Mzee Kikwete hili jiwe kamrushia Jaji Warioba? Eti Mzee Msuya hakuwahi kuita wanahabari kuisema Serikali

Mbona Yeye kwa Magu alitoka hadharani kukosoa?
 
Maana watu wasitoe vibanzi kwenye macho ya wengine wakati wao Wana boriti.
Mnaenda kimafumbo fumbo, wekeni wazi jamani ni nani huyo?

Si'wengine kusikiliza hotuba za viongozi mizigo huona kama ni kupoteza mb, heri niangalie vichekesho vya Jotti au maujinga mengine ya kwenye mitandao.
 
Mnaenda kimafumbo fumbo, wekeni wazi jamani ni nani huyo?

Si'wengine kusikiliza hotuba za viongozi mizigo huona kama ni kupoteza mb, heri niangalie vichekesho vya Jotti au maujinga mengine ya kwenye mitandao.

Mtoa mada anamsema Mzee Kikwete kwa Kumsifu Marehemu Msuya, kuwa hakuwahi kuisema serikali kama baadhi ya Wazee wengine.
Mtoa mada ndio anatoa maoni yake kwa kuuliza, Marehemu angeikosoaje serikali ilhali yeye na familia yake yote ni sehemu ya serikali?
 
Chuki zako ni kipimo cha upumbavu wako.
 
Hii inaitwa
Never bite the hands ✋️ that feeds you,


Lakini msiwaumize wengine ili nyie muendelee kuishi maisha mazuri wengine wakiteseka, the thunderstorm that will strike these people still doing warm up on top of mount Kilimanjaro,
 
Sahihi kabisa kwa wadhifa alionao mbona inawezekana kabisa kukutana na kiongozi kumweleza madudu ya uongozi wake na kumshauri kabla ya kuita press na kuanza kukosoa na kusema madhaifu hayo hadharani.
 
Eti familia yake yote iko serikalini? somesheni watoto wenu
Msuya mwaka1955 tayari alikuwa na shahada ya Makerere wengine hapa walikuwa wanawatoa watoto wao shule wakachunge ng'ombe mbaya zaidi anaweza hata honga headmaster ng'ombe mmoja ili amtoe mtoto shule akachunge ng'ombe.Mwenzenu aliwaanda wanaye mtoa mada ndio unavuta shuka wakati pamekucha.Juhudi sasa weka kwa wajukuu kwa wanao umeshachelewa
Yule mtoto wake aliyeko Japan na Canada wamepelekwa na serikali?

Yule binti yake ambaye ni mkurugenzi wa taasisi flani ya kimataifa huko Geneva amepelekwa na serikali?
Uzuri mmoja huyu mzee alikuwa analea watoto wake kwa kutowadekeza walisoma shule za kawaida na sisi
 
Huyu ni mmoja wa wastaafu ambao ni mzigo tu kwa taifa. Completely useless!
 
Vipi kwa waliosoma na hawana ajira nahisi hapo utaanza kumuelewa mtoa mada
 
Kila kabila na profession yake. Wazaramo , wakwere wanachokiweza ni Ngono, mdundiko, singeli and the like! haya mengine ya higher mental faculties ni kuwapa mzigo mkubwa!
matusi ruksa by 100%
Acha wakutukane umesema kweli, mifumo mibovu ya CCM imetuletea Marais wakwere wapenda ngono na sasa rais dikteta wa kwanza mwanamke Afrika
 
Kila kabila na profession yake. Wazaramo , wakwere wanachokiweza ni Ngono, mdundiko, singeli and the like! haya mengine ya higher mental faculties ni kuwapa mzigo mkubwa!
matusi ruksa by 100%
Dhihaka hii...
 
Mnapenda kuambiwa sirini halafu mnafunika kombe wanaharamu nyie, kipi alichosema kibaya?

Mnafurahia kuua, kuteka, kupoteza na kuwabambikia kesi wanaowakosoa. Mbona Nyerere alikosoa serikali waziwazi? Kama hamtaki kusemwa acheni kuua nyambafu nyie
 

Aisee,
Bora angekaa kimya .
Maana yeye na Tulia Wametia doa kazi ya Mungu .

Hata hivyo Mzee Msuya hakuwa kuwekwa kwenye Tume yoyote ya kutafuta mabadiliko au marekebisho ya kisheria na kikatiba

Nchi imebaki na Msaada wa Mungu pekee maana CCM na mafiadi hawajali jambo lolote jema na la Haki.

Wakati wake ukikaribia atakumbuka yale aliyotakiwa kuafanya ili kuwafanya Watanzania waishi kwa haki .
 
Sera ya mzee Kikwete kwenye masuala ya utawala ni ya "bora liende tu", aliwaahidi Kigoma itakuwa kama Dubai! Chini ya utawala wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…