Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Sasa ulivyo wewe kilaza usifikiri kila mtu ni kilaza,,!

Hao viongozi vilaza wanakuingoza wewe, na ukoo wako basi ila sisi wenye akili tunaongozwa na viongozi wenye akili timamu wakiongozwa na jemadari Magufuli, hutaki jinyonge
Matokea yake ni Kama hayo,matuta kila kona kwenye barabara zetu,ujenzi wetu ni Kama ule wa hapa mbezi mwisho,au mfugale bridge etc
 
Kwanza Alianza kwa kumzodoa Rais, kiko kitu kilimkera na akashindwa kujizuia hisia zake. Kiongozi mzoefu kama yeye anahitaji kujiandaa nini kusema neno la faraja msibani? ! Alitaka aandaliwe hotuba labda! Na atumie zaidi ya saa 1, sijui.

Alitakiwa appreciate angalau kufikiwa kwa uchumi wa kati hata kama ni wa chini. Kutoka katika uchumi wa kuzunguka duniani kutembeza bakuli la ombaomba. Lakini hawezi maana anataka kujustify sera zake za taifa la diplomasia ya ombaomba.
Yeye na marehemu hawakufurahishwa na kauli ya nchi hii ilikuwa na mambo mengi ya hovyo, inawakosesha amani. Anyway kapata fursa msibani ya kurusha dongo na kaitendea haki.
 
Mkuu unasema hivyo kwa sababu unajua kuwa mfumo ulioopo hauruhusu kila mtanzania kywavna haki ya kuchagua na kuchaguliwa kuwa kiongozi,na ukilaza wa wananchi tuliowengi na viongozi wetu unatufanya tusione hilo tatizo.Ila pamoja na umri wangu mdogo I believe am more competent than him
Ni kwamba wewe ni kilaza kama unaona kiongozi wako hafai jibu ni kwmba wewe ndio kilaza
 
Lissu haitaji kampeni ya kikwete. Lissu anapigiwa kampeni na Mungu tu.
 
Ni kwamba wewe ni kilaza kama unaona kiongozi wako hafai jibu ni kwmba wewe ndio kilaza
Mkuu do you think mtu akishakuwa kiongozi ndo anakuwa amekuwa na akili kuliko watu wote? Au unadhani mtu anakuwa kiongozi kwa kuwa anaakili kuliko watu wote? Kama unafikiria hivyo I am sorry for you
 
Wajumbe sio watu wazuri wanafweka mpaka hoja za wazungu 😂😂
 
Mkuu hiyo USD 3000.00 huwa haitaji,kwa sababu akiitaja itaondoa uspoon wake,Kuna siku pia nilimsikia akimlazimisha engineer mmoja aseme pesa zikizotegwa kwenye budget na si pesa zilizopelekwa kwenye ujenzi wa hicho kipande Cha barabara,alijui akitaja actual iliyopokelewa itakuwa aibu

Tweet ya Magu akijifagilia kufikia malengo ya 2025 mwaka 2020, hebu jaribu kumuelewesha huyo kilaza unayebishana nae Kama ataelewa maana Mimi nimenu ignore tayari, too foolish
Screenshot_20200729-211413.png
 
Jk huwa hakwepeshi macho, enzi za utawala wake tulikula neema ya nchi safi, yeye ndiyo akitiaga lile neno kwamba ukiji mwambafai sana haikufanyi kuwa kiongozi bora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkwere leo kakata utepe mweupe, wale wanaojigamaba na kutaka kusujudiwa AIBU kwao
 
Kwanza Alianza kwa kumzodoa Rais, kiko kitu kilimkera na akashindwa kujizuia hisia zake. Kiongozi mzoefu kama yeye anahitaji kujiamdaa nini kusema neno la faraja msibani? ! Alitaka aandaliwe hotuba labda! Na atumie zaidi ya saa 1, sijui.

Alitakiwa appreciate angalau kufikiwa kwa uchumi wa kati hata kama ni wa chini. Kutoka katika uchumi wa kuzunguka duniani kutembeza bakuli la ombaomba. Lakini hawezi maana anataka kujustify sera zake za taifa la diplomasia ya ombaomba.
Yeye na marehemu hawakufurahishwa na kauli ya nchi hii ilikuwa na mambo mengi ya hovyo, inawakosesha amani. Anyway kapata fursa msibani ya kurusha dongo na kaitendea haki.
Ni utoto probability za yeye kuitwa kuongea alijua hilo.

