Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Kwanza Alianza kwa kumzodoa Rais, kiko kitu kilimkera na akashindwa kujizuia hisia zake. Kiongozi mzoefu kama yeye anahitaji kujiandaa nini kusema neno la faraja msibani? ! Alitaka aandaliwe hotuba labda! Na atumie zaidi ya saa 1, sijui.

Alitakiwa appreciate angalau kufikiwa kwa uchumi wa kati hata kama ni wa chini. Kutoka katika uchumi wa kuzunguka duniani kutembeza bakuli la ombaomba. Lakini hawezi maana anataka kujustify sera zake za taifa la diplomasia ya ombaomba.
Yeye na marehemu hawakufurahishwa na kauli ya nchi hii ilikuwa na mambo mengi ya hovyo, inawakosesha amani. Anyway kapata fursa msibani ya kurusha dongo na kaitendea haki.
Rais mwenyewe kwanza alishindwa kujiheshimu,kuwaweka wenzio toka saa 1 asubuhi then wewe unaibuka saa nane mchana wakati kazi iliyokupeleka kule ni msiba that was very unprofessional behavior,la pili JK ni national and international figure,neno lake linasikika sana sasa kumkurupusha tu aongee was also unprofessional,yote kwa yote I believe kila mtu alikasirishwa na kitendo Cha kuchelewa kwa magu na ilikuwa dharau kwa marehemu na familia yake,Sioni sababu za kujustify uzembe ule
 
Mkuu unataka kusema kuwa kwenye awamu hii ya msukuma kusema ukweli ni kosa? Au mie ndo sijakusoma
Itakuwa una bahati sana kwenye maisha yako na ujakutana na mikiki ya binadamu; maana unashindwa kutofautisha mtu anaeongea kwa nia ya kutoa ukweli au anachosema kinalenga kupika majungu, japo facts ni zilezile.

Anyway nisije zungumza nisiyoyajua nasubiri kuona kwanza ACT na CDM watasimamisha mgombea mmoja ama.
 
Sasa kwani Magufuli alisema ni nini wewe nyumbu wa hapo ufipa?

Haya kahiyo Kikwete atamsaidia Lisu kampeni ili ashinde urais?
Ni kwann wapinzani wanapambanisha ccm vs ccm? Ni kwa sababu ya tabia ya wanaotoa sifa ya kumsifia sana raisi kwa kulinganisha na huko nyuma ilihali huko nyuma waliongoza ccm
 
Tumefikia uchumi wa kati chini ,na 2025 tukuwa tumefikia uchumi wa kati,katikati au juu ,kwanini tuaanze uchuro?
Lengo ilikua USD 3000 JK kasema Vizuri kabisa, kwaiyo kilichotokea Sasa Ni madaraja ya uchumi tu yameongezwa .Kama Taifa tuko na safari ya kufikia lengo
 
MATAGA hawawezi kukubali japo ukweli wanaishi nao moyoni. Wao wameshikilia propaganda kuwa tumefikia lengo kabla ya muda uliopangwa wa 2025, JK kaweka sawa kuwa lengo ni uchumi wa kati wa $3000, wao wanapiga propaganda tu.
 
Pia kaweka rekodi nyingine sawa kuwa Uchumi kukua kwa asilimia 7 Ni Mkapa ndio aliweka na baada ya Mkapa haijawahi kushuka hiyo Kasi.

Hii ni tofauti na propaganda za Sasa hivi kuwa Magufuli ndio kapandisha Kasi ya ukuaji Uchumi.

Kumbe ni kama kamba imekatikia pembamba
 
Itakuwa una bahati sana kwenye maisha yako na ujakutana na mikiki ya binadamu; maana unashindwa kutofautisha mtu anaeongea kwa nia ya kutoa ukweli au anachosema kinalenga kupika majungu, japo facts ni zilezile.

Anyway nisije zungumza nisiyoyajua nasubiri kuona kwanza ACT na CDM watasimamisha mgombea mmoja ama.
Acha usukuma na mitazamo hasi dhidi ya JK
 
Kuna watu mbwiga kweli.

Hiyo $3000 ni ya Mkapa (Local) ambayo hata angekuwa Rais wa milele Tz angekufa tu bila kuifikia hata kama mwaka 2060.

Wakenya wenyewe hata $2000 hawajaifikia pamoja na kuwa MIC a decade itakuwa nyie utopolo.

World bank wao ni hiyo $1026-$12,475 ambayo inatumika dunia nzima ku-classfy MIC.

Na hakuna mtu amesema ameingia MIC ya Mkapa,watu wako kwenye ranking ya WB.
Hivi kwa nini huwa mnashindwa kutofautisha mambo? ieleweke kuwa pamoja na kuwa tumeingia uchumi wa kati wa chini kwa vigezo vya world bank sisi kama nchi tuna malengo yetu. Hayo malengo ni uchumi wa kati lakini pato la kila mtanzania iwe kwa wastani wa USD 3000 na ni malengo yanayotakiwa kutimia 2025- kama ikifika 2025 na hilo bado ujue hatukutimiza maelngo tuliyojiwekea kama nchi! Crimea
 
Acha usukuma na mitazamo hasi dhidi ya JK
Sina usukuma ata chembe, wala sina shida na JK. If anything I am disappointed by him.

Kazi aliyotakiwa kuifanya ya kuweka mazingira wezeshi ya kuvutia biashara, Magufuli ndio kwanza anamfanyia na inataka hela ambazo yeye alishindwa kuzipata.

Lakini Magufuli anapambana bila kupita majukwaani kumuuliza mbona hakuweka hayo mazingira sanasana aliacha watu wachezee hela za maendeleo.

Busara kwa J.K ni kukaa na kujitathmini muda wake wa frontline politics ushapita, Magufuli is not perfect but is giving his best kuisogeza nchi mbele kushinda yeye alivyofanya by far.
 
Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa.

Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania.

Pia kaweka rekodi nyingine sawa kuwa Uchumi kukua kwa asilimia 7 Ni Mkapa ndio aliweka na baada ya Mkapa haijawahi kushuka hiyo Kasi.

Pia soma > Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

Hii ni tofauti na propaganda za Sasa hivi kuwa Magufuli ndio kapandisha Kasi ya ukuaji Uchumi.

Kishachemshà long time Sasa hivi tunarudisha chini
 
Mkuu Magufuli anafanya nini? Au wewe mtoto wa juzi? Hivi unajua kuwa kabla ya kikwete kwenda kwenu Mwanza kwa Basi ili ufike angalau kwa siku mbili ulitakiwa kupitia Nairobi? Hivi unajua Kama JK aliacha ametafuta pesa za SGR Ila Magufuli akazipelerushwa kwa ujuaji wake eti liba kubwa? Sasa ulizia hiyo mikopo anayokopa yeye Ina interest kiasi gani? Hivi unajua flyover zote na barabara ya njia sita Ubungo Chalinze aliacha ametafuta JK. Zaidi ya propoganda jamaa is doing nothing
 
ED10BA41-2032-4A3F-B95A-460185597841.jpeg

Wacha kufananisha mbingu na ardhi angalia size ya uchumi miaka 5 ya mwisho ya JK na miaka 5 ya Magufuli ata kipindi cha COVID Maagufuli is expected to beat JK highest peak in 2014.

Haya sema ni vipi JK bora kushinda Magufuli?
 
View attachment 1521456

Wacha kufananisha mbingu na ardhi angalia size ya uchumi miaka 5 ya mwisho ya JK na miaka 5 ya Magufuli ata kipindi cha COVID Maagufuli is expected to beat JK highest peak in 2014.

Haya sema ni vipi JK bora kushinda Magufuli?
Fanya hesabu hii halafu utasema kama wewe ni kiazi au la:
54 - 30 =
Halafu linganisha na
64 - 54 =

Ukipata majibu na maana yake ,,, jiite jina linalokupendeza moyoni mwako.
 
Hesabu inayolinganisha nini, hivi unajua factors zinazofanya GDP kukuwa and what needs to be achieved in order to grow? the output required to grow from 30-50 is not the same from 50-60.

Uchumi wa US unapokuwa ata at 0.2% percent icho kiwango ni kikubwa kushinda the entire Tanzania GDP.

Hesabu yako na mtazamo wako auna tofauti na huyo jamaa 👇
CB34A32A-C367-450E-B8F3-0E6F03FB09B3.jpeg
 
JK alitafuta pesa za SGR alikuwa anataka kuingia mkataba wa chief Mangungo?
Na magufuli anaingia mikataba gani?mfano kwenye issue ya makinikia Kuna Nini Cha maana,kwenye mikopo ya interest kubwa mpaka sasa yupo juu kuliko mtu yeyote yule
 
Back
Top Bottom