Jana licha ya kuhubiriwa ujumbe wa neno la Mungu na askofu Malasusa kuhusu viongozi kutafuta kuwa na amani na watu wote,bado Kwa huyu liingia sikio hili na kutokea sikio hili. Naomba Mungu hukumu ya Mungu iharakishwe kwa watu hawa.Mzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana).
Naona hili jiwe karusha moja kwa moja kwa Mzee Jaji Warioba kwani amekuwa mwiba mkali kwa kuzikosoa Serikali zinapofanya mambo ya ovyo.
Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu Mzee Warioba. Hatutaki wazee wastaafu wanaokaa kimya na kusifia tu bila kukosoa.
Pia soma > Mzee Msuya: Jaji Warioba kafanya Kazi kubwa ya kukusanya maoni ya Wananchi, BMK likatumia fedha nyingi na mwisho wa Siku hawana Katiba Mpya
ITv jana saa2 usiku, alivoanza tu kusema hakuwahi itisha presi...ikakatwaTV ama redio ipi ilifanya hivyo?
Mjinga wewe!Msonga mbona amesema vizuri tu.
Mzee CD Msuya alikua hasubiri hata kuitwa anaomba kuonana na Rais anawaeleza strength zao na mambo yao ya hovyo.
Sasa huyu mnywa WILD KONYAGI (aka GONGO)anashindwa nini kuomba kuonana na Rais akamwaga nyongo zake kama sio kuwashwa washwa?
Mipasho au jiwe limetua kunako haswa, Baba June, nakuomba achana na hizi siasa za wakati huu zisizo na adabu, pls my father, labda sijui mama ampe Uwenyekiti wa bodi fulani au.Hajawahi kuwa serious kabisa huyu mzee. Unaweza ukakosa akili za darasani lakini busara hii haihitaji uwe very smart darasani.
Hajawahi kuongea mambo ya maana zaidi tu ya mipasho kila anapopata nafasi huwezi pata maneno ya hikma kwake. Sijui ni kwa nini. Muda wote anacheka cheka tu.
Mtata sana huyu jamaa hadi ku-influence michakato isiyo rasmi ndani ya CCM ya kuwapata wagombea urais.Mzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana).
Naona hili jiwe karusha moja kwa moja kwa Mzee Jaji Warioba kwani amekuwa mwiba mkali kwa kuzikosoa Serikali zinapofanya mambo ya ovyo.
Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu Mzee Warioba. Hatutaki wazee wastaafu wanaokaa kimya na kusifia tu bila kukosoa.
Pia soma > Mzee Msuya: Jaji Warioba kafanya Kazi kubwa ya kukusanya maoni ya Wananchi, BMK likatumia fedha nyingi na mwisho wa Siku hawana Katiba Mpya
Inamsaidia kuiba bila kukamatwampuuzi, anaitetea serikali kwa vile ukoo wake mzima uko serikalini
exactly!Inamsaidia kuiba bila kukamatwa
We kwl ni zombieMzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana).
Naona hili jiwe karusha moja kwa moja kwa Mzee Jaji Warioba kwani amekuwa mwiba mkali kwa kuzikosoa Serikali zinapofanya mambo ya ovyo.
Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu Mzee Warioba. Hatutaki wazee wastaafu wanaokaa kimya na kusifia tu bila kukosoa.
Pia soma > Mzee Msuya: Jaji Warioba kafanya Kazi kubwa ya kukusanya maoni ya Wananchi, BMK likatumia fedha nyingi na mwisho wa Siku hawana Katiba Mpya
We mbwa kamfuate huyo mshamba wako km umeumia sana kufa kwake, Kikwete anahusikaje na kifo chake, vijana wa sk hz mbn wapumbavu sn? Bd mnamtafuta mchawi?Hiki kizee kinafiki sana, damu ya Magufuli inamtesa sana
Asante sana kwa taarifa!ITv jana saa2 usiku, alivoanza tu kusema hakuwahi itisha presi...ikakatwa
Acha ujinga! Mheshimiwa John Magufuli alikuwa mgonjwa wa moyo tangu akiwa mwanafunzi halafu kifo chake uamini eti kuna mkono wa mtu? Kwani kuna wangapi wanakufa hadi uone Magufuli hakufa kifo cha kawaida?Hiki kizee kinafiki sana, damu ya Magufuli inamtesa sana
Na wewe utakuwa mshiriki, damu ya Magu nawe itakufuata.Acha ujinga! Mheshimiwa John Magufuli alikuwa mgonjwa wa moyo tangu akiwa mwanafunzi halafu kifo chake uamini eti kuna mkono wa mtu? Kwani kuna wangapi wanakufa hadi uone Magufuli hakufa kifo cha kawaida?
Mshamba ni huyo mumeo ambaye ameshindwa kukupa mimba kila siku uko kwa waganga, njo kwangu uone baada ya wiki tu unaanza kula embe mbichi bwege wewe na mume wako.We mbwa kamfuate huyo mshamba wako km umeumia sana kufa kwake, Kikwete anahusikaje na kifo chake, vijana wa sk hz mbn wapumbavu sn? Bd mnamtafuta mchawi?
Eti nini?.Kwamba aliyeruhusu mchakato wa katiba mpya amemnanga mwenye rasimu. UKAKASIš¤Mzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana).
Naona hili jiwe karusha moja kwa moja kwa Mzee Jaji Warioba kwani amekuwa mwiba mkali kwa kuzikosoa Serikali zinapofanya mambo ya ovyo.
Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu Mzee Warioba. Hatutaki wazee wastaafu wanaokaa kimya na kusifia tu bila kukosoa.
Pia soma > Mzee Msuya: Jaji Warioba kafanya Kazi kubwa ya kukusanya maoni ya Wananchi, BMK likatumia fedha nyingi na mwisho wa Siku hawana Katiba Mpya
Hapa JK amekosea sorry. Hana mamlaka yakumnyooshea kidole MzeeMzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana).

Yesexactly!