Uchaguzi 2020 Mzee Kikwete: Ninakopanga sijafukuzwa

Cha ajabu ana shauku ya maendeleo yenye kasi kwa kuumiza watu wengine lkn yeye,familia yake na marafiki zake wala hua hawaumizwi na kasi hio ya maendeleo.
sasa ivi anawataja na majina kabixa kwamba flan na flan karibun tile mfano Gwajimaaaaaaa
 
Tumieni vizuri sanduku la kura.....haya yatapungua!
 
Alizungumza katika hali ya kutania ili wanaojenga waweze kwenda na speed sahihi na ndio maana alisisitiza wajenge kwa utulivu wasije wakalipua na kuanza kufanya maintenance ya mara kwa mar.

Ni wajibu kuwatunza wazee wetu hata wewe utazeeka.

October 28th tujitokeze kwa wingi kwenda kumpa kura ya ndio JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ukiwasikiliza Magufuli na Kikwete utaona style mbili tofauti za uongozi.
 
Ukiwa na uwezo mdogo wa kufikiri unaweza usielewe kauli za wanasiasa.
 
Huna pointi,acha ulalamishi usio na maana
 
Umenikumbusha kwenye kula za vyama vingi , mwalimu Nyerere aliwapa wachache kwa sababu alijua wengi hawana akili zaidi wanafuata mikumbo tu ni wachache

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni aibu sana, hii nchi kumbe bado ina wajinga wengi sana. kama mawazo ya watz wengi ni kama michango iliyomo humu, basi bado tuna safari ndefu kufikia Taifa Kubwa. Bado tutaendeea kuburuzwa na mazezeta maana na wengi wetu bado ni mazezeta.
 
Waacha wa Bara povu liendelee kuwatoka kwa kutokujua kuchanganua tungo tata!
 

Issue ya kupanga alivyosema nilijua nimesikia vibaya.
 
“Apewaye huongezewa”.

Bado ukabaila ndio mfumo bora wa kuwatawala na kuwanyonya wajinga!
 
Huenda alizuga tu, hakupenda jinsi walivyojianika vile hali maisha ya wananchi ni duni mno hususani makazi kwa watumishi wa umma waliopo kazini na waliostaafu. Unavyofahamu ndivyo wengi wetu tunavyofamu pia.
 
Duh
Nchi hata ikipata natural disesters mwisho wasiku jicho na masikio kwa Rais atasemaje hakika ni kazi ngumu usiku hulali ni kupitia pitia vitu kidogo uwe na ufaham wake kiundani ni kazi
 
Mada nyingine kuchangia ni kujipa stress zisizo na sababu, ngoja ni some tu hapa comments
 
Yaani ninyi mnatuona sisi Watanzania Mazombi aiseee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…