Mzee Kikwete, dunia ni ya utandawazi kila jambo litajieleza. Legacy yako ipo tu

Mzee Kikwete, dunia ni ya utandawazi kila jambo litajieleza. Legacy yako ipo tu

Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma.

Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa, nafsi yangu inaniambia hivyo.

Alianza Hussein Mwinyi, akafuata Dr Mpango, kisha rais Samia.

Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea, aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu nikaona uzinduzi wa Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM

Ukweli lazima usemwe,wazo lilikuwa awamu ya kwanza,awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa, hili la kuhamia Dodoma kwa serikali, hakikuwa kipa umbele chenu.

Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia kakuta kitonga na kumalizia, hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.na pengine bila nguvu yake tusingekuwa tnazungumzia uzinduzi leo hii,alipingwa sana na wanasiasa na makundi mbalimbali,lakini hakujali

Kama kuna anaebisha, tuanzie kuzichambua juhudi za awamu za pili, tatu,na nne nini zilifanya kuhusu Ikulu ya Dodoma,. , kila kitu kipo rekodedi.

Nikuombe mzee wangu Jakaya, hebu jaribu kutulia, usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi. Jaribu kuwa kama kina Dr sheiin, Mzee Mwinyi, ni watulivu sana, hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma hauhusiki kabisa ulilipa kisogo.

Air time aliyokupa Mama Samia, umeitumia kujipigia promo tu, kwenye hamna.
Tokea mwanzo kabla ht rais hajafika Ikulu mshereheshaji alitaja list ya watakaoongea JK akiwemo. Acha uongo.
 
Na ndio maana hata tuzo zimetoka 2 tu, kwa Nyerere na Magufuli. Samia kuna muda anaamua kujizima data tu ila anajua kila kitu.
Sahihi,mama wa watu ni mcha mungu sana,tatizo kila eneo anaingiliwa,imagine leo hotuba ya rais Samia, i Mrisho Mpoto kaielezea history yote ya Ikulu mama akashindwa kusoma yake,

Huu ni ubaradhuli mkubwa sana wa wasaidizi wake baadhi
 
Huu ubaguzi tunauendekeza humu JF sidhani kama miongoni mwa marais wanakuwa na akili hizi za kubaguana.

Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, JPM na Samia wote wanatekeleza ilani moja ya CCM, inakera kuona wafuasi wao tunatoana macho humu jukwaani kwa hoja za chuki na pengine wivu.
Na hii tabia muasisi wake ni Magufuli.
Kabla ya Magufuli hakukuwa na kundi hili la sukuma gang
 
Na hii tabia muasisi wake ni Magufuli.
Kabla ya Magufuli hakukuwa na kundi hili la sukuma gang
JK alikuwa ni mtandao, yeye na Lowassa walianzisha hii tabia ya kubagua watu kwa urafiki wao. JPM akaja na tabia ya kutazama mtu anatoka sehemu ipi ya TZ.

Huko katika vikao vya halmashauri walipageuza kuwa ni nyumbani kwao, wakitaka kumteta mtu wanaanza kuongea kisukuma, kibaya zaidi hawakujiweka katika kundi la binadamu.
 
Huu ubaguzi tunauendekeza humu JF sidhani kama miongoni mwa marais wanakuwa na akili hizi za kubaguana.

Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, JPM na Samia wote wanatekeleza ilani moja ya CCM, inakera kuona wafuasi wao tunatoana macho humu jukwaani kwa hoja za chuki na pengine wivu.
Ukweli lazima usemwe,haijalishi unaumiza upande upi,
History inaandikwa, isijae upotoshaji,

Hata hao unaowaita wanatekeleza ilani ya CCM kuna tofauti ya maono baina yao

Ndio maana mzee Kikwete alisema sasa hivi wanaccm hawaachiani glass za maji,
 
Tatizo taifa lina watu waongo waongo sana
Wanahabari waongo
Viongozi waongo
Vyama vya usalama waongo
Mpaka makampuni ya simu..

Ukishagundua kua binadamu anaskia furaha akifanganywa. Hata autoshangaa siasa zilivyo uongo uongo

Kama jumamosi kifacf ni jumalakwanza

Ila uku kwenu tunaamini ni siku ya sita kwenye juma

Dawa ya moto ni moto inabidi wote tujifunze uongo ili twende sawa na waongo wenzetu (waongozi😂😂😂)
 
Jakaya alikuwa anajitahidi kweli kukolezea dhima yao kwamba awamu zote zimehusika kama simulizi ya kulazimisha ya zuhura ilivyoeleza naona makubaliano yalikuwa sio kuitukuza zaidi awamu ya tano badala ya kuzungumza ukweli kwamba awamu ya Kwanza ilianzisha awamu ya tano ikatekeleza Kwa vitendo sasa mambo ya kusema sijui walienda kuangalia mfano Kuala Lumpa sijui kujenga chuo kikuu huko ni kutaka kulazimisha kufuta legacy ya mwenzie.

Mnyonge mnyonge ila haki yake mpeni.

Kwanza awamu ya nne haijawahi kuwaza hata kuhamishia serikali Dodoma huo ndio ukweli.

Na kama ingetokea Membe au Lowassa wangeshinda 2015 nakuhakakikishia serikali ingekuwa Dar bado.
Ukweli mchungu na makini sana,big up broo,sasa ya Zuhura Yunus tumeliona,hatuwezi kukaa kimya,kisa eti tutaitwa sukuma gang
 
Nilikuwa nafuatilia sherehe au hafla ya kuzinduliwa Ikulu, chamwino Dodoma.

Kwa jinsi ratiba ilivyopangwa Mzee Jakaya haukuwemo kwenye list ya wazungumzaji kabisa, nafsi yangu inaniambia hivyo.

Alianza Hussein Mwinyi, akafuata Dr Mpango, kisha rais Samia.

Cha kushangaza katikati rais Samia akiwa anaongea, aidha akakumbuka au akapewa kimemo cha wewe kutakiwa kutoa salamu nikaona uzinduzi wa Ikulu wewe unaweka mambo ya Kuala Lumpur na UDOM.

Ukweli lazima usemwe,wazo lilikuwa awamu ya kwanza, awamu zilizofuta mliijikita kwenye priority's zingine za kulijenga taifa, na si vibaya hata kidogo.

Hili la kuhamia Dodoma kwa serikali, hakikuwa kipa umbele chenu.

Awamu ya tano ndio kazi hii illiifanya kwa nguvu zote, na Rais Samia kakuta kitonga na kumalizia, hivyo mtekelezaji wa wazo anabaki kuwa Magufuli pekee.na pengine bila nguvu yake tusingekuwa tnazungumzia uzinduzi leo hii,alipingwa sana na wanasiasa na makundi mbalimbali,lakini hakujali

Kama kuna anaebisha, tuanzie kuzichambua juhudi za awamu za pili, tatu,na nne nini zilifanya kuhusu Ikulu ya Dodoma,. , kila kitu kipo rekodedi.

Nikuombe mzee wangu Jakaya, hebu jaribu kutulia, usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi. Jaribu kuwa kama kina Dr sheiin, Mzee Mwinyi, ni watulivu sana, hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma hauhusiki kabisa ulilipa kisogo.

Air time aliyokupa Mama Samia, umeitumia kujipigia promo tu, kwenye hamna.
JK ashauriwe kuwa sio lazima kuongea kila hafla.Muda mwingine ni kujiaibisha tu.
 
Back
Top Bottom