Mzee Kinana Umetukataza Kukagua Taa za Magari Mchana, Sawa Tumekuelewa

Nilisema humu, Jeshi la Polisi halitakiwi kuingia kwenye 18 za mtu kama KINANA ambaye sio mtu wakuaminika Kwa namna yoyote ile.

KINANA alisema jambo, Bali ujue nyuma yake Kuna namna fulan ya kufaidika.

MADAWA YA KULEVYA yamekamtwa sana kwenye magari sababu ya ukaguzi wa Matrafiki wa Mara Kwa mara

Ni ngumu kutoa Rushwa Kwa Kila Askari unayekutana naye na Kila Askari akapokea

KINANA ,ALIPASWA KUPUUZA.

Ninshindwa kuelewa kwanini CCM inakua nanguvu juu vyombo vya Dola namna hii.

KATIBA MPYA INAHITAJIKA .
 
Hii ndio shida ya wabongo. Mtu anaweza toa maelekezo ya jambo kwa nia nzuri ila tu likigusa masilahi yao waliyokuwa wanapata kwa vinjia vya wizi wizi wanafanya komoa kwa kusababisha hasara ili wao waonekane ni muhimu.

Sasa matrafiki walikua wanatumia hizi kaguzi za hovyo hovyo kukusanya njuruku za upatu wanaocheza kila uchao. Wanafanya shughuli zao kwa rushwa iliyobatizwa jina la "Hela ya kiwi" kuendesha maisha yao ya kila siku.

Sasa unajiuliza unapofanya hivyo kama traffic officer na umekula kiapo cha kulinda usalama na mali za raia barabarani, unakuwa unamkomoa nani?!
 
Askari Polisi kwa sehemu kubwa wamejawa na tamaa , nahisi wana pepo flani. Mtu akishakuwa askari polisi hata kama ndugu yako ukipata janga kule lazima akupasue mfuko

Ndugu zangu Polisi ni waadilifu, labda kama wanachukua Rushwa kwa watu baki.

Swahiba mmoja nae namfahamu yuko poa tuu (huyu alinifundisha kula msuba...)!
 
Msuba ni halali kwa mujibu wa jamuhuri?
 
Elimu tunatoa sana, tatizo mnatuona sisi ni vilaza na wala rushwa unamsimamisha mtu unampa elimu yeye anakupa elfu 5 hujamwomba ila ameamua tu anaona kama unamsumbua vile Sasa mtu kama huyo wewe ungemsaidiaje?
Hahahahah kangomba kweli ww yani umsimamishe mtu halafu umuache hivi hivi? Haiajwahi tokea labda kwa polisi wa Norway
 
Ndio maana nimesema trafiki ninaowafahamu Mimi hawakagui magari, wanakusanya tu hela barabarani, halafu bwege mmoja anasema nimekaririshwa
Huyo kachanganyikiwa, alikua wakwanza kupokea upatu ghafla kapangiwa kulinda bank.
 
Nilisema humu, Jeshi la Polisi halitakiwi kuingia kwenye 18 za mtu kama KINANA ambaye sio mtu wakuaminika Kwa namna yoyote ile.

KINANA alisema jambo, Bali ujue nyuma yake Kuna namna fulan ya kufaidika.

MADAWA YA KULEVYA yamekamtwa sana kwenye magari sababu ya ukaguzi wa Matrafiki wa Mara Kwa mara

Ni ngumu kutoa Rushwa Kwa Kila Askari unayekutana naye na Kila Askari akapokea

KINANA ,ALIPASWA KUPUUZA.

Ninshindwa kuelewa kwanini CCM inakua nanguvu juu vyombo vya Dola namna hii.

KATIBA MPYA INAHITAJIKA .
Serikali ni Mtoto wa Chama tawala hivyo Chama NI kikubwa kuliko dola
 
Elimu tunatoa sana, tatizo mnatuona sisi ni vilaza na wala rushwa unamsimamisha mtu unampa elimu yeye anakupa elfu 5 hujamwomba ila ameamua tu anaona kama unamsumbua vile Sasa mtu kama huyo wewe ungemsaidiaje?
Mrudishie hiyo pesa, mpe onyo kutokana na kosa lake, next time mkumbushe kosa mpige fine, madereva wengi hususani wa biashara wanapita Zilezile karibu mwaka mzima mnawafahamu. Lakini sio kumuona kma mhalifu. Dereva unamuona trafiki unaogopa kma umeshajua hukumu Yako.[emoji24][emoji24]. Wengi humu ni nduguzenu kwa namna moja au nyingine tunatafuta riziki.. tubebeni tujue nyie ndio kimbilio letu maisha magumu.
 
Ushauri mwingine serikali iboreshe maslahi ya Trafick vinginevyo rushwa haitaisha wanalipwa mshahara mdogo halafu eti akatae rushwa huo ni uongo
 
Hii ndio shida ya wabongo. Mtu anaweza toa maelekezo ya jambo kwa nia nzuri ila tu likigusa masilahi yao waliyokuwa wanapata kwa vinjia vya wizi wizi wanafanya komoa kwa kusababisha hasara ili wao waonekane ni muhimu.

Sasa matrafiki walikua wanatumia hizi kaguzi za hovyo hovyo kukusanya njuruku za upatu wanaocheza kila uchao. Wanafanya shughuli zao kwa rushwa iliyobatizwa jina la "Hela ya kiwi" kuendesha maisha yao ya kila siku.

Sasa unajiuliza unapofanya hivyo kama traffic officer na umekula kiapo cha kulinda usalama na mali za raia barabarani, unakuwa unamkomoa nani?!
Hujui tu ndugu yangu.
 
Nilisema humu, Jeshi la Polisi halitakiwi kuingia kwenye 18 za mtu kama KINANA ambaye sio mtu wakuaminika Kwa namna yoyote ile.

KINANA alisema jambo, Bali ujue nyuma yake Kuna namna fulan ya kufaidika.

MADAWA YA KULEVYA yamekamtwa sana kwenye magari sababu ya ukaguzi wa Matrafiki wa Mara Kwa mara

Ni ngumu kutoa Rushwa Kwa Kila Askari unayekutana naye na Kila Askari akapokea

KINANA ,ALIPASWA KUPUUZA.

Ninshindwa kuelewa kwanini CCM inakua nanguvu juu vyombo vya Dola namna hii.

KATIBA MPYA INAHITAJIKA .
Ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom