Mzee Kikwete hawezi kuacha kulitumikia taifa kama Rais Mstaafu eti kwa kuogopa vitisho vya Maaskofu

Watakuwa wamechoka kula Matembele kusubiri mpaka 30+ wanaona mbaliii Wanataka wale vidali vya kuku kila siku,
 
Imebaki miezi michache sana kuondoka duniani huyo Mzee Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya nne. Pigo tayari limefika mlangoni kwake.
 
Dini yako ikukuelekeza kutokula nyama fulani halafu, ukala kwa urafi wako kwa kuwa nyama hiyo ni tamu sana, basi utaishia kuwa li bwabwa tu ambalo halina mbele wala nyuma.
 
Ni ujinga kukichanganya CCM na Udini Udini Sababu ya kukosekana kiongoz Mstaafu wa mkristo kwanza wapo kina Mzee Pinda Nk

CCM ipo wazi kimetendo sio kidini kabisa mfano ukiweza Esabu Wabunge wangapi Waislamu na wangapi Cristian utagundua Wabunge Cristian wengi sana Namaanisha Wabunge wapya Wanaenda kuomba kura 2025

Apo apo bado Waislamu CCM Imewakata Zaid ya watatu na kuwapa Cristian nafasi

pale BUNDA kakatwa Muislamu kapitishwa Cristian Ester Bulaya pamoja na uchache wao

kuwa na Mwenyekiti Muislamu RAIS SAMIA SULUHU HASSAN sio tatizo Upande wa Wakristo kwaiyo CCM ipo kisiasa sio kidini.

Nimeweka na Ushahidi sio maneno tu

lkn ukweli Wakristo wana rohoo mbaya sana. aibu kwao Udini unawasumbua sana.
 
Asitusletee udini dini hapa huyu mzee - lawama.zote hizi za kwake.
 
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Sijaisikia hii bado ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki kumsema vibaya JK
 
Maaskofu gani hao?
Isije ikawa mtu katoa maoni yake tu
 
pinda anaingia kwenye jopo la
maraisi wastaafu wanaopitia majina ya watia nia uraisi ccm? …
Kwani ujui mzee Pinda nafasi yake kwenye Chama ?? MPANGO makam RAIS bado kuna mzee Wassira Mzee Nchimbi wote wataingia kwenye Wazee Wastaafu !!!!

Lkn pia mbona kuna Wastaafu wengi Wakuu wa Majesh Cristian lkn sio tatizo kwa Waislamu ¿¿¿

nchi hii imevuka kitisho cha Udini tatizo ni Maskofu ndio waoga wa kidini maslahi sana kula Tembele kwao mwiko!!!

Na wanapenda wawe na Viongozi wengi kutokee kwao wastaafu sasa kifo hakina mwenyewe !!!

Maskofu wanataka Rais pale Ikulu kutokea kwao Pengine Ndio kitimoto kinashuka vizuri.!!!

Waache uwoga kama kulindwa watalindwa tu na kiongoz yoyote muhimu tu uyo kiongoz katokea CCM.
 
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Uliwahi kumsikia JK akipinga na kukemea maovu yanayofanywa sasa kama wizi wa kura, ufisadi wa mali za umma, utekaji na mauaji ya wananchi, nk??

Unadhani Nyerere angenyamazia majanga hayo?
 
Ufisadi na Mgao wa Umeme watanzania tulipauka enzi za kikwete
 


Kikwete haondoki kwasababu huyu mzee anapenda sifa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…