Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Sasa hapa mnachobisha nyie ni kitu gani?Mkuu Tanzania 2025 strategic development plan na indicators na targets zake zinazopaswa kufikiwa hazijategenezwa na WB bali watanzania wenyewe through serikali yao.Kwa hiyo WB waamini kwamba nchi yetu imeingia uchumi wa chini wa kati kwa kipato Cha USD 1028.00 kwa kila mtanzania Ila target yetu Kama taifa ni uchumi wa kati ambao kipato Cha mtanzania ni usd 3000.00
Kikwete kasema pamoja na kuingia uchumi wa kati lakini bado hatujafikia lengo alilotaka Mkapa la kila mwananchi kuwa na pato la dola elf 3 kwa mwaka!
Sasa hii ya kusema kamuumbua Magufuli kaisema saa ngapi?