Mwakyembe hajui Soka, unakumbuka alisema nini kuhusu wachezaji wakigeni na jana akasema nini?Huyu Mzee Kilomoni alichotaka kusema ni mwendelezo wa alichosema mwakyembe jana,inasemekana alionana naye kwanza waziri akampa ABC ndiyo maana jana kaja na hoja ya asilimia 49 iwe na angalau na watu watatu hadi saba,so bado issue itakwama tu
Mwakyembe hajui Soka, unakumbuka alisema nini kuhusu wachezaji wakigeni na jana akasema nini?
.
Huyu anataka kutuharibia Soka letu na kuirudisha nyuma Simba yani Yanga iliko anataka turudi huko.
.
Magufuli amtumbue huyu
hawa ndio wale wanaotegemea kuishi kwa kutegemea klabu. Wanapoona hawana maslai wanatoka povu.Kutoka hapa block 41 mzee Kilomoni amekamatwa na Polisi na ameahidi kurejea baada ya dakika 5 lakini amepakiwa kwenye gari la Polisi kwa sababu zilizoelezwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
.
Msumari wa moto unataka kumgeukia
hawa ndio wale wanaotegemea kuishi kwa kutegemea klabu. Wanapoona hawana maslai wanatoka povu.
Kabisa, sasa hivi fedha zote ziko monitored
Hili ndio jambo la msingi, mambo ya Mzee Akilimali aliyokuwa akiyafanya enzi za Manji alivyoondoka klabu ikadorora hailipi wachezaji fedha hakujitokeza hata mara moja kusaidia klabu.Angeshirikiana na wenzake angekuwa na heshima kubwa na club ingemwenzi, na wala hata wasingemtupa,sasa hivi akishindwa hapo kwanza anafutwa uanachama na hana lolote,too bada!
Ha ha ha kweli mzee K ni K!Kutoka hapa block 41 mzee Kilomoni amekamatwa na Polisi na ameahidi kurejea baada ya dakika 5 lakini amepakiwa kwenye gari la Polisi kwa sababu zilizoelezwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
.
Msumari wa moto unataka kumgeukia
Anadhani hizo tofali za kujengea ofisi za klabu alibeba peke yake.Mzee simba haipo kukutajirisha wewe wakati hujaweka chochote klabuni
Halafu waraka wenyewe umehusisha mambo ya kushindiliana misumari ya moto ndo maana wenzake wamemtumia bundukiHata yeye kama mstaafu inawezekana ametoa waraka kwa kutumia nembo ya Simba...tehtehtehtehtehteh
huyu mzee shida zake anataka azimalizie SimbaKutoka hapa block 41 mzee Kilomoni amekamatwa na Polisi na ameahidi kurejea baada ya dakika 5 lakini amepakiwa kwenye gari la Polisi kwa sababu zilizoelezwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
.
Msumari wa moto unataka kumgeukia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakampumzishe kidogo tu maana huyo Mzee simwelewi atuache sie na Simba yetu kila siku kanapinga pinga tu sijui kakoje, nngekuwa mimi nakatia ndani hadi akili zimkae sawa, wakwamisha maendeleo ya mpira wetu
Habari yote hii bila picha kweli? Wabongo bhana daaahKutoka hapa block 41 mzee Kilomoni amekamatwa na Polisi na ameahidi kurejea baada ya dakika 5 lakini amepakiwa kwenye gari la Polisi kwa sababu zilizoelezwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
.
Msumari wa moto unataka kumgeukia
Ndo anachopinga kilomoni hicho. Unadhani Stan Kroonke akitoka pale Arsenal timu itatetereka. Mo ni mdhamini au mwekezaji?! Kikubwa taratibu zifuatwe tu kusiwe na upindishwaji wa mambo.Hivi tuwe wakweli tu Mo mara paap kajitoa Simba unafikiri Simba itakuwa wapi au Kilomoni ataisaidia nini Simba?
Zamu yenu Simba kutaabikaKaukalia msumari wa moto yeye mwenyewe. Yanga mko wapi mkamtoe mamluki wenu rumande?