Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
- Thread starter
-
- #101
KweliNchi hii siyo traffic tu
Kila mtu anakula sehemu yake
Kuna wazee wa OSHA,kuna TBS,TRA,kuna jamaa wa misitu TFS
Kuna TFDA,
Mfano ukikutana na osha wakivamia
Hko viwandani rushwa zao kuanzia laki tano hadi mamilion...sema ttz hao hamuwaoni....
Traffic anaonekana kwa sababu kila siku yuko Road
Ova
Sio kweli.Hata hzo taa mkikagua hata kama hakuna taa.. utapewa buku5 utamwacha aende so.. ni mule mule tu
Hatujafukuzwa tumeingiliwa kwenye taaluma yetu.Kwani mmefukuzwa kazi, acha upimbi.
Sawa ahsante kwa yote ndugu yangu.Mlizidii bwanaa japo mmeondolewa wengi zaidi na naona walioachwa ni wale wenye hekima,wale waliokua wanaona hz barabara za baba zao wapelekwe ht idara ya usafi uko hq,mlituonea sanaaa[emoji57]
Unajua sheria za nchi? Anayetoa na kupokea rushwa wote ni wahalifu.Askari polisi wote ni wahalifu waliohalalishwa.Mnapokea mno rushwa na mpaka Sasa mmeifanya rushwa kuwa kama haki yenu.Trafiki,wapelelezi wa kesi mpaka mabosi wenu.
NALINDA RAIA NA MALI ZAO, USIKU WEWE UMELALA NA DEMU WAKO HUKU UNATUKANA POLISI, SISI TUNAKULINDA.Vipi umepangiwa kulinda Benki au kwa mkuu wa wilaya?? [emoji12]
Tanzania Kila Mtu ni dereva. Halafu anatokea Mtu kiujumlajumla anawatetea wote hata hao wanaoendesha matrekta usiku bila taa. Na ukiangalia eneo ilipotokea ajali Hakuna traffic, yaani ni Uhuru wa Manyani.Japo ni kweli mnlikuwa na changamoto zenu na pia kupenda sana ela ila kwenye sula la usalama barabarani bado kuna shida kubwa saana yaani tanzania bora tu ujue kuendesha gari hayo mengine kila mtu anatumia utashi na akili zake, jifunzeni kutoka hata rwanda mbona hana ajali za kipuuzi kama tanzania
Nyie endeleeni kuchukua hela tu hyo 2000,5000Kweli
Kwa maana nyingine ni kwamba, kila baada ya km 4, unasimamishwa na trafiki kwa ajili ya ukaguzi wa gari!Hamjakatazwa kukagua magari Ila mlikuwa Wengi mpaka mnachelewesha safari .Unatoka Bunju kwenda Mbagala hapo hapo Bunju unakaguliwa ,boko Tena Tegeta Tena Mbezi Tena ,Mwenge Tena, Mawasiliano Tena,Buguruni Tena,Uhasibu Tena kwa Aziz Ally Tena ,Mission tena na Zakhem Tena. Yaani 40km unakaguliwa Mara 10
Sawa hatukuwa na lolote zaidi ya kupokea rushwa, futeni kitengo kabisa.
Kuna stori yako moja.....Kuna police alikuweka ndani baada ya gari lako kupata majangaPole sana, unaandika kwa hisia hadi sauti inasikika.
Wako askari waadilifu na wasio waadilofu.
Wasio waadilifu kwenye sekta ya usalama barabarani ndo wamebeba hulka kuwa askari wote wa barabarani ni wasumbufu, wala rushwa etc.
Kuna stori yako moja.....Kuna police alikuweka ndani baada ya gari lako kupata majanga
Sasa hiyo ajali ndio unataka kuitumia kama ngao ?Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.
Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Jamaa ananyoosha mkono tu juu kama anachuma machungwa vile 😕