Mbona swali ka kijinga sana hili?Rais wa nchi ni nani? Magufuli au WB? Au wana ubia wa kuongoza nchi?
Sipotezi muda wangu kwa wajinga!Usiwe mpumbavu,!
Mpango ndio aliwashawishi WB waitangaze tz kuingia uchumi wa kati?
Kikwete ameongelea dola elf 3 za lengo la Mkapa, hajaongelea lengo la WB.
Umeelewa ewe mbumbumbu shabiki wa mnywa gongo?
Kwahiyo kwa akili yako WB wanafiatisha mpango uliowekwa na nchi au wao wemyewe wana vigezo vyao ambavyo ndio hivyo vilivyotumika kuitangaza tz?Mkuu kwa mujibu wa 2025 development plan yetu uchumi wa kati tunaoutaka ni wa kipato Cha USD 3000.00 per person.Hiyo iliyotangazwa na WB ya USD 1028 ni range ya WB but si tagert yetu jaribu kuelewa.Magufuli na serikali yake walikuwa wanatupotosha kwamba wamefikia target kabla ya muda.Shame on you and magufuli
Kwa hiyo Magufuli anawasikiliza mabeberu? Mbona una very low self esteem? Hivi unaona unavyojichanganya?Mbona swali ka kijinga sana hili?
Magufuli alitoa taarifa iliyotoka na WB kuitangaza Tz kuingia kwenye kundi la nchi za uchumi wa kati!
Nini hujaelewa hapo?
Basi nenda kw wanywa gongo wenzio mwenyekiti wakoSipotezi muda wangu kwa wajinga!
Usiwe bumundaWewe ni moja kati ya wajinga wachache!
Jk kasema Mkapa alipanga kufikia 2025 tuwe na pato la dola elf 3 kwa kila mwananchi! Japo tumeingia uchumi wa kati kwa wastan wa pato la dola 1,080 lakini bado hatukafikia lengo la Mkapa!
Haya sasa wewe nyumbu mdogo sana hapo ufipa, Kikwete kuna kipi alichokanush hapo? Je aliesema tumefika uchumi wa kati ni Magufuli au WB?
Wewe ni lipumbavu!Kwa hiyo Magufuli anawasikiliza mabeberu? Mbona una very low self esteem? Hivi unaona unavyojichanganya?
MATAGA watamuona JK ni bonge la Snitch.
Amesema kazi ya Magu sasa ni kututoa hapa kwny kipato cha $1,080 na kufikia $3,000 by 2025 ili kufikia uchumi wa Kati.
Yaani kama tangu2005[SUP]1995 [/SUP]mpk 2020 wamepambana marais hatari ndio tumefikia $1080 sijui miujiza ya aina gani itafanyika ndani ya miaka 5 kufikisha $1,920 zingine.
Umeshindwa hoja umeanza viroja. Haya mambo siyo personal. Naona unaweweseka tu huna cha maana unachoandikaWewe ni lipumbavu!
Mabeberu kivipi sasa?
. WB ni taasisi ya kidunia sasa mabeberu kivipi? Mbona unakuwa na akili mgando hivi au uko na mwenyekiti mnapiga konyagi?
Iambieni hiyo TBC yenu iache kupotosha...Kikwete ninampenda bure. Maana watanzania walijua kuwa wamefika pato la 3000 kabla ya 2025.
We endelea kua kipofu.Hebu nitajie hayo mambo ya hovyo yanayofanywa na uongozi wa ss na uthibitishe kwamba ni ya hovyo.
Kikwete ndio kasema hivyo?Usiwe bumunda
Tanzania ilipotangazwa kuwa Uchumi wa Kati na WB,
Walivyokuwa wakisema Mawaziri na Magufuli mwenyewe Ni kuwa tulikuwa tumejiwekea kufikia Uchumi wa Kati 2025 lakini Magufuli kaufuikia kabla ya muda uliopangwa
Huu ndio ujinga ninaopingana nao, Kama hizo propaganda zisingepigawa nisingeanzisha hata huu uzi
Mkuu hawa viazi tuwaache tu, hawaelewe, wapo kupiga makofi na kuabudu serikali yao ishindwe.Ulitakiwa uende huko kwa mabeberu uwaulize kuingia uchumi wa kati unaazia kiasi gani, ndo tungejua kama wamempendelea,
Swala la mipango kma nchi havihusiani na kiwango cha kimataifa walichojiwekea.
Usipende kuongelea tu mambo kwa kuwa unaona yanakupa furaha.
Nenda kamuulize huyi kikwete kuhusu mpango wa BRN aliutekeleza kwa kiwango gani na lengo lilikuwa afikie asilimia ngapi na yeye kafikia ngapi?
Je alifanikiwa au laah na kama hakufanikiwa alishindwaje wakati alipanga mwenyewe?
Narudia tumieni akiri mlizopewa, kuna vitu vingine huhitaji kuchangia unakaa kimya,maana ukichangia kwa udhaifu wako kimahaba unaondokewa na heshima ya elimu uliyonayo.
Yani ni Serikali Ya Malofa na Wapumbavu kwelikweli.Siokweli.
Kosa la kikwete ni kuwaamsha watu na kuwaluhusu kujua yanayotokea kwenye utawara.wake ote.
Kwasasa mambo mengi ya hovyo yanafanywa hata kuliko vipindi vyote vilivyopita.
Ila hakuna anaesubutu kuongea.
Yaan kwa ufupi tumeludishwa usingizini tena kama zamani.hakuna kuhoji wala kusema palipopinda.
Ukitaka uishi salama unatakiwa usifie tu.
Mkuu chadema wengi wa humu wanacoment wakiw wamejilaza kwenye sofa za sebuleni kwa shemeji zao! Mambo ya uchumi watajulia wapi?Ufipa vs Lumumba ngumi zinapigwa humu hatari. Nchi ipo uchimu wa kati-chini. Wewe binafsi uchumi wako upo level gani? Msije kuparuana hapa kumbe uchumi wenu tia maji.