Halafu kama hakuona kosa alichoongea kwanini ajihami mwishoni “ngoja nimalize nisije kuvuka mipaka” eti anauliza mh raisi si inatosha.

Hiyo kauli ya kutoandaa speech ni kujihami tu, lakini alijua alichokuwa anakifanya from the beginning to the end.

Issue ni what is the motive?
 
Wasukuma mmeumia sana tatizo lenu ushamba unawasumbua[emoji3]
 
Wasukuma mmeumia sana leo acheni ushamba Basi[emoji3]
 
Ni utoto probability za yeye kuitwa kuongea alijua hilo.

Halafu kama hakuona kosa alichoongea kwanini ajihami mwishoni “ngoja nimalize nisije kuvuka mipaka” eti anauliza mh raisi si inatosha.

Hiyo kauli ya kutoandaa speech ni kujihami tu, lakini alijua alichokuwa anakifanya from the beginning to the end.

Issue ni what is the motive?

What is the motive?? Mh JPM kapata bahati, maana kimtokacho Mtu ndicho kilicho ujaza moyo wake. Aende na moja kichwani.
 
Acha ramli chonganishi rais Magufuli alielezea vizuri tangu siku anarudisha form ya urais kuwa kazi ya kuipeleka nchi uchumi wa kati ilianzishwa na wa tangulizi wake. Kwenye timu ya mpira sifa anapewa mfungaji bora anayepokea pasi ya mwisho.
Acha kupotosha wewe!! Wapi wameshasema kati ya viongozi wa sasa kuwa lengo la kufikia pato la dola 3000,halijafikiwa?wakati wao wanasema tumefika kabla ya muda? Na hawasemi kuwa ni uchumi wa kati mdogo!!! Lengo lilikuwa ni by 2025 kufikia dola 300.,sasa leo umefikia 1090!!unasemaje umefikia lengo kabla ya muda?!!
 
Ukweli ni kwamba kipato walichokuwa nacho Watu wengi ikiwemo Mimi kipindi cha JK Sasa hivi hakipo tumeporomoka kwa kasi.
Na Tulikuwa tunafanya kazi halali kabisa na ndio tunazifanya hata Sasa lakini no money
 
MATAGA watamuona JK ni bonge la Snitch.

Amesema kazi ya Magu sasa ni kututoa hapa kwny kipato cha $1,080 na kufikia $3,000 by 2025 ili kufikia uchumi wa Kati.

Yaani kama tangu 2005 mpk 2020 wamepambana marais hatari ndio tumefikia $1080 sijui miujiza ya aina gani itafanyika ndani ya miaka 5 kufikisha $1,920 zingine.
2020-2025 hatutaki makoloni meusi ccm
 
Wasukuma mmeumia sana tatizo lenu ushamba unawasumbua[emoji3]

Tumezoea kuchorwa katuni za nguruwe kwenye red carpet na kupanda limozini. Nini kuitwa washamba. Huko ndiko harakati zilipo anzia, cartoon, kitabu, waraka wa wastaafu nk. Yako mengi, yanafichwa. Wewe unafikiri fikra na mwandishi halisi wa kitabu ni yule aliye hojiwa na wakisaidiana huyo muhispania??. Wao wametumika kufikisha ujumbe, wenye ujumbe wao wako huko wamejificha citizen kipindi niki.
 
Viwango vya uchumi wa kati wa chini na juu vimewekwa na WB. Sasa kuna watu kweli na akili zao timamu walikuwa hawafahamu hili? Leo ndio wamefahamu kwamba JK na BWM ndio walipanga?

''The World Bank classifies the world's economies into four income groups — high, upper-middle, lower-middle, and low. We base this assignment on Gross National Income (GNI) per capita (current US$) calculated using the Atlas method.''

''(MIC) According to the World Bank, middle-income countries (MICs) are defined as economies with a Gross National Income (GNI) per capita between $1,026 and $12,475. MICs are one of the income categories that the World Bank uses to classify economies for operational and analytical purposes.''

Haya majungu sijui yataisha lini, Watanzania tuwe macho na wapotoshaji.
Ngoja nikujibu kwa hizi screenshot mbili, usipoelewa basi
Screenshot_20200729-211413.png
Screenshot_20200729-205124.png
Screenshot_20200729-205124.png
 
Back
Top Bottom