Mzee Kikwete, dunia ni ya utandawazi kila jambo litajieleza. Legacy yako ipo tu

Yule Mama wa Kisomali pale Ilula alimhujumu hadi Comfort imebaki magofu.
 
Jk mwenyewe aliwahi kusema waswahili pwani hawakutaka mji mkuu kuhama.
 
Dhalimu ndio aliwafundisha hizo chuki.
 
Mkuu, watu wamekula yamini kuhakikisha kuwa kikwete anachafuka kwa kila namna. Samia, taratiibu wanamshindwa sasa. Hawapo kwa ajili ya kuelewa mantiki, wapo kwa ajili kupindishapindisha habari tu ili kutimiza lengo lao la kumchafua kikwete. Hata mfanye nini, atabaki amewazidi tu milele.
 
Kuna watu wana ideology za kipuuzi sana. Hawawezi kusifia kazi nzuri za JPM bila kushambulia wengine.

Kusema awamu zilizopita hazikufanya kitu na bila awamu ya 5 pasingekwa na kitu ni UPOTOSHAJI wa kijinga.

JPM ameingia ikulu baada ya kazi nzuri ya uwaziri chini ya maraisi watangulizi. Sasa kama hakuna kilichofanyika ni kazi zipi alikuwa anafanya akiwa waziri mpaka CV ikaonekana?

NYERERE ANA SEHEMU YAKE, MWINYI ANA SEHEMU YAKE, MKAPA ANA SEHEMU YAKE, KIKWETE ANA SEHEMU YAKE, MAGUFULI ANA SEHEMU YAKE NA SAMIA ATAKUWA NA SEHEMU YAKE.
 
Wewe kima kwelikweli, nani anakushikia akili,mwenzako anaishi kama digidigi wewe unaleta utani?, pathetic
 
Umepaniki,soma uzi uuelewe kwanza, mnapenda kupaka matope wengine,ikija kwenu inakuwa nongwa ,
Kale katabia Ka mambo mazuri yenye mafanikio ya Magufuli mnaunganisha awamu Zote,
Likija suala baya mnajitenga nalo,linaachwa kwa Magufuli
 
Nimeielewa mada vizuri sana. Na hili ndilo tatizo la watengeneza illussion zisizokuwepo.

Hii tabia ndo imekomaa mpaka kupelekea sherehe za vifo.

Na inavyoonekana haitokoma mpaka tufe tuishe waje wenye akili mbadala.
 
Jakaya mwambieni,anachemka sana kutaka makamera kila muda, watanzania werevu kwa sasa,hawadanganyiki tena,akubali muda wake wa uongozi umepita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…