Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Kwa uongozi huu wa magufuli, nadhani tunaweza kaaa msimu mmoja tuu kwenye hii league daraja la kati, mwakani unaweza kuta tumerudi kwenye league yetu pendwa ya mchangani ya daraja la chini.
 
Wakati kwa miakw mitano aliongeza $200
 
Siokweli.
Kosa la kikwete ni kuwaamsha watu na kuwaluhusu kujua yanayotokea kwenye utawara.wake ote.

Kwasasa mambo mengi ya hovyo yanafanywa hata kuliko vipindi vyote vilivyopita.
Ila hakuna anaesubutu kuongea.

Yaan kwa ufupi tumeludishwa usingizini tena kama zamani.hakuna kuhoji wala kusema palipopinda.

Ukitaka uishi salama unatakiwa usifie tu.
 
Huo muda sina sababu nyumbu kazi ni kusifu hata kwa kupotosha ndo maana mchumi kikwete kaliweka hilo jambo Sawa labda nyumbu wanaweza kuelewa!
Tatizo magu bado.hajajua wanaosifia wanataka nini.

Maana kila anaesifia anapata nafasi ya uteuz.
Sasa kalibu kila mtu kajitoa ufahamu.
Hadi paskali nae kaamua kukesha kwa kutoa sifa tu.
 
WB hawakusema uchumi wa kati wewe sukule. Walisema "lower middle".
Huo ndio uchumi wa kati!?
Sasa kwani Magufuli alisema ni nini wewe nyumbu wa hapo ufipa?

Haya kahiyo Kikwete atamsaidia Lisu kampeni ili ashinde urais?
 
Yeye mwenyewe kabemenda miundombinu yake mpaka basi halafu anajitetea upuuzi. Uchumi ni miundombinu na yeye miundombinu aliibemenda anategemea nini. Mipango siyo matumizi. Atuambie yeye alifanyaje kama si utapeli anafanya.
 

JK kichwa sana, huwa anashusha nondo kulingana na mazingira na hadhira aliyopo
 
Kwahiho WB ndio waongo?

Umeanza kuhoji wachangiaji badala ya Rais?? Naona ni kama umepewa za uso pia na JK, unawayawaya na kuuliza maswali ya hovyo.

WB siku zote wameitwa mabeberu. Sasa una mashaka pia na mabeberu ambao taarifa yao ya kupaa uchumi wa kati wa chini mliifurahia na kusema hata mmevuka lengo na kuwahi kufika kabla ya 2025???!!!

Aulizwe JK aliyosema ameyatoa wapi!!
 
Wewe ni moja kati ya wajinga wachache!

Jk kasema Mkapa alipanga kufikia 2025 tuwe na pato la dola elf 3 kwa kila mwananchi! Japo tumeingia uchumi wa kati kwa wastan wa pato la dola 1,080 lakini bado hatukafikia lengo la Mkapa!

Haya sasa wewe nyumbu mdogo sana hapo ufipa, Kikwete kuna kipi alichokanush hapo? Je aliesema tumefika uchumi wa kati ni Magufuli au WB?
 
Hebu nitajie hayo mambo ya hovyo yanayofanywa na uongozi wa ss na uthibitishe kwamba ni ya hovyo.
 
Mkuu kwa mujibu wa 2025 development plan yetu uchumi wa kati tunaoutaka ni wa kipato Cha USD 3000.00 per person.Hiyo iliyotangazwa na WB ya USD 1028 ni range ya WB but si tagert yetu jaribu kuelewa.Magufuli na serikali yake walikuwa wanatupotosha kwamba wamefikia target kabla ya muda.Shame on you and magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…