Ahahahaaaa 😅...Sawa hatukuwa na lolote zaidi ya kupokea rushwa, futeni kitengo kabisa.
Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.
Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Mnakera Sanaa, ondokeni tu na kuilinda Bank nayo ni sehemu ya kazi zenuBaada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.
Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Msirudi barabarani, kagueni nafsi zenu za rushwa kwanza.Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.
Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
100% wakafie mbele!!!mkafie mbele ya safari, watanzania tumewachoka kwa njaa njaa zenu hizo……………...
Acha uhuni. Endelea kukaa huko huko ulikopangiwa.Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.
Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Hatulalamiki tumeshukuru maana kila mtu alituona kama wezi, wadhulumaji na watu wasiofaa katika jamii bila kujali mchango wetu kwa jamii hata kama ni mdogo.
Asante sana ndugu yangu, tumezoea kutukanwa, ubarikiwe sana wewe mwanadamu. Sisi kima tunatamani uwe na leseni, ufuate sheria na alama za barabarani, uwe na bima kwa faida yako, fire extinguisher, gari liwe zima basi hutaona tuna hangaika nawewe mwanadamu.Badilikeni kima nyie mtu Bongo kuwa na Gari inakuwa kama Adhabu nchi gani hiyo, tena mnatakiwa woote mkalinde benki mtulindie hela zetu shubaaaaaaaaaaaaaaaamittt zenu.
Duh !! Tuliwaambia Madereva wa kisasa lazima waongezewe matrafiki barabarani sio wapunguzwe jamani !!Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.
Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Udereva wetu wa kizamani tulikuwa tunachukua tahadhari zote mpaka zile za magari au za matrekta yasiyokuwa na reflekta!! Lakini madereva wa sasa wanachojua ni kukanyaga mafuta sana na honi nyingi sana !! Lakini kichwani anawaza mambo mengine kabisa sio barabara wala sio vitu vinavyoweza kutokea barabarani!! Mimi naandika haya from my experience nimeendesha sana na nimesafiri sana kwenye highway’s nawajua madereva wote jinsi wanavyoendesha magari yao !! Ndio maana ukichunguza ajali nyingi hufanywa na madereva wenye umri wa miaka chini ya 40 !!Kinachosikitisha ni polisi kuwapa watu leseni bila mafunzo ya kutosha, mtu anaendesha tractor bila tahadhara je ana leseni, power tiller maeneo ya chimala, kibaigwa na kwingineko yanasabisha ajali sana polisi wapo miaka yote, Sasa wanataka kujazana barabarani Kwa vile mzembe ameendedha Gari usiku bila reflectors!? Hii hapana, ningependekeza wazidishwe mafunzo na Sio mafunzo ya kupeaana 5,000/-
Ni bora wale hivyo virushwa uchwara lakini watu wawe salama barabarani !! Vihela vya kiwi !!Asante
Ndio maana huwa tunayalaumu mafisadi papa yanayoiba pesa za serikali maana ndio yanayosababisha kukosekana pesa za kufunga makamera huko barabarani kuwadhibiti madereva wazembe ambao wanaongezeka kila siku !!Kwa teknolojia tuliyo nayo sasa hapa nchini ni lazima tufanye hivyo ila siku tukiwa na uwezo wa kufunga camera za kufuatilia mienendo ya vyombo wala huta sumbuka.
Sio kwa Amerika au UK !!Serikali ni Mtoto wa Chama tawala hivyo Chama NI kikubwa kuliko dola
Wenye akili wamemwelewa Kanali Kinana. Alimaanisha busara na Elimu vitolewe Kwa Nia njema. Ukaguzi ufanyike Kwa Nia njema. Kama ni taa moja imeungua na umebaini Hivyo mwelekeze akanunue nyingine aje aweke aendelee na safari. Sio kumweka Juani halafu akitoa Elfu 10 taa inawaka .Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.
Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
La muhimu ni kuwekeza kwenye Teknolojia .Hatuwezi kulifuta, bali tutawahamisha wooote mkafanye kazi nyingine na huku tutaajili vijana waadilifu, wazalendo na wanaojituma kwenye majukumu yao na maeneo mengine tutawekeza kwenye technolojia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516][emoji3516]Mkuu sema ukweli ukipewa mashine ya faini, ukarudisha bila ya pesa INAKUWAJE kwa wakubwa??
Usema mimi nilikwa natoa onyo kwa madereva na kuwapa elimu..
Lakini pia mifumo ya ajira ndani ya vyombo vya usalama Sio mzuri.Mkuu usikate tamaa, kazi ya Uaskari ni kazi ya wito kama Ualimu na Udaktari na kazi kama hizo.
Tatizo askari huyatumia mamlaka yake zaidi ya kulinda amani ya raia na mali zao., Kwa kuwa akisema 'kaa chini', 'Lete leseni yako', 'Mikono juu' raia hutii.,hayo mamlaka ndio hutumika vibaya...