Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Sasa hapa mnachobisha nyie ni kitu gani?

Kikwete kasema pamoja na kuingia uchumi wa kati lakini bado hatujafikia lengo alilotaka Mkapa la kila mwananchi kuwa na pato la dola elf 3 kwa mwaka!

Sasa hii ya kusema kamuumbua Magufuli kaisema saa ngapi?
 
Kwahiyo kikwete anapingana na world bank?
Wewe ndo hujaelewa.JK amesema our country target by 2025 is USD 3000 kwa kila mtanzania, Sasa hiyo report ya WB ameipinga wapi? Please msikilize tena
 
Wewe ndo hujaelewa.JK amesema our country target by 2025 is USD 3000 kwa kila mtanzania, Sasa hiyo report ya WB ameipinga wapi? Please msikilize tena
Sasa mbona mnapotosha kwamba kamuumbua Magufuli?
 
Sasa hapa mnachobisha nyie ni kitu gani?

Kikwete kasema pamoja na kuingia uchumi wa kati lakini bado hatujafikia lengo alilotaka Mkapa la kila mwananchi kuwa na pato la dola elf 3 kwa mwaka!

Sasa hii ya kusema kamuumbua Magufuli kaisema saa ngapi?
Mkuu Magufuli alikuwa anatudanganya kwamba tumefikia lengo mapema zaidi kabla ya 2025.Please remember lengo letu si kuingia uchumi wa kati bali Tanzania kuwa nchi yenye uchumi wa kati ambayo Pato la mtanzania wastani wa USD 3000.00.I hope nometumia lugha nyepesi so utanielewa
 
Lengo lipi alilosema Magufuli kwamba tumefika mapema?

Magufuli alikuwa anaongelea lengo la nchi kufikia uchumi wa kati by 2025 au lengo la Mkapa la kila mtanzania kuwa na wastani wa pato la dola elf 3 kwa mwaka by 2025?
 
Tumuamini nani kati ya world bank kama taasisi ya fedha duniani yenye wataalamu lukuki wabobezi ,au mzee wa kiswahili Jakaya kikwete?
Duh, Mzee mbona mnakuwa wagumu kuelewa?
Uchumi wa Kati waliopanga kufikia Ni 3000 lakini WB japo walitutangaza kufikia Uchumi wa Kati, hatupaswi kusema eti tumefikia lengo tulilojiwekea kabla ya muda
Sababu hatujafikia lengo letu
 
Endelea kucoment ukiwa sebuleni kwa shemeji yako
Mkuu hapa Dar nina nyumba tatu,moja ipo kigogo luhanga,a self contained house,Ya pili ipo mbezi Luis ndo naishi Sasa na nyingine ipo mbezi msumi.Zote ni nyumba bora naza kisasa kabisa,sebuleni kwangu Kuna screen ya nchi 70 iliyonunuliwa kwa shilingi za kitanzania milioni Saba na nusu pale duka la sumsung karibu na mnara wa askali au nyuma ya iliyokuwa postal bank_just for your information
 
Hii ni by 2025,HUJAELEWA usipotoshe watu 😕
 
Lengo la uzi ni nini ikiwa hatujafika 2025?
 
Haya basi wewe uko tofauti na wenzio
 
What is the international standard sio unatuletea mambo ya uswahili? Halafu unawezaje kutegemea hicho kipato kuongezeka kwa zaidi ya 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…