pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
Huyu mstaafu mtu wa madili dili ndo maana hapendi kukosolewa wakati wake na kwa vibaraka wake waliopo madarakaniMzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana).
Naona hili jiwe karusha moja kwa moja kwa Mzee Jaji Warioba kwani amekuwa mwiba mkali kwa kuzikosoa Serikali zinapofanya mambo ya ovyo.
Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu Mzee Warioba. Hatutaki wazee wastaafu wanaokaa kimya na kusifia tu bila kukosoa.
Pia soma > Mzee Msuya: Jaji Warioba kafanya Kazi kubwa ya kukusanya maoni ya Wananchi, BMK likatumia fedha nyingi na mwisho wa Siku hawana Katiba Mpya
Kila mtu ana Tabia yake kwa kweli,hatuwezi kuwa sawa na haongei pumba ni hoja!Sio issue kila mtu ana utaratibu wake wa maisha...........
Huyu mzurulaji ndiye mjinga namba moja aliyewahi kuwa kiongozi wa nchiMzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana).
Naona hili jiwe karusha moja kwa moja kwa Mzee Jaji Warioba kwani amekuwa mwiba mkali kwa kuzikosoa Serikali zinapofanya mambo ya ovyo.
Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu Mzee Warioba. Hatutaki wazee wastaafu wanaokaa kimya na kusifia tu bila kukosoa.
Pia soma > Mzee Msuya: Jaji Warioba kafanya Kazi kubwa ya kukusanya maoni ya Wananchi, BMK likatumia fedha nyingi na mwisho wa Siku hawana Katiba Mpya
Jana ulisikia hotuba ya yule mtoto wa CD aliyeko Japan?Vipi kwa waliosoma na hawana ajira nahisi hapo utaanza kumuelewa mtoa mada
Moja ya viongozi wastaafu wapumbavu waliobaki kwenye hii inchiMzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana).
Naona hili jiwe karusha moja kwa moja kwa Mzee Jaji Warioba kwani amekuwa mwiba mkali kwa kuzikosoa Serikali zinapofanya mambo ya ovyo.
Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu Mzee Warioba. Hatutaki wazee wastaafu wanaokaa kimya na kusifia tu bila kukosoa.
Pia soma > Mzee Msuya: Jaji Warioba kafanya Kazi kubwa ya kukusanya maoni ya Wananchi, BMK likatumia fedha nyingi na mwisho wa Siku hawana Katiba Mpya
Huyu nae km mstaafu aliyebaki naona imekua shida, ngoja tumuombee Mungu tu sasaMzee Kikwete akitoa neno katika msiba ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, amesema Mzee Msuya hakuwahi kuitisha waandishi wa Habari na kuanza kuisema Serikali inafanya mambo ya ovyo (Walio msibani wameshangilia sana).
Naona hili jiwe karusha moja kwa moja kwa Mzee Jaji Warioba kwani amekuwa mwiba mkali kwa kuzikosoa Serikali zinapofanya mambo ya ovyo.
Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu Mzee Warioba. Hatutaki wazee wastaafu wanaokaa kimya na kusifia tu bila kukosoa.
Pia soma > Mzee Msuya: Jaji Warioba kafanya Kazi kubwa ya kukusanya maoni ya Wananchi, BMK likatumia fedha nyingi na mwisho wa Siku hawana Katiba Mpya
Acha tumuombe Mungu tu, aingilie kati tubaki wenyeweHiki kizee kinafiki sana, damu ya Magufuli inamtesa sana