thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
- Thread starter
-
- #21
Kwanini boss wangu?,ni dhambi kueleza hisia zangu?,JF isingekuwa na privacy kubwa we jamaa ungetekwa afu ungepotezwa hapa duniani[emoji16]
Ila tuache kumsakama,jamaa ni fresh sana,sema ndio hivyo tabia haina dawa[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] mkwere kaingiza mambo ya UDOM utafikri na yenyewe ni ikulu
Sina hakika,muhimu vijana wetu wanaelimika ni wazo zuri sana na ninampongeza sanaUDOM ulikuwa mradi wa upigaji wa fedha Za serikali.
Hakuna chuo kikuu duniani kisicho na mpango lo kama UDOM
Tokea mwanzo kabla ht rais hajafika Ikulu mshereheshaji alitaja list ya watakaoongea JK akiwemo. Acha uongo.Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma.
Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa, nafsi yangu inaniambia hivyo.
Alianza Hussein Mwinyi, akafuata Dr Mpango, kisha rais Samia.
Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea, aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu nikaona uzinduzi wa Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM
Ukweli lazima usemwe,wazo lilikuwa awamu ya kwanza,awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa, hili la kuhamia Dodoma kwa serikali, hakikuwa kipa umbele chenu.
Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia kakuta kitonga na kumalizia, hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.na pengine bila nguvu yake tusingekuwa tnazungumzia uzinduzi leo hii,alipingwa sana na wanasiasa na makundi mbalimbali,lakini hakujali
Kama kuna anaebisha, tuanzie kuzichambua juhudi za awamu za pili, tatu,na nne nini zilifanya kuhusu Ikulu ya Dodoma,. , kila kitu kipo rekodedi.
Nikuombe mzee wangu Jakaya, hebu jaribu kutulia, usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi. Jaribu kuwa kama kina Dr sheiin, Mzee Mwinyi, ni watulivu sana, hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma hauhusiki kabisa ulilipa kisogo.
Air time aliyokupa Mama Samia, umeitumia kujipigia promo tu, kwenye hamna.
Sahihi,mama wa watu ni mcha mungu sana,tatizo kila eneo anaingiliwa,imagine leo hotuba ya rais Samia, i Mrisho Mpoto kaielezea history yote ya Ikulu mama akashindwa kusoma yake,Na ndio maana hata tuzo zimetoka 2 tu, kwa Nyerere na Magufuli. Samia kuna muda anaamua kujizima data tu ila anajua kila kitu.
Sahihi mkuuHata CDM walipinga mno magu kuhamishia ikulu dodoma na samia alipoapishwa watu wengi hasa mafisadi kama akina nape walipamba ili samia abatilishe huo mchakato
Na hii tabia muasisi wake ni Magufuli.Huu ubaguzi tunauendekeza humu JF sidhani kama miongoni mwa marais wanakuwa na akili hizi za kubaguana.
Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, JPM na Samia wote wanatekeleza ilani moja ya CCM, inakera kuona wafuasi wao tunatoana macho humu jukwaani kwa hoja za chuki na pengine wivu.
Kazi kwelikweli,mmoja yeye alikuwa bingwa wa trip, mwingine alijikita kuijenga nchi yake kwa mapato ya ndaniKikwete alikuwa anamuonea wivu Magufuli kwa mafanikio yake. Miaka kumi ya Kikwete ni mitano ya Magufuli
mkwere akubali tu na yeye kuna aliyoyafanya mazuri tu Ila hili ajue mtekelezaji ni jpm na samiaIla tuache kumsakama,jamaa ni fresh sana,sema ndio hivyo tabia haina dawa
JK alikuwa ni mtandao, yeye na Lowassa walianzisha hii tabia ya kubagua watu kwa urafiki wao. JPM akaja na tabia ya kutazama mtu anatoka sehemu ipi ya TZ.Na hii tabia muasisi wake ni Magufuli.
