababu unajua kuwa mfumo ulioopo hauruhusu kila mtanzania kywavna haki ya kuchagua na kuchaguliwa kuwa kiongozi,na ukilaza wa wananchi tuliowengi na viongozi wetu unatufanya tusione hilo tatizo.Ila pamoja na umri wangu mdogo I believe am more competent than him
Kwahiyo atampigia kampeni Lisu?Nyundo za Mzee Kikwete na leo si mchezo. Kweli ni dhahili shairi kuwa mtu fulani amechokwa kupindukia.
Mkuu do you think mtu akishakuwa kiongozi ndo anakuwa amekuwa na akili kuliko watu wote? Au unadhani mtu anakuwa kiongozi kwa kuwa anaakili kuliko watu wote? Kama unafikiria hivyo I am sorry for youNi kwamba wewe ni kilaza kama unaona kiongozi wako hafai jibu ni kwmba wewe ndio kilaza
Mkuu hiyo USD 3000.00 huwa haitaji,kwa sababu akiitaja itaondoa uspoon wake,Kuna siku pia nilimsikia akimlazimisha engineer mmoja aseme pesa zikizotegwa kwenye budget na si pesa zilizopelekwa kwenye ujenzi wa hicho kipande Cha barabara,alijui akitaja actual iliyopokelewa itakuwa aibu
Ni utoto probability za yeye kuitwa kuongea alijua hilo.Kwanza Alianza kwa kumzodoa Rais, kiko kitu kilimkera na akashindwa kujizuia hisia zake. Kiongozi mzoefu kama yeye anahitaji kujiamdaa nini kusema neno la faraja msibani? ! Alitaka aandaliwe hotuba labda! Na atumie zaidi ya saa 1, sijui.
Alitakiwa appreciate angalau kufikiwa kwa uchumi wa kati hata kama ni wa chini. Kutoka katika uchumi wa kuzunguka duniani kutembeza bakuli la ombaomba. Lakini hawezi maana anataka kujustify sera zake za taifa la diplomasia ya ombaomba.
Yeye na marehemu hawakufurahishwa na kauli ya nchi hii ilikuwa na mambo mengi ya hovyo, inawakosesha amani. Anyway kapata fursa msibani ya kurusha dongo na kaitendea haki.
Wasukuma mmeumia sana tatizo lenu ushamba unawasumbua[emoji3]Ni utoto probability za yeye kuitwa kuongea alijua hilo.
Halafu kama hakuona kosa alichoongea kwanini ajihami mwishoni “ngoja nimalize nisije kuvuka mipaka” eti anauliza mh raisi si inatosha.
Hiyo kauli ya kutoandaa speech ni kujihami tu, lakini alijua alichokuwa anakifanya from the beginning to the end.
Issue ni what is the motive?
Wasukuma mmeumia sana leo acheni ushamba Basi[emoji3]Kwanza Alianza kwa kumzodoa Rais, kiko kitu kilimkera na akashindwa kujizuia hisia zake. Kiongozi mzoefu kama yeye anahitaji kujiamdaa nini kusema neno la faraja msibani? ! Alitaka aandaliwe hotuba labda! Na atumie zaidi ya saa 1, sijui.
Alitakiwa appreciate angalau kufikiwa kwa uchumi wa kati hata kama ni wa chini. Kutoka katika uchumi wa kuzunguka duniani kutembeza bakuli la ombaomba. Lakini hawezi maana anataka kujustify sera zake za taifa la diplomasia ya ombaomba.
Yeye na marehemu hawakufurahishwa na kauli ya nchi hii ilikuwa na mambo mengi ya hovyo, inawakosesha amani. Anyway kapata fursa msibani ya kurusha dongo na kaitendea haki.
Ni utoto probability za yeye kuitwa kuongea alijua hilo.
Halafu kama hakuona kosa alichoongea kwanini ajihami mwishoni “ngoja nimalize nisije kuvuka mipaka” eti anauliza mh raisi si inatosha.
Hiyo kauli ya kutoandaa speech ni kujihami tu, lakini alijua alichokuwa anakifanya from the beginning to the end.
Issue ni what is the motive?
Acha kupotosha wewe!! Wapi wameshasema kati ya viongozi wa sasa kuwa lengo la kufikia pato la dola 3000,halijafikiwa?wakati wao wanasema tumefika kabla ya muda? Na hawasemi kuwa ni uchumi wa kati mdogo!!! Lengo lilikuwa ni by 2025 kufikia dola 300.,sasa leo umefikia 1090!!unasemaje umefikia lengo kabla ya muda?!!Acha ramli chonganishi rais Magufuli alielezea vizuri tangu siku anarudisha form ya urais kuwa kazi ya kuipeleka nchi uchumi wa kati ilianzishwa na wa tangulizi wake. Kwenye timu ya mpira sifa anapewa mfungaji bora anayepokea pasi ya mwisho.
2020-2025 hatutaki makoloni meusi ccmMATAGA watamuona JK ni bonge la Snitch.
Amesema kazi ya Magu sasa ni kututoa hapa kwny kipato cha $1,080 na kufikia $3,000 by 2025 ili kufikia uchumi wa Kati.
Yaani kama tangu 2005 mpk 2020 wamepambana marais hatari ndio tumefikia $1080 sijui miujiza ya aina gani itafanyika ndani ya miaka 5 kufikisha $1,920 zingine.
Wasukuma mmeumia sana tatizo lenu ushamba unawasumbua[emoji3]
Ngoja nikujibu kwa hizi screenshot mbili, usipoelewa basiViwango vya uchumi wa kati wa chini na juu vimewekwa na WB. Sasa kuna watu kweli na akili zao timamu walikuwa hawafahamu hili? Leo ndio wamefahamu kwamba JK na BWM ndio walipanga?
''The World Bank classifies the world's economies into four income groups — high, upper-middle, lower-middle, and low. We base this assignment on Gross National Income (GNI) per capita (current US$) calculated using the Atlas method.''
''(MIC) According to the World Bank, middle-income countries (MICs) are defined as economies with a Gross National Income (GNI) per capita between $1,026 and $12,475. MICs are one of the income categories that the World Bank uses to classify economies for operational and analytical purposes.''
Haya majungu sijui yataisha lini, Watanzania tuwe macho na wapotoshaji.