ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Alafu utasikia tunajenga kwa pesa zetu sijui tunakusanya sana,huyu ukimthaminisha kwenye takwimu alichofanya past 5years unapata F ila kafaulu kutisha watu na kunyamazisha freedom of expression hasa kwa media zinazotumiwa na watu wa kawaida na vyama vya siasa kwa hiyo watu hawajui kitu tofauti na wanachoambiwa na ccm au ambacho kiko controlledNa magufuli anaingia mikataba gani?mfano kwenye issue ya makinikia Kuna Nini Cha maana,kwenye mikopo ya interest kubwa mpaka sasa yupo juu kuliko mtu yeyote yule
Toka Magu kaingia madarakani sijui kama umewahi msikia akizungumzia dira ya taifa au kuimarisha kipato cha mtu,mimi nachojua yeye anaongeleaga sgr,sijui stiglaz na flyover mengine ni nadra sanaMkuu Ile 2025 national strategy development plan si ya mkapa bali ya nchi,mkapa aliitekeleza,JK kaitekeleza and Magu is doing the same though in very very slow pace
Uwezi kufananisha Tanzania inachopata ndani ya Twiga na tulichokuwa tunapata kutoka ACCACIA. Hawezi kufanya kila kitu kwa ufasaha yeye sio financier wala contract lawyer; anachoweza kutaka kuona we get a better deal sasa kama appointed negotiators are unskilled umlaumu yeye for the results. Yeye atabaki na credit he tried.Na magufuli anaingia mikataba gani?mfano kwenye issue ya makinikia Kuna Nini Cha maana,kwenye mikopo ya interest kubwa mpaka sasa yupo juu kuliko mtu yeyote yule
Hao watangulizi wake unawalaumu kwa kuwa walikuwa financier au contract lawyers?au unasukumwa na usukuma?Uwezi kufananisha Tanzania inachopata ndani ya Twiga na tulichokuwa tunapata kutoka ACCACIA. Hawezi kufanya kila kitu kwa ufasaha yeye sio financier wala contract lawyer; anachoweza kutaka kuona we get a better deal sasa kama appointed negotiators are unskilled umlaumu yeye for the results. Yeye atabaki na credit he tried.
Hayo ni matatizo ya Selemani Jaffo au kitengo chao cha habari wao wakishapita hawa chukui picha za sehemu mbali mbali wakaziweka kwenye website.Toka Magu kaingia madarakani sijui kama umewahi msikia akizungumzia dira ya taifa au kuimarisha kipato cha mtu,mimi nachojua yeye anaongeleaga sgr,sijui stiglaz na flyover mengine ni nadra sana
Mkuu naona BAVICHA Wanairuka hii kwa makusudi kabisa, hawatakagi kusikia kabisa.Kuna watu mbwiga kweli.
Hiyo $3000 ni ya Mkapa (Local) ambayo hata angekuwa Rais wa milele Tz angekufa tu bila kuifikia hata kama mwaka 2060.
Wakenya wenyewe hata $2000 hawajaifikia pamoja na kuwa MIC a decade itakuwa nyie utopolo.
World bank wao ni hiyo $1026-$12,475 ambayo inatumika dunia nzima ku-classfy MIC.
Na hakuna mtu amesema ameingia MIC ya Mkapa,watu wako kwenye ranking ya WB.
Mkuu sijawahi kumsikia labda hajui anachokifanyaToka Magu kaingia madarakani sijui kama umewahi msikia akizungumzia dira ya taifa au kuimarisha kipato cha mtu,mimi nachojua yeye anaongeleaga sgr,sijui stiglaz na flyover mengine ni nadra sana
Hawezi kufikia ukitaka kujua hilo angalia GNI kuanzia 2005-2015 afu angalia 2015-2020 utakuta inashuka sasa atafikaje Magu? Kiufupi tutamu assess kwa kuangalia dira ya Taifa sio WB wanasemaje maana hawa hawa huwa wakipewa takwimu hasi wananunaUchumi ni kama GPA university mwanzoni tulikuwa kwenye pasi sasa tuko kwenye lower second baadae tutapanda hadi upper second (uchumi wa Kati) halisi.
Alichoongea Mzee Kikwete ndio ukweli wa tafsiri ya mageuzi ambayo yanatakiwa kupatikana ifikapo 2025.
Katika hayo Sina shaka na Mh. Rais JPM kutimiza matarijio hayo,kikubwa si kubeza bali ni kumuomba Mungu atupe uzima wa pamoja kuona hayo.
Nina hakika katika yeye kutimiza ndoto na maono hayo kwa manufaa ya kizazi kijacho.
