Mzee Kikwete CCM ina Wazee unawaita Wazee kwenye hili angalia hatua zako mbele kuna shimo kubwa

Mh Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naomba kukung'ata sikio ila pia naomba pia sio lazima chukua wazo langu mimi ni mdogo sana ila natamani kuona ccm na Taifa lina kuwa tulivu na ccm ina tawala hata kama miaka mia ila zingatia haya.

Wewe ni Rais mstaafu kama wastaafu wengine wa serikali epuka kuwa mbele kama mzee namba moja utaepuka mengi.

Amani ya Taifa hili ina hitaji busara na hekima na wewe kama Rais mstaafu unajuwa hili ktk milango ya Siri.

Mh Rais kwa hali ilivyo sasa na kile nakuona unakibebea bango mbele shimo litakuwa refu sana na uwenda likaleta maafa kwa Taifa na muktadha wa Taifa hili kwa miaka kadhaa mbele nakuomba baba yangu epuka kuwa reference heshimu mawazo ya wengi na hasa ya wakongwe wa Taifa hili ukikumbuka hakuna mtoto wala mjukuu wa Nyerere au Benjamin Mkapa kwenye siasa ila walikuwa na watoto. Kiapo cha sitopendelea mtu kwa dini,kabila au kwa dam kitakutesa once mambo yatakuwa mambo.

Kifo cha JPM bado kina watesa wa Tanzania wengi busara itumike kuliko nguvu lolote mnaweza fanya ila yaweza geuka kuwa kiza kati kati ya vilindi vya bahari ya kina kirefu.

Mwisho wema wamelala ila wapo kudai haki zao ktk hali yakushitua embu tuwakumbuke kwa sala na maombi. Amen
Anajihami ,mambo ya Escrow ,dollar kwenye mifuko ya sandarusi zilizofanya uwekezaji Australia bado ni mzimu kwake.
 
Kwani kafanya nini huyu Kikwete? Tafadhali mtutonye na sisi wa huku Katavi.
Mkuu deep sana na hili ndio pambano la JK anampambania Riz 1 awe Rais 2030, na Kambi zimeshaanza operation kimyakimya kuanzia 2026 Hadi 2030 nchi haitakiwa na utulivu makundi ya urais ndani ya CCM ni mengi mno kuliko ya 2015
 
Huyu Mzee ni mnafiki ndiye aliyeanzisha MAKUNDI ya CCM au mtandao athari zake hadi Leo zinaonekana mkapa aliweka msingi lakini huyu Mzee aliongoza nchi Kwa ukanjanja hadi Leo UMASKINI WA Tanzania anachangia kikwete kuambatana Ikulu na ROSTAM na ndugu wengine ,ndiye aliyeweka tiss Kuwa uvccm angalia Leo mateso yake

Mkapa aliweka msingi wa nini? nae alikuwa Takataka tu
 
Mh Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naomba kukung'ata sikio ila pia naomba pia sio lazima chukua wazo langu mimi ni mdogo sana ila natamani kuona ccm na Taifa lina kuwa tulivu na ccm ina tawala hata kama miaka mia ila zingatia haya.

Wewe ni Rais mstaafu kama wastaafu wengine wa serikali epuka kuwa mbele kama mzee namba moja utaepuka mengi.

Amani ya Taifa hili ina hitaji busara na hekima na wewe kama Rais mstaafu unajuwa hili ktk milango ya Siri.

Mh Rais kwa hali ilivyo sasa na kile nakuona unakibebea bango mbele shimo litakuwa refu sana na uwenda likaleta maafa kwa Taifa na muktadha wa Taifa hili kwa miaka kadhaa mbele nakuomba baba yangu epuka kuwa reference heshimu mawazo ya wengi na hasa ya wakongwe wa Taifa hili ukikumbuka hakuna mtoto wala mjukuu wa Nyerere au Benjamin Mkapa kwenye siasa ila walikuwa na watoto. Kiapo cha sitopendelea mtu kwa dini,kabila au kwa dam kitakutesa once mambo yatakuwa mambo.

Kifo cha JPM bado kina watesa wa Tanzania wengi busara itumike kuliko nguvu lolote mnaweza fanya ila yaweza geuka kuwa kiza kati kati ya vilindi vya bahari ya kina kirefu.

Mwisho wema wamelala ila wapo kudai haki zao ktk hali yakushitua embu tuwakumbuke kwa sala na maombi. Amen
Mwendazake kufa wewe unatesekaje? Mbona Mimi sijawahi teseka?
 
Mkuu deep sana na hili ndio pambano la JK anampambania Riz 1 awe Rais 2030, na Kambi zimeshaanza operation kimyakimya kuanzia 2026 Hadi 2030 nchi haitakiwa na utulivu makundi ya urais ndani ya CCM ni mengi mno kuliko ya 2015
Aliemwambia ataishi hadi muda huo nani? 😁
 
JK ana mkono katika maovu yanayoendelea nchi sasa hivi yeye ndiye mchora ramani akimuandalia mwanawe kiti huko mbele ya safari.JK naye mikono yake imejaa damu.
 
The saying "You cannot solve a problem with the same kind of thinking that created it" highlights the need for a shift in perspective when tackling complex issues.
 
We jamaa unapenda sana kujificha kwenye hili neno siri?

Milango ya siri
Sauti za siri
Vitabu vya siri
Nyaraka za siri
Vikak vya siri

HUwezi kuandika bila haya maneno?
Ya siri 🤔 💭
 
Back
Top Bottom