Nyerere alikosoa hadharani, na je Siri sirini zinasaidia watawala kubadilika?Sahihi kabisa kwa wadhifa alionao mbona inawezekana kabisa kukutana na kiongozi kumweleza madudu ya uongozi wake na kumshauri kabla ya kuita press na kuanza kukosoa na kusema madhaifu hayo hadharani.
Hakika ni Mzee wa kibanda cha kahawaKwa hiyo hakuna umuhimu wa kuwepo wa
Mswahili ni mswahili tu, huwezi kumtofautisha mzee wa kibanda cha kahawa na rais mstaafu
Kikwete na Warioba waliachana kwenye kuandaa rasimu ya katiba mpya mwaka 2014. Warioba alikataa kutumika kama dekio la watawala akakaa upande wa wananchi. Toka hapo Kikwete akimwona lazima ampige vijembe.Mzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana).
Naona hili jiwe karusha moja kwa moja kwa Mzee Jaji Warioba kwani amekuwa mwiba mkali kwa kuzikosoa Serikali zinapofanya mambo ya ovyo.
Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu Mzee Warioba. Hatutaki wazee wastaafu wanaokaa kimya na kusifia tu bila kukosoa.
Pia soma > Mzee Msuya: Jaji Warioba kafanya Kazi kubwa ya kukusanya maoni ya Wananchi, BMK likatumia fedha nyingi na mwisho wa Siku hawana Katiba Mpya
Uzee inaanzia miaka mingapi, ili tuweze kuwachambua wazee na vijana ni akina nani.....Wazee hawajibiwi wala siginwa..
TV ama redio ipi ilifanya hivyo?Kwenye taarifa ya habari walikata hiko kipande, haha😇
Ni spent item hana maajabu. Ni aheri hata umtaje balozi wa zamani wa Copa Cabana.Utamjua 2026 😂😂
Watu wa Pwani wengi wao ovyo kabisa.Tambo zakusifu na kumlaza Mzee Msuya zilifika mahali Rais JK akawananga wanao itisha press conference.
Huku mama akifurahi jambo hakulifaham nikuwa uwenda ile ilikuwa kutia mafuta ya petrol kwenye mzigo wa maboom uwanja msiba umebadilika na sasa wanakidon wanaona majibizano mazito na yakutisha ktk black screen.
Mwanafalsafa mmoja aliwahi sema some time usiende pigana vita huna masilahi nayo maana itakuletea hasara ambayo huwezi kuilipa na vidonda visivyo pona.
Angekaa kimya hii imeenda kuleta ugumu na vita nyingine ya siri ndani ya chama. Wazee hawajibiwi wala siginwa. Hayo ni mawazo yangu.
💯Kila kabila na profession yake. Wazaramo , wakwere wanachokiweza ni Ngono, mdundiko, singeli and the like! haya mengine ya higher mental faculties ni kuwapa mzigo mkubwa!
matusi ruksa by 100%
Wana wa Ngurumo Emmanuel, Adam na Sophia 😂😂Ni spent item hana maajabu. Ni aheri hata umtaje balozi wa zamani wa Copa Cabana.
Kwahio Mzee Warioba kakosea! Hebu akae kimya kwa kweli kabisa, hawezi kuisema Vibaya wakati mke na mtoto ni Wabunge na WaziriMzee wa Msoga: Mzee Msuya hakuwahi kuitisha press conference kuisema Serikali inafanya mambo ya hovyo!
Chora ramani mkuu.Mwenye kuita press conference ni Judge Warioba na huyo ndio alikuwa Mlengwa wa JK. Huyu Bwana Mungu amuite tu haraka aende kumuhoji mambo anayo wafanyia Watanzania.
Kila mtu na wito wake (mzingo) aliopew na Mungu.Marehemu hakuwahi itisha presii
Wachawi walishakufaHajawahi kuwa serious kabisa huyu mzee. Unaweza ukakosa akili za darasani lakini busara hii haihitaji uwe very smart darasani.
Hajawahi kuongea mambo ya maana zaidi tu ya mipasho kila anapopata nafasi huwezi pata maneno ya hikma kwake. Sijui ni kwa nini. Muda wote anacheka cheka tu.
Kikwete ni mpigaji ananufaika na mfumo wa hovyo uliopoTambo zakusifu na kumlaza Mzee Msuya zilifika mahali Rais JK akawananga wanao itisha press conference.
Huku mama akifurahi jambo hakulifaham nikuwa uwenda ile ilikuwa kutia mafuta ya petrol kwenye mzigo wa maboom uwanja msiba umebadilika na sasa wanakidon wanaona majibizano mazito na yakutisha ktk black screen.
Mwanafalsafa mmoja aliwahi sema some time usiende pigana vita huna masilahi nayo maana itakuletea hasara ambayo huwezi kuilipa na vidonda visivyo pona.
Angekaa kimya hii imeenda kuleta ugumu na vita nyingine ya siri ndani ya chama. Wazee hawajibiwi wala siginwa. Hayo ni mawazo yangu.
Dunia ingekuwa sehemu salama. Wachawi huua wenzao wabaki wao.Wachawi walishakufa
Huyu ni mzaramo aliyechangamka tu ni kawaida kwa mswahili kuwa mnafikiHajawahi kuwa serious kabisa huyu mzee. Unaweza ukakosa akili za darasani lakini busara hii haihitaji uwe very smart darasani.
Hajawahi kuongea mambo ya maana zaidi tu ya mipasho kila anapopata nafasi huwezi pata maneno ya hikma kwake. Sijui ni kwa nini. Muda wote anacheka cheka tu.
Kinabebwa na wenye bundukiHiki kizee kinafiki sana, damu ya Magufuli inamtesa sana