Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Magu alikuwa sahihi waache kuwashwa washwa. Mbona Pinda, Sumaye, Malecela na Warioba batuwaoni oni. Kwani wao sio wastaafu?Friends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
He might no longer exist due to his involvement in the deceitful wrongdoings.Friends and Our Enemies,

Anapewa nini sasa huyu. Wenzao wanajilia nchi, wao wako busy kuwatetea huku mitandaoni. Wajinga ndio waliwaoNaona umepata mgao wako wa vinyama toka arabuni sasa unakuja kupumulia humu. 😀 😀
Taifa lipi analitumikia zaidi ya kulibagaza? Mke mbunge, mtoto mbunge...huu ni ubinafsiFriends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Maswala Gani ya nchi? Mtu alishastaafuMmekaa huko kujazana chuki na hasira, wengine hadi mnafikia hatua ya kusema nchi inaongozwa na Kikwete. Rais wa nchi ni Samia. Kikwete ni rais mstaafu.
Mnata ka Kikwete asishiriki kwenye masuala ya nchi hii kwa kosa gani? Ukitaka uzoefu wa uongozi utoke wapi?
Acha roho mbaya hata wewe ukiipata hiyo nafasi huweI achaTaifa lipi analitumikia zaidi ya kulibagaza? Mke mbunge, mtoto mbunge...huu ni ubinafsi
Wenzao wanagawana migodi na vitalu vya gesi yeye anaambulia vijinyama na tende 😄😄Anapewa nini sasa huyu. Wenzao wanajilia nchi, wao wako busy kuwatetea huku mitandaoni. Wajinga ndio waliwao
Kama unavyouliza maaskofu wanajiona ni kina nani jiulize na huyo mstaafu yeye anajiona ni nani kutoa maamuzi binafsi ya kumpa samia uraisi kinyume na watanzania million 60.Friends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Akili ya kobazi hiinaunga mkono hoja, Christians hawana power tanzagiza, its over, fikiria tu hili maraisi wastaafu ndiyo waamutzi wa mwisho nafikiri kama sikosei na wanaweza mkata mgombea uraisi (kama ugombea uraisi wa Lowasa ulivyoonyesha), kwenye hilo kundi hakuna raisi Christian hata mmoja anayeishi, na kundi linaundwa na maraisi wa wastaafu zanzibar na muungano, sasa zanzibar wapo wengi maraisi wanaoishi bado lkn wote Muslim, wa muungano kuna raisi mstaafu kikwete na aliyepo samia wote muslim.
what hope is there for Christians in tanzagiza? hii ni playbook against unaoitwa "mfumo Kristo" na sasa ni end game ...
Kikao cha kamati kuu CCM ndiko makosa yalifanyika na yeye akiwa kiongozi mkuu ambaye alitakiwa kuzuia yale makosa yasifanywe.TOKEA LINI KANISA KATOLIKI LIKAWA NA UZALENDO NA TAIFA HILI??
HAPO NI UDINI TUH HAKUNA LOLOTE,KANISA LISEME NI KOSA GANI KIKWETE KALIFANYA HADI AGEUKE KUWA MJADALA HUKO KANISANI KWAO??
AJABU BADALA YA KUTUMIA MUDA WAO KUFANYA IBADA WAMEKAA KUMJADILI MTU AMBAE HAJAWAFANYA KTU CHOCHOTE,SEMA WEWE HAPA KWA USHAHID,KOSA LA KIKWETE NI LIPI??
ACHENI CHUKI ZISIZO NA MPANGO
Lini umemsikia Bush anamshauri Trump??ULITAKIWA USEME LINI OBAMA ALISHAWAHI MSHAURI AU SHIRIKIANA NA BIDEN...
TRUMP NA BIDEN NA REPUBLICAN VS DEMOCRATS WANAWEZAJE KUIVA CHUNGU KIMOJA??ACHENI UJUAJI
Zile ni fedha za Umma,hakuna Cha Hisa wala nini.Wizi ulifanyika na wahusika ni Viongozi waliokuwa madarakani wakishirikiana na Mafisadi Papa.‘Tegeta escrow will go down in history as a major scandal’
Shida ilikua ni namna hisa zilivyouzwa na si hela za escrow ni za nani
Mwendo wa spana tuuFriends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Ndio, alizunguka Afrika kumpigia kampeni Ndugulile. Sijui tu kwa nini hatukuona picha kama kwa Prof. Janabi. Ila alikuwa kampeni meneja wake pia
Hata Maaskofu wako wapo kwa ajili ya Vatican na kanisa na si kukupigania wewe mwimba kwaya ya kanisaNa wewe uelewe huyo JK wako yupo kwa ajili yake na familia yake si zaidi ya hapo wala hana msaada na wewe unayeishi kwa kupigania vinyama msikitini .