Mkuu sina hakika Kama tunaelewana,nimesema hizo sababu ulizotumia kumtetea Magufuli kwanini pia zisitumike kwa BWM na JK?Hao ndio usiwagusie maana mikataba waliyoingia ndio mibovu kweli kweli.
Unaweza fananisha mkataba waliongia serikali ya Mkapa sijui na kampuni gani, ambayo ikanunuliwa na ACCACIA wakati wa JK? Na tulichopata kupitia Twiga.Mkuu sina hakika Kama tunaelewana,nimesema hizo sababu ulizotumia kumtetea Magufuli kwanini pia zisitumike kwa BWM na JK?
Mkuu hiki inachopata serikali kwenye mkataba na twiga Mimi sikijui na najua serikali hii haioni shida kusema uongo Ila Lissu akifika Ikulu November 2020 tutaujua ukweliUnaweza fananisha mkataba waliongia serikali ya Mkapa sijui na kampuni gani, ambayo ikanunuliwa na ACCACIA wakati wa JK? Na tulichopata kupitia Twiga.
And what did it take for those changes to take place, jibu lako litakupa tofauti.
Serikali ya awamu ya tano ilipaswa kuwa na kauli mbiu isemayo "hapa Propoganda tu'' badala ya ''hapa kazi tu''CDM wakitaka kuwakamata maccm kwenye sera kirahisi warejee tu kwenye ilani yao ya 2015
CCM walisema by 2020 kila wilaya itakuwa na hospitali,kila kata kituo cha afya na kila kijiji zahanati sasa je walizojenga ni asilimia ngapi? kumbuka idadi ya watu inaongezeka lakini wakiwaachia wawe wanasema eti tumejenga hospitali 67 na zahanati zaidi ya 400 watashindwa kuonesha kwamba ccm wamefeli,kwa idadi ya kata zaidi ya 3000 na vijiji zaidi ya 12,000 ukitafuta asilimia unakuta hakuna cha maana wamefanya licha ya kujipiga kifua
Pili hata kwenye barabara walisema barabara zote kuu zitakuwa zimeunganishwa na lami yaani mkoa kwa mkoa na nchi kwa nchi,lakini hadi navyoandika hapa kuna mikoa lundo hawajajenga kwa lami na hata huyu ataondoka hajamaimalisha mfano toka 2015 Tabora-kigoma ni vumbi,kigoma-kagera,kigoma-katavi-Rukwa ni vumbi,mbeya-tabora/singida ni vumbi,Arusha-musoma vumbi,Ruvuma-Morogoro,Njombe-Morogoro yote hiyo ni vumbi yaani hii ni baadhi tu
Ndio mlivyo mwishowe mnaishiaga kujiridhisha na vitu mnavyofikiria kichwani kwenu badala ya facts. Kama uamini serikali yako tafuta report za Barrick.Mkuu hiki inachopata serikali kwenye mkataba na twiga Mimi sikijui na najua serikali hii haioni shida kusema uongo Ila Lissu akifika Ikulu November 2020 tutaujua ukweli
Niambie kwa nini mkataba umefichwa?Ndio mlivyo mwishowe mnaishiaga kujiridhisha na vitu mnavyofikiria kichwani kwenu badala ya facts. Kama uamini serikali yako tafuta report za Barrick.
Mchana mwema.
Umefichwa wapi wakati terms za mkataba wa Twiga kila siku ulikuwa unaambiwa.Niambie kwa nini mkataba umefichwa?
Kushuka kwa uchumi kama ulivyosema ni kweli kunawezekana kutokea kwa kuwa uwekezaji wa miundombinu imara ni ghali sana,uchumi utaimalika kwa kasi pindi miundimbinu itakapo kamilika kujengwa.Hawezi kufikia ukitaka kujua hilo angalia GNI kuanzia 2005-2015 afu angalia 2015-2020 utakuta inashuka sasa atafikaje Magu? Kiufupi tutamu assess kwa kuangalia dira ya Taifa sio WB wanasemaje maana hawa hawa huwa wakipewa takwimu hasi wananuna
Pili huwezi niambia unawekeza trions of money kwenye mradi usio na maana kama sgr eti utaboresha maisha sahau hili ni mzigo juu kwa juu na deni kubwa kwa nchi
Wenzio kuanzia Moroco,Kenya,Ethiopia nk waliwekeza miradi ya dizaini hiyo kwenye maeneo potentia/shoroba kuu za usafirishaji na uchumi,huku kwetu mtu anawekeza sehemu ambayo hata haina mzigo wa maana sasa itasidia nini?