Mzee Kikwete, dunia ni ya utandawazi kila jambo litajieleza. Legacy yako ipo tu

Ukweli lazima usemwe,haijalishi unaumiza upande upi,
History inaandikwa,isijae upotoshaji,

Hata hao unaowaita wanateleza ilani ya CCM kuna tofauti ya maono baina yao

Ndio maana mzee Kikwete alisema sasa hivi wanaccm hawaachiani glass za maji,
Unahalalisha chuki ambazo hazikusaidii kwa namna yoyote ile. Wote wanakabidhiwa ilani moja ya CCM na wana jukumu la kuitekeleza kurasa moja baada ya nyingine.
 
Unahalalisha chuki ambazo hazikusaidii kwa namna yoyote ile. Wote wanakabidhiwa ilani moja ya CCM na wana jukumu la kuitekeleza kurasa moja baada ya nyingine.
Chuki ilianzishwa na wale walioshangilia kifo cha Magufuli na hakuna kiongozi yoyte alietoka hadharani kukemea sana waligonga glass na cheers,tulia dawa iingie
 
Acha upunguani wewe dogo
 
Hili suala la legacy mbona linakua mjadala kila kukicha? JPM yapo amelifanyia Taifa na watanzania wanajua!! So sioni mantiki ya kuipagania legacy wakat kila awamu inajulikana nn ilifanya!!
 
Jinsia yako mkuu?
 
Uzinduzi wa Leo wameutia doa tupu.
 
Na ndio maana hata tuzo zimetoka 2 tu, kwa Nyerere na Magufuli. Samia kuna muda anaamua kujizima data tu ila anajua kila kitu.
Mama na huyo mwamba ni Pete na kidole hata Katika huo ufunguzi amemsifia sifia na kumpa kipaumbele mpaka basi kuliko kumsifia alieweka mkazo wahilo suala . Yes hajampa ila Wanajuana hao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…