Mzee Kikwete hili jiwe kamrushia Jaji Warioba? Eti Mzee Msuya hakuwahi kuita wanahabari kuisema Serikali

Mwl Nyerere miaka fulani alisema "mtu anayechekacheka hafai kuwa rais wa nchi na ukimpenda saaaana mkaribishe tu nyumbani kwako mpe chai then piga naye stori halafu achana naye" watanzania tukaja kumpa urais baadaye kwa u-apedomia wetu, na huyu jamaa alimchukia mzee sana, hadi leo hajawahi kumuaddress kama baba wa taifa anamuita mzee Nyerere tu, alitamani sana mzee afe kabla ya uchaguzi alioshinda na ikawa. Sasa tuendelee kuvuna tulichopanda
 
Kila kabila na profession yake. Wazaramo , wakwere wanachokiweza ni Ngono, mdundiko, singeli and the like! haya mengine ya higher mental faculties ni kuwapa mzigo mkubwa!
matusi ruksa by 100%
Hapa umezingua kukashifu makabila ya watu
 
Mtu awezi kuamini kuwa uislamu ni dini ya mungu mtakatifu na akawa na akili timamu ....kuamini kuwa Muhammad ni mtume ni sawa na kuamini kuwa mwamposa ni mtume ni ujinga ulio kuwa dhahiri kabisa....mzee wa msoga ni takataka tu
 


Mzee Msuya sio Mzee Warioba lakini
 
Msonga mbona amesema vizuri tu.
Mzee CD Msuya alikua hasubiri hata kuitwa anaomba kuonana na Rais anawaeleza strength zao na mambo yao ya hovyo.
Sasa huyu mnywa WILD KONYAGI (aka GONGO)anashindwa nini kuomba kuonana na Rais akamwaga nyongo zake kama sio kuwashwa washwa?
 
JK anatamani Warioba naye awe mnafiki kama CCM wenzake? Warioba sio mwanasiasa ndio maana hakutaka kuendelea kuwa Waziri Mkuu wakati wa Mzee Mwinyi.

Mfano mzuri ni kesi ya uhaini inayomkabili Lisu na mkakati uliosukwa na serikali kesi yake isikilizwe kwa mtandao; hebu fikiria, Mwanasheri z Mkuu anazungumzia hadharani msimamo wa serikali bungeni wakati Mahakama haijaamua, Waziri wa Mambo ya Ndani naye anasema kuwa serikali imeamua kesi ya Lisu isikilize kwa mtandao, yote hayo ni sawa na kusema kuwa Mahakama inapaswa kuitii serikali. Kama Warioba angekaa kimya kama anavyotaka JK mahakama isingepata ujasiri wa kuamua dhidi ya serikali [ikumbukwe kuwa JK 'anamwogopa' Lisu].Wenye haki wakinyamaza chombo chetu kitazama.

Vv
 
mzee wa hovyo ,ulitaka kikwete asemaje hataki rizimoko awe rais
 
Ni unafiki mtupu ulikuwa unafanyika hapo msibani. Wanajifanya wanamuelewa sana Hayati Msuya ilhali walikuwa wanamtenga kutokana na misimamo yake.

Mara nyingi matukio yaliyokuwa yanawakutanisha Viongozi walioko madarakani na Wastaafu, Mzee Msuya alikuwa sidelined. Wakati tumemwona Mizengo Pinda mara nyingi, Cleopa Msuya alikuwa haonekani. Iwe sherehe za Uhuru, Muungano,kupokea ripoti Ikulu, n.k. Huyo Sumaye na Lowassa wenyewe tangia waende Chadema na baadae kurudi CCM hamjawahi kuwa nao sawa. JAKAYA KIKWETE ACHA UNAFIKI KWENYE MSIBA WA HAYATI CLEOPA MSUYA!
 
Huyo, anayesema Msuya hakuwahi kuita press conference kuisema /kuikosoa serikali.

Inatosha!
Kumekucha; chadema chakavu wapo sambamba na jk tena. Aisee, mwamba angakuwa siyo mtu wa kupotezea mambo, angewarawiti chadema chakavu wengi sana!
 
Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa katika mkutano wakamwambia, Mwalimu, uwakanye wanafunzi wako.

Yesu akajibu, akasema, Nawaambia ninyi, wakinyamaza hawa, MAWE YATAPIGA KELELE.
Luka 19:39-40

Kama hakuna mwenye uthubutu wa kuionya mamlaka mambo yanapoenda mrama, ndiyo wakati wa akina Mzee Warioba kutumia hekima na busara zao kuwakumbusha wenye mamlaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…