Mzee Kipara anamiss Safari za nje

Mzee Kipara anamiss Safari za nje

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Mzee Kipara huko alipo Bombuli atakua anakumbuka safari za nje na CHIEF. Mpaka sasa amemiss ile ya;

1. Kagame Inauguration, Rwanda.
2. SADC Summit Zimbabwe,
3. Kenya kwa Odinga AUC
4. China, FOCAC,
5. Washington DC, Marekani UNGA (mwezi September).
6. Miaka 200 ya ufalme wa Lesotho (October).
7. World Food Summit, Rome, Italy (14-18 October).
8. Commonwealth Heads of Government, CHOGM), Samoa.
9