Zanzibar 2020 Mzee Kikwete: Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio Rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi...

Zanzibar 2020 Mzee Kikwete: Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio Rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi...

Hahahaa.. hawa marais wawili ipo siku watapigana ngumi live.

Ni suala la muda tu JK vs JPM ... Mkwere hii case bado mbichi aisee
Hapa ujumbe umelengwa kwa Jiwe ni: ''kiko wapi sasa na ujuaji wako, ona maji yamefika shingoni unahaha kila kona jinsi ulivyokaliwa shingoni'' Kikwete anajua kabisa Magufuli yuko kwenye wakati mgumu sana kwenye huu uchaguzi.

BTW Sipati picha Kikwete anapokuwa amekaa na inner circle yake sehemu wanapiga story... (assume na milango imefungwa na hakuna ''mmbea'' karibu), wanavyovunjika mbavu kwa kucheka jinsi Jiwe alivyobanwa mbavu hasa wakikumbuka alivyoanza kwa mikwala ya kuwaumu waliotangulia kuwa walikuwa wameharibu nchi
 
Manajaribu kuwafitinisha viongozi wetu ila mkae mkijua CCM NI IMARA KULIKO JANA.

OCTOBER 28TH NI USHINDI WA KISHINDO KWA JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amewataka wazanzibar wamchague Dr Hussein Mwinyi kwani ni mwanaccm wa kweli.

Kikwete amesema Dr Mwinyi siyo mtu wa makeke wala hapendi mbwembwe tena siyo mtu wa kujimwambafy mwambafy na hizo ndio sifa za kiongozi makini.

Source Watetezi tv

Maendeleo hayana vyama!
Na yule anayejimwambafy kuwa yeye ni jiwe je?!
 
"Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi, kujimwambafai mwambafai kwingi, kujitutumua kwingi, kuona wengine hawana maana,lakini Dkt. Mwinyi hana hiyo, isitoshe ni mwana CCM ambaye imani yake haina chembe ya shaka"View attachment 1611755
Yale maisha bora kwa kila mtanzania alitufikisha wapi ? Awache mzaha kakosa mvuto .
 
"Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi, kujimwambafai mwambafai kwingi, kujitutumua kwingi, kuona wengine hawana maana,lakini Dkt. Mwinyi hana hiyo, isitoshe ni mwana CCM ambaye imani yake haina chembe ya shaka"View attachment 1611755
Masimango ya lalasalama....!!!
 
Back
Top Bottom