chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Unataka kusema kabla ya mo kuwekeza, simba ilikuwa haiteteleki. Husifananishe arsenal na ujinga ulioko huku kwetuNdo anachopinga kilomoni hicho. Unadhani Stan Kroonke akitoka pale Arsenal timu itatetereka. Mo ni mdhamini au mwekezaji?! Kikubwa taratibu zifuatwe tu kusiwe na upindishwaji wa mambo.
Usilinganishe Arsenal na Simba, timu pekee iliyowahi kuchukua EPL bila kufungwa, Arsenal ni timu ya dunia ya kwanza ina wadhamini na wana hisa wengi kila mtu anaitolea macho.Ndo anachopinga kilomoni hicho. Unadhani Stan Kroonke akitoka pale Arsenal timu itatetereka. Mo ni mdhamini au mwekezaji?! Kikubwa taratibu zifuatwe tu kusiwe na upindishwaji wa mambo.
Hahahahahahahahah.....Mpelekeni kunako stahilu mumtoe na Marinda kabisa,Maaamaae zake mpigeni virugu vya kutosha mpaka magoti yageukie magharibi, Ajuza hilo lisilokuwa na haya.
Makonda kawatuma vijana wake,ila kama Simba wako smart kweli wangemwacha tu Mzee Kilomoni, mbona hawataki aseme?
Ukiona mtu anabana sana freedom of expression,jua kuna mengi yamejificha
Hivi hata nyumbani kwa mtu napo inahitajika kibali?.Kutoka hapa block 41 mzee Kilomoni amekamatwa na Polisi na ameahidi kurejea baada ya dakika 5 lakini amepakiwa kwenye gari la Polisi kwa sababu zilizoelezwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
.
Msumari wa moto unataka kumgeukia
Ngoja wakamtatue marinda atie akili. Huyu na yule mwenzake Akilimali ni wa.kupigwa vita lolote.
Mbona wengine wanafanya press conferences bila kukamatwa? Tena wanafanyia kwenye mahotel ya fahari!View attachment 1162309
View attachment 1162310
Khamis Kilomoni aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Klabu ya Simba amekamatwa leo kwa tuhuma za kuitisha kusanyiko nyumbani kwake bila kibali
Leo Julai 25, 2019, Mzee Kilomoni aliitisha mkutano na Waandishi wa Habari, nyumbani kwake maeneo ya Kinondoni Jijini Dar
Hata hivyo Askari wa Jeshi la Polisi walifika na kumchukua kabla ya mkutano huo na Wanahabari kuanza
Hivi karibuni Mzee Kilomoni aliingia kwenye mgogoro na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji
VURUGU? Tengua kauli mtoto...Mzee wetu hana vurugu.Hivi hata nyumbani kwa mtu napo inahitajika kibali?.
Sikubaliani na vurugu za mzee kilomoni, na vile vile Sikubaliani na vurugu za police
Mwakyembe huyu wewe muache tuu.hawa watu ndio wanao mpa kichwa mzee kilomoni.Anayeleta siasa kwenye michezo mi naona ni mwakyembe bora ang'olewe kabisa. Kutuvuruga vichwa wakati tunataka kupeperusha bendera ya Tanzania Africa nzima sio sawa kabisa
Ikishuka we utafaidika Na nini acha roho za kichawiNatamani Mo ajitoe nione Simba itafika wapi kama hata dola elfu 10 za kumlipa Vieira watakuwa nazo natamani ishuke kuliko mbao
Sikujua huyu mzee ana nguvu kiasi hiki. Nilikuwa namchukulia poa.Amekatwa na jeshi la polisi,waandishi pia wamezuiwaView attachment 1162260
Sijasema hivyo kwa roho mbaya nimeandika hivyo kwa uchungu sana, inawezekanaje timu ianze kupata mafanikio anajitokeza mtu wa kuturudisha nyuma ambaye hana mbele wala nyuma?Ikishuka we utafaidika Na nini acha roho za kichawi
Nashangaa pia, namfahamu mtu mmoja anajiita commando mashimo, yeye huita mikutano ya waandisha atakavyo na sidhani kama huwa anaomba kibali polisikuita waandishi wa habari mpaka kibali?
Mzee Kilomoni anaweza kupewa kesi ya uchochezi unafahamu hilo?Hivi hata nyumbani kwa mtu napo inahitajika kibali?.
Sikubaliani na vurugu za mzee kilomoni, na vile vile Sikubaliani na vurugu za police
Athari za mikutano yake na waandishi wa habari ni zipi?Nashangaa pia, namfahamu mtu mmoja anajiita commando mashimo, yeye huita mikutano ya waandisha atakavyo na sidhani kama huwa anaomba kibali polisi