Uchaguzi 2020 Mzee Kikwete: Watu wanasema Mama Salma kaachwa ndio sababu anahangaikia Ubunge, nasema wapuuzeni

Uchaguzi 2020 Mzee Kikwete: Watu wanasema Mama Salma kaachwa ndio sababu anahangaikia Ubunge, nasema wapuuzeni

Pipa na funiko mnapongezana kizembe zembe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
H aha haaa! Mwaka huu hakuna rangi ambayo hamtaiona...!! Lissu nasikia katoa pasi 'mkaa' tena leo kwa watanzania alipokuwa anaongea na wahariri wa vyombo vya habari! Pia kagoma kukanusha kuwa anatumwa na 'mabeberu' ! Kaweke hali ya hewa sawa kule vinginevyo, atapata kura sifuri mwezi ujao. ha haaaa!
 
Mwenye bahati habahatishi. Hongera kwake Salma Kikwete
Come on now mzee baba, we as CHADEMA have survived the past 20+ years under extreme oppression under every single president of this country. We know Voting Meko out will not change our condition. But again No President from the Green will change our condition to the better, therefore We must change the ruling system or suffer the consequences later.
 
H aha haaa! Mwaka huu hakuna rangi ambayo hamtaiona!! Lissu nasikia katoa pasi 'mkaa' tena leo kwa watanzania alipokuwa anaongea na wahariri wa vyombo vya habari! Pia kagoma kukanusha kuwa anatumwa na 'mabeberu' ! Kaweke hali ya hewa sawa kule vinginevyo, atapata kura sifuri mwezi ujao. ha haaaa!
Lissu ndiye rais wako wa awamu ya sita, hutaki rudi kwenu koromije.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reserved for future reference! Ha ha haa!
Huyu ndiye rais wako wa awamu ya sita
photo%20266%2012-18-0.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhhhhh!!! Kwahiyo mkuu kwa sasa kwa huyo magufuli unayempenda HAKI kwa wote ipo?! Kweli kama ulivyosema, sitokuja kukuelewa!
haki kwa wote unayoitaka utaipata wapi mkuu? amerika kwenyewe ilikoanzishwa mifumo hii ya utawala wa sheria na haki bt bado kuna ujinga mwingi, hapa tunachoangalia ni unafuu wa mambo, mungu mwenyew ambae ni mkamilifu bt bado analaumiwa kwa kuumba tajiri na maskin, vilema, vipofu na nk.. sembuse magu ambae ni binadam? kwa kiasi chake magu kasawazisha mambo.
 
Mke wa Yoweri Mseveni ni mbunge na waziri bwashee!

Aliteuliwa kuwa MBUNGE kisha akapewa UWAZIRI (MKE WA MSEVENI)

"FIRST LADY" kuhangaika na UBUNGE ni UROHO WA MADARAKA NA KUDHALILISHA IKULU.

JE, MHE. KIKWETE ANAWEZA KUGOMBEA AU KUTEULIWA KUWA MBUNGE?

MAMA SALMA ALITAKIWA KUWA MSHAURI WA CHAMA ANACHOKIAMINI.
 
Akiwa katika mkutano ulioongozwa na Makamu wa Rais mama Samia Suluhu huko Mchinga Lindi, Rais mstaafu ameongea kiutani kuwa

"Watu walikuwa wanasema mama huyu [Salma Kikwete] kaachwa ndiyo maana anahangaikia Ubunge. Nyie shemeji zangu mnataka kuninyang'anya mke? Mie sijamuacha."


Maendeleo hayana vyama!
Namkubali sana JK na ndiyo Rais wangu bora tangu uhuru maana ktk uongozi wake aliyagusa maisha yangu direct, ila kumuacha mkewe kuzulula jimboni sijapenda kabisa
 
Akiwa katika mkutano ulioongozwa na Makamu wa Rais mama Samia Suluhu huko Mchinga Lindi, Rais mstaafu ameongea kiutani kuwa

"Watu walikuwa wanasema mama huyu [Salma Kikwete] kaachwa ndiyo maana anahangaikia Ubunge. Nyie shemeji zangu mnataka kuninyang'anya mke? Mie sijamuacha."


Maendeleo hayana vyama!
Huyu mama atakuja kumuacha huyu mzee sababu ya tamaa ya madaraka
 
Back
Top Bottom