Traffic wa Dar hadi kuna upatu wanacheza Kupeana hela laki moja kila siku chukulia wako 40 kila siku mtu anataka na milioni nne kila siku mwenye zanu yake hiyo ni nje ya Rushwa anayokusanya over and above hiyo laki moja ya upatu.Walipiaji huo ujinga madereva na wamiliki wa magari kwa Rushwa wanazoombwa na hao Traffic
Hili swala na Takukuru wahusishwe ni.mbinu gani ifanyike kukomesha for good Rushwa za traffic. Kunatakiwa kuangalia mifumo ya kazi na hiyo sio kazi ya polisi pekee. Utumishi wahudishwe Takukuru wahusishwe,vitengo vya Tehama vihusishwe Usalama wa taifa wahusishwe ,Tanroads ,wizara ya Uchukuzi ihusishwe na wamiliki wa magari ya biashara na binafsi wahusishwe na uombwe msaada wa wawakilishi toka nchi ambazo zina uzoefu wa kudhibiti Tatizo la Rushwa kwa traffic police
Waongozwe na kamati ile aliyounda Raisi kuabgalia utendaji wa majeshi.Polisi Traffic kwenye hiyo kamati wasiwemo