Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Rais wa nchi ni nani? Magufuli au WB? Au wana ubia wa kuongoza nchi?
Mbona swali ka kijinga sana hili?

Magufuli alitoa taarifa iliyotoka na WB kuitangaza Tz kuingia kwenye kundi la nchi za uchumi wa kati!

Nini hujaelewa hapo?
 
Usiwe mpumbavu,!

Mpango ndio aliwashawishi WB waitangaze tz kuingia uchumi wa kati?

Kikwete ameongelea dola elf 3 za lengo la Mkapa, hajaongelea lengo la WB.

Umeelewa ewe mbumbumbu shabiki wa mnywa gongo?
Sipotezi muda wangu kwa wajinga!
 
Mkuu kwa mujibu wa 2025 development plan yetu uchumi wa kati tunaoutaka ni wa kipato Cha USD 3000.00 per person.Hiyo iliyotangazwa na WB ya USD 1028 ni range ya WB but si tagert yetu jaribu kuelewa.Magufuli na serikali yake walikuwa wanatupotosha kwamba wamefikia target kabla ya muda.Shame on you and magufuli
Kwahiyo kwa akili yako WB wanafiatisha mpango uliowekwa na nchi au wao wemyewe wana vigezo vyao ambavyo ndio hivyo vilivyotumika kuitangaza tz?

Alafu mbona Kikwete alikuwa clear kabisa? Kwamba pamoja na kwamba tumingia kundi la nchi za uchumi wa kati lakini hatujafikia lengo akiloweka Mkapa kwamba tufikie tukiwa na pato la dola elf 3 by 2025
.narudia ilikuwa ni mapngo uliowekwa na Mkapa, sasa kigumu ni kipi hapo?

Au lockdown imekufanya akili ifubae?
 
Mbona swali ka kijinga sana hili?

Magufuli alitoa taarifa iliyotoka na WB kuitangaza Tz kuingia kwenye kundi la nchi za uchumi wa kati!

Nini hujaelewa hapo?
Kwa hiyo Magufuli anawasikiliza mabeberu? Mbona una very low self esteem? Hivi unaona unavyojichanganya?
 
Wewe ni moja kati ya wajinga wachache!

Jk kasema Mkapa alipanga kufikia 2025 tuwe na pato la dola elf 3 kwa kila mwananchi! Japo tumeingia uchumi wa kati kwa wastan wa pato la dola 1,080 lakini bado hatukafikia lengo la Mkapa!

Haya sasa wewe nyumbu mdogo sana hapo ufipa, Kikwete kuna kipi alichokanush hapo? Je aliesema tumefika uchumi wa kati ni Magufuli au WB?
Usiwe bumunda

Tanzania ilipotangazwa kuwa Uchumi wa Kati na WB,

Walivyokuwa wakisema Mawaziri na Magufuli mwenyewe Ni kuwa tulikuwa tumejiwekea kufikia Uchumi wa Kati 2025 lakini Magufuli kaufuikia kabla ya muda uliopangwa

Huu ndio ujinga ninaopingana nao, Kama hizo propaganda zisingepigawa nisingeanzisha hata huu uzi
 
Kwa hiyo Magufuli anawasikiliza mabeberu? Mbona una very low self esteem? Hivi unaona unavyojichanganya?
Wewe ni lipumbavu!

Mabeberu kivipi sasa?
. WB ni taasisi ya kidunia sasa mabeberu kivipi? Mbona unakuwa na akili mgando hivi au uko na mwenyekiti mnapiga konyagi?
 
MATAGA watamuona JK ni bonge la Snitch.

Amesema kazi ya Magu sasa ni kututoa hapa kwny kipato cha $1,080 na kufikia $3,000 by 2025 ili kufikia uchumi wa Kati.

Yaani kama tangu 2005 [SUP]1995 [/SUP]mpk 2020 wamepambana marais hatari ndio tumefikia $1080 sijui miujiza ya aina gani itafanyika ndani ya miaka 5 kufikisha $1,920 zingine.

Siyo 2005 mpaka 2020 bali ni kuanzia 1995 mpaka 2020 (yaani miaka 25!) Kupanga na kuachieve vitu viwili tofauti. Ni kama Nyerere alipopanga kuhamia Dodoma nadhani mwaka 1973 au 74 lakini haikufanyika hadai mwaka 2020.
 
Wewe ni lipumbavu!

Mabeberu kivipi sasa?
. WB ni taasisi ya kidunia sasa mabeberu kivipi? Mbona unakuwa na akili mgando hivi au uko na mwenyekiti mnapiga konyagi?
Umeshindwa hoja umeanza viroja. Haya mambo siyo personal. Naona unaweweseka tu huna cha maana unachoandika
 
Kikwete ninampenda bure. Maana watanzania walijua kuwa wamefika pato la 3000 kabla ya 2025.
Iambieni hiyo TBC yenu iache kupotosha...

Pinda pia aliongea vizuri sana Dodoma juu ya hilo. Tatizo mmekuwa madomokaya sana.
 
Setting the record properly. Safi sana. Uzuri wa Kikwete anaongea kwa moyo mweupe kabisa hana kinyongo wala hategemei kuweka kinyongo kwa alilotamka la ukweli leo. Mabingwa wa vinyongo ndiyo tutaona actions zao baada ya Leo.
 
Ufipa vs Lumumba ngumi zinapigwa humu hatari. Nchi ipo uchimu wa kati-chini. Wewe binafsi uchumi wako upo level gani? Msije kuparuana hapa kumbe uchumi wenu tia maji.
 
Usiwe bumunda

Tanzania ilipotangazwa kuwa Uchumi wa Kati na WB,

Walivyokuwa wakisema Mawaziri na Magufuli mwenyewe Ni kuwa tulikuwa tumejiwekea kufikia Uchumi wa Kati 2025 lakini Magufuli kaufuikia kabla ya muda uliopangwa

Huu ndio ujinga ninaopingana nao, Kama hizo propaganda zisingepigawa nisingeanzisha hata huu uzi
Kikwete ndio kasema hivyo?

Kapinga kwamba hatujafikia uchumi wa kati kulingana Wb?

Jibu kwanza hayo ili nijue sibishani na kiazi mbatata
 
Ulitakiwa uende huko kwa mabeberu uwaulize kuingia uchumi wa kati unaazia kiasi gani, ndo tungejua kama wamempendelea,
Swala la mipango kma nchi havihusiani na kiwango cha kimataifa walichojiwekea.
Usipende kuongelea tu mambo kwa kuwa unaona yanakupa furaha.
Nenda kamuulize huyi kikwete kuhusu mpango wa BRN aliutekeleza kwa kiwango gani na lengo lilikuwa afikie asilimia ngapi na yeye kafikia ngapi?
Je alifanikiwa au laah na kama hakufanikiwa alishindwaje wakati alipanga mwenyewe?
Narudia tumieni akiri mlizopewa, kuna vitu vingine huhitaji kuchangia unakaa kimya,maana ukichangia kwa udhaifu wako kimahaba unaondokewa na heshima ya elimu uliyonayo.
Mkuu hawa viazi tuwaache tu, hawaelewe, wapo kupiga makofi na kuabudu serikali yao ishindwe.
 
Siokweli.
Kosa la kikwete ni kuwaamsha watu na kuwaluhusu kujua yanayotokea kwenye utawara.wake ote.

Kwasasa mambo mengi ya hovyo yanafanywa hata kuliko vipindi vyote vilivyopita.
Ila hakuna anaesubutu kuongea.

Yaan kwa ufupi tumeludishwa usingizini tena kama zamani.hakuna kuhoji wala kusema palipopinda.

Ukitaka uishi salama unatakiwa usifie tu.
Yani ni Serikali Ya Malofa na Wapumbavu kwelikweli.
 
Ufipa vs Lumumba ngumi zinapigwa humu hatari. Nchi ipo uchimu wa kati-chini. Wewe binafsi uchumi wako upo level gani? Msije kuparuana hapa kumbe uchumi wenu tia maji.
Mkuu chadema wengi wa humu wanacoment wakiw wamejilaza kwenye sofa za sebuleni kwa shemeji zao! Mambo ya uchumi watajulia wapi?

Bando zenyewe wanazotumia wamenunulia jero jero walizobana baada ya kutumwa kununua nyanya gengeni
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom