Mzee Kikwete CCM ina Wazee unawaita Wazee kwenye hili angalia hatua zako mbele kuna shimo kubwa

Mh Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naomba kukung'ata sikio ila pia naomba pia sio lazima chukua wazo langu mimi ni mdogo sana ila natamani kuona ccm na Taifa lina kuwa tulivu na ccm ina tawala hata kama miaka mia ila zingatia haya.

Wewe ni Rais mstaafu kama wastaafu wengine wa serikali epuka kuwa mbele kama mzee namba moja utaepuka mengi.

Amani ya Taifa hili ina hitaji busara na hekima na wewe kama Rais mstaafu unajuwa hili ktk milango ya Siri.

Mh Rais kwa hali ilivyo sasa na kile nakuona unakibebea bango mbele shimo litakuwa refu sana na uwenda likaleta maafa kwa Taifa na muktadha wa Taifa hili kwa miaka kadhaa mbele nakuomba baba yangu epuka kuwa reference heshimu mawazo ya wengi na hasa ya wakongwe wa Taifa hili ukikumbuka hakuna mtoto wala mjukuu wa Nyerere au Benjamin Mkapa kwenye siasa ila walikuwa na watoto. Kiapo cha sitopendelea mtu kwa dini,kabila au kwa dam kitakutesa once mambo yatakuwa mambo.

Kifo cha JPM bado kina watesa wa Tanzania wengi busara itumike kuliko nguvu lolote mnaweza fanya ila yaweza geuka kuwa kiza kati kati ya vilindi vya bahari ya kina kirefu.

Mwisho wema wamelala ila wapo kudai haki zao ktk hali yakushitua embu tuwakumbuke kwa sala na maombi. Amen
Huyu MZEE WA HOVYO siku Tanzania itakapopata uhuru wake anapaswa kumalizia maisha yake yote jela na kuchapwa viboko vya kutosha kwenye makalio yake.
 
Mh Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naomba kukung'ata sikio ila pia naomba pia sio lazima chukua wazo langu mimi ni mdogo sana ila natamani kuona ccm na Taifa lina kuwa tulivu na ccm ina tawala hata kama miaka mia ila zingatia haya.

Wewe ni Rais mstaafu kama wastaafu wengine wa serikali epuka kuwa mbele kama mzee namba moja utaepuka mengi.

Amani ya Taifa hili ina hitaji busara na hekima na wewe kama Rais mstaafu unajuwa hili ktk milango ya Siri.

Mh Rais kwa hali ilivyo sasa na kile nakuona unakibebea bango mbele shimo litakuwa refu sana na uwenda likaleta maafa kwa Taifa na muktadha wa Taifa hili kwa miaka kadhaa mbele nakuomba baba yangu epuka kuwa reference heshimu mawazo ya wengi na hasa ya wakongwe wa Taifa hili ukikumbuka hakuna mtoto wala mjukuu wa Nyerere au Benjamin Mkapa kwenye siasa ila walikuwa na watoto. Kiapo cha sitopendelea mtu kwa dini,kabila au kwa dam kitakutesa once mambo yatakuwa mambo.

Kifo cha JPM bado kina watesa wa Tanzania wengi busara itumike kuliko nguvu lolote mnaweza fanya ila yaweza geuka kuwa kiza kati kati ya vilindi vya bahari ya kina kirefu.

Mwisho wema wamelala ila wapo kudai haki zao ktk hali yakushitua embu tuwakumbuke kwa sala na maombi. Amen

Mwisho wema wamelala ila wapo kudai haki zao ktk hali yakushitua embu tuwakumbuke kwa sala na maombi. Amen🥺🙏🏿
 
Huyu Mzee ni mnafiki ndiye aliyeanzisha MAKUNDI ya CCM au mtandao athari zake hadi Leo zinaonekana mkapa aliweka msingi lakini huyu Mzee aliongoza nchi Kwa ukanjanja hadi Leo UMASKINI WA Tanzania anachangia kikwete kuambatana Ikulu na ROSTAM na ndugu wengine ,ndiye aliyeweka tiss Kuwa uvccm angalia Leo mateso yake
Sema nini', nyumbu mna chuki sana na kikwete mamamamae zenu. Hivi huyo rostam hakuwa swahiba wa JPM Hadi kualikwa ikulu?!!!! Msiwe wapumbavu mliopitiliza hata kama tunawajua kuwa ni wapumbavu
 
Mh Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naomba kukung'ata sikio ila pia naomba pia sio lazima chukua wazo langu mimi ni mdogo sana ila natamani kuona ccm na Taifa lina kuwa tulivu na ccm ina tawala hata kama miaka mia ila zingatia haya.

Wewe ni Rais mstaafu kama wastaafu wengine wa serikali epuka kuwa mbele kama mzee namba moja utaepuka mengi.

Amani ya Taifa hili ina hitaji busara na hekima na wewe kama Rais mstaafu unajuwa hili ktk milango ya Siri.

Mh Rais kwa hali ilivyo sasa na kile nakuona unakibebea bango mbele shimo litakuwa refu sana na uwenda likaleta maafa kwa Taifa na muktadha wa Taifa hili kwa miaka kadhaa mbele nakuomba baba yangu epuka kuwa reference heshimu mawazo ya wengi na hasa ya wakongwe wa Taifa hili ukikumbuka hakuna mtoto wala mjukuu wa Nyerere au Benjamin Mkapa kwenye siasa ila walikuwa na watoto. Kiapo cha sitopendelea mtu kwa dini,kabila au kwa dam kitakutesa once mambo yatakuwa mambo.

Kifo cha JPM bado kina watesa wa Tanzania wengi busara itumike kuliko nguvu lolote mnaweza fanya ila yaweza geuka kuwa kiza kati kati ya vilindi vya bahari ya kina kirefu.

Mwisho wema wamelala ila wapo kudai haki zao ktk hali yakushitua embu tuwakumbuke kwa sala na maombi. Amen
Dah umeandika kwa code moja ngumu sana. Sema haya mambo ni risk taking, ikitokea katoboa basi. Ila kwa ufupi Mungu taifa letu la Tanganyika analipenda sana na lina waombaji wengi mno wana kesha wakimlilia Mungu, na kibaya waliokengeuka siku zote huwa wanatiwa upofu mpaka siku shimo likiwa kubwa linatumbukiza watu. Mifano iko mingi sana mfano Kenya, Iran, Libya, Misri etc. Dkt Kikwete binafsi nampenda sana na kumheshimu yaani mpaka basi ila kwa hili na yeye anaogopa mfumo wa watekaji wanaweza ibuka naye maana hana protection
 
Kweli ila asipo sikilizana na wenzake trust me atabaki peke yake itakuwa mbaya sana we need amani sio vingine
 
Mh Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naomba kukung'ata sikio ila pia naomba pia sio lazima chukua wazo langu mimi ni mdogo sana ila natamani kuona ccm na Taifa lina kuwa tulivu na ccm ina tawala hata kama miaka mia ila zingatia haya.

Wewe ni Rais mstaafu kama wastaafu wengine wa serikali epuka kuwa mbele kama mzee namba moja utaepuka mengi.

Amani ya Taifa hili ina hitaji busara na hekima na wewe kama Rais mstaafu unajuwa hili ktk milango ya Siri.

Mh Rais kwa hali ilivyo sasa na kile nakuona unakibebea bango mbele shimo litakuwa refu sana na uwenda likaleta maafa kwa Taifa na muktadha wa Taifa hili kwa miaka kadhaa mbele nakuomba baba yangu epuka kuwa reference heshimu mawazo ya wengi na hasa ya wakongwe wa Taifa hili ukikumbuka hakuna mtoto wala mjukuu wa Nyerere au Benjamin Mkapa kwenye siasa ila walikuwa na watoto. Kiapo cha sitopendelea mtu kwa dini,kabila au kwa dam kitakutesa once mambo yatakuwa mambo.

Kifo cha JPM bado kina watesa wa Tanzania wengi busara itumike kuliko nguvu lolote mnaweza fanya ila yaweza geuka kuwa kiza kati kati ya vilindi vya bahari ya kina kirefu.

Mwisho wema wamelala ila wapo kudai haki zao ktk hali yakushitua embu tuwakumbuke kwa sala na maombi. Amen
Huyu mwamba aliandika sana mwezi Juni kwa kuonya, lakini hivi sasa yuko kimya.
 
Back
Top Bottom