Mzee Kikwete hawezi kuacha kulitumikia taifa kama Rais Mstaafu eti kwa kuogopa vitisho vya Maaskofu

Sijaona maahali askofu kamtaja Kikwete.Punguza chuki.We unafikiri yule askofu mpaka aongee yale unafikiri amekurupuka tu?
 
Umeandika ukweli upewe maua yako
 
Ujue nini mkuu? Akili tu ndio changamoto, umepungukiwa kidoooooogo ila wakikuwahi inaponaga
 
kanisa lilichukuwa mgao wake wa escow mapema tuh,tundu lisu alisema moja kwa moja list ya wanufaika

kwa ufupi huwezi kulitoa kanisa na wizi ndani ya nchi hii
Wataje kwa majina wale waliobeba 70% ya ESCROW ndipo uje tujadili kama unavyotaka kutuaminisha hapa.Waliokwapua fedha zetu ni nani?
 
Siyo maaskofu tu.huyo Kikwete hatakiwi na kila mtu
 
Gap rich and poor ni kubwa mno afrika.
 
Huyu mstaafu zaidi ameshauri na anashauri kuharibu zaidi ya kujenga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…