Mzee Kinana, trafiki wengi wako barabarani kwa vile kuna pesa zisizo na jasho. Nini kifanyike?

Kiukweli wamekuwa wengi Hadi kero, Mimi nashauri wavalishwe magwanda ya kaki wakapambane na uhalifu
 
Umeongea fact mkuu
 
Kijana ni mtu mkubwa ndio ila sio muadilifu wa kukemea akaaminika
 



Lakini walikuwa wanasaidia kuondoa foleni za magari.

Sema wengine wamekuwa waki miss use hizo nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…