Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja comradeAhsante sana Mkuu
Wakurupukajiiiii! Haya kazi kwenu.Uzuri wa kikwete kila anapopata nafasi ya kuzungumza na jamii haachi kumuweka sawa Raisi. Tena kwa lugha rahisi yenye ujumbe ulioshiba.
Wakati kwa miakw mitano aliongeza $200MATAGA watamuona JK ni bonge la Snitch.
Amesema kazi ya Magu sasa ni kututoa hapa kwny kipato cha $1,080 na kufikia $3,000 by 2025 ili kufikia uchumi wa Kati.
Yaani kama tangu 2005 mpk 2020 wamepambana marais hatari ndio tumefikia $1080 sijui miujiza ya aina gani itafanyika ndani ya miaka 5 kufikisha $1,920 zingine.
Siokweli.Mm siongelei chama mkuu cna chama mm na wala huyo Magufuli cjawahi mpigia kura, mm naongea mambo yanayoonekana, je unabisha kwamba ufisadi ulitamalaki enzi za Kikwete? Umeme je unabisha kwamba ulikuwa haueleweki enzi za Kikwete? Usiniingize kwenye siasa za uchama cz mm co ccm mwenzio mm ni mzalendo nnayeipenda nchi yng na naona rais wng kazi anayoifanya but cku akivurunda naponda na naongea ukweli.
Sio wajing mkuu,wape haki yao ya kimsingi,ni misukulee.Kuna wajinga watabisha hii ngoja waje
WB hawakusema uchumi wa kati wewe sukule. Walisema "lower middle".Kwani Magufuki ndio alisema tuko uchumi wa kati au WB?
Tatizo magu bado.hajajua wanaosifia wanataka nini.Huo muda sina sababu nyumbu kazi ni kusifu hata kwa kupotosha ndo maana mchumi kikwete kaliweka hilo jambo Sawa labda nyumbu wanaweza kuelewa!
Sasa kwani Magufuli alisema ni nini wewe nyumbu wa hapo ufipa?WB hawakusema uchumi wa kati wewe sukule. Walisema "lower middle".
Huo ndio uchumi wa kati!?
Yeye mwenyewe kabemenda miundombinu yake mpaka basi halafu anajitetea upuuzi. Uchumi ni miundombinu na yeye miundombinu aliibemenda anategemea nini. Mipango siyo matumizi. Atuambie yeye alifanyaje kama si utapeli anafanya.Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa.
Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania.
Pia kaweka rekodi nyingine sawa kuwa Uchumi kukua kwa asilimia 7 Ni Mkapa ndio aliweka na baada ya Mkapa haijawahi kushuka hiyo Kasi.
Hii ni tofauti na propaganda za Sasa hivi kuwa Magufuli ndio kapandisha Kasi ya ukuaji Uchumi.
Wakati Kikwete akiwa madarakani nilimuona mtu wa kawaida lakini kwa maneno niliyoyasikia akisema msibani, nimeamini huyu jamaa ni kichwa na ni kiongozi kwa asili. Amefafanua mambo mazuri mno na inaonesha Mwinyi, Mkapa na Kikwete waliifanya ikulu taasisi na si ya mtu mmoja.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Kwahiho WB ndio waongo?
🤣 Wee mnyakyusa fala kweli!!Kudadadeki, kweli Tanzania ni masikini, kumbe hatunaga hata USD buku jero kwa mwaka, iyoooooooooooo maweeeeeeee
Wewe ni moja kati ya wajinga wachache!Umeanza kuhoji wachangiaji badala ya Rais?? Naona ni kama umepewa za uso pia na JK, unawayawaya na kuuliza maswali ya hovyo.
WB siku zote wameitwa mabeberu. Sasa una mashaka pia na mabeberu ambao taarifa yao ya kupaa uchumi wa kati wa chini mliifurahia na kusema hata mmevuka lengo na kuwahi kufika kabla ya 2025???!!!
Aulizwe JK aliyosema ameyatoa wapi!!
Hebu nitajie hayo mambo ya hovyo yanayofanywa na uongozi wa ss na uthibitishe kwamba ni ya hovyo.Siokweli.
Kosa la kikwete ni kuwaamsha watu na kuwaluhusu kujua yanayotokea kwenye utawara.wake ote.
Kwasasa mambo mengi ya hovyo yanafanywa hata kuliko vipindi vyote vilivyopita.
Ila hakuna anaesubutu kuongea.
Yaan kwa ufupi tumeludishwa usingizini tena kama zamani.hakuna kuhoji wala kusema palipopinda.
Ukitaka uishi salama unatakiwa usifie tu.
Rais wa nchi ni nani? Magufuli au WB? Au wana ubia wa kuongoza nchi?Magufuli katoa taarifa iliyotokana na WB
Mkuu kwa mujibu wa 2025 development plan yetu uchumi wa kati tunaoutaka ni wa kipato Cha USD 3000.00 per person.Hiyo iliyotangazwa na WB ya USD 1028 ni range ya WB but si tagert yetu jaribu kuelewa.Magufuli na serikali yake walikuwa wanatupotosha kwamba wamefikia target kabla ya muda.Shame on you and magufuliKuna watu mbwiga kweli.
Hiyo $3000 ni ya Mkapa (Local) ambayo hata angekuwa Rais wa milele Tz angekufa tu bila kuifikia hata kama mwaka 2060.
Wakenya wenyewe hata $2000 hawajaifikia pamoja na kuwa MIC a decade itakuwa nyie utopolo.
World bank wao ni hiyo $1026-$12,475 ambayo inatumika dunia nzima ku-classfy MIC.
Na hakuna mtu amesema ameingia MIC ya Mkapa,watu wako kwenye ranking ya WB.