Kabla ya Magufuli hakukuwa na kundi hili la sukuma gang
Mkwere ana force bao la Mkono! "By Nape"[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] mkwere kaingiza mambo ya UDOM utafikri na yenyewe ni ikulu
Ukweli lazima usemwe,haijalishi unaumiza upande upi,Huu ubaguzi tunauendekeza humu JF sidhani kama miongoni mwa marais wanakuwa na akili hizi za kubaguana.
Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, JPM na Samia wote wanatekeleza ilani moja ya CCM, inakera kuona wafuasi wao tunatoana macho humu jukwaani kwa hoja za chuki na pengine wivu.
Oohh!,watakosaje,nimecheka balaaKajamaa kalizingua kweli na habari zake za kuala Lumpur.. basi bwana huyu Jamaa kwa kujipenyeza hata shughuli isiyoyake hatari, hata wazee wasela wapo kumbe
Kama hujaelewa rudia kusoma tena kisha uje na hicho kiuliziSukumagang liking'ang'anizia legacy ya Mwendazake! Kwahiyo UDOM na Kikwete Hall ni kazi ya JPM?
Ukweli mchungu na makini sana,big up broo,sasa ya Zuhura Yunus tumeliona,hatuwezi kukaa kimya,kisa eti tutaitwa sukuma gangJakaya alikuwa anajitahidi kweli kukolezea dhima yao kwamba awamu zote zimehusika kama simulizi ya kulazimisha ya zuhura ilivyoeleza naona makubaliano yalikuwa sio kuitukuza zaidi awamu ya tano badala ya kuzungumza ukweli kwamba awamu ya Kwanza ilianzisha awamu ya tano ikatekeleza Kwa vitendo sasa mambo ya kusema sijui walienda kuangalia mfano Kuala Lumpa sijui kujenga chuo kikuu huko ni kutaka kulazimisha kufuta legacy ya mwenzie.
Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni.
Kwanza awamu ya nne haijawahi kuwaza hata kuhamishia serikali Dodoma huo ndio ukweli.
Na kama ingetokea Membe au Lowassa wangeshinda 2015 nakuhakakikishia serikali ingekuwa Dar bado.
JK ashauriwe kuwa sio lazima kuongea kila hafla.Muda mwingine ni kujiaibisha tu.Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma.
Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa, nafsi yangu inaniambia hivyo.
Alianza Hussein Mwinyi, akafuata Dr Mpango, kisha rais Samia.
Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea, aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu nikaona uzinduzi wa Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM.
Ukweli lazima usemwe,wazo lilikuwa awamu ya kwanza, awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa, na si vibaya hata kidogo.
Hili la kuhamia Dodoma kwa serikali, hakikuwa kipa umbele chenu.
Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia kakuta kitonga na kumalizia, hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.na pengine bila nguvu yake tusingekuwa tnazungumzia uzinduzi leo hii,alipingwa sana na wanasiasa na makundi mbalimbali,lakini hakujali
Kama kuna anaebisha, tuanzie kuzichambua juhudi za awamu za pili, tatu,na nne nini zilifanya kuhusu Ikulu ya Dodoma,. , kila kitu kipo rekodedi.
Nikuombe mzee wangu Jakaya, hebu jaribu kutulia, usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi. Jaribu kuwa kama kina Dr sheiin, Mzee Mwinyi, ni watulivu sana, hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma hauhusiki kabisa ulilipa kisogo.
Air time aliyokupa Mama Samia, umeitumia kujipigia promo tu, kwenye hamna.
Ngoja tumuite FaizaFoxyNa ndio maana hata tuzo zimetoka 2 tu, kwa Nyerere na Magufuli. Samia kuna muda anaamua kujizima data tu ila anajua kila kitu.
Hakika,leo angetulia tu,mambo ya kuzima legacy ya ngosha hayoJK ashauriwe kuwa sio lazima kuongea kila hafla.Muda mwingine ni kujiaibisha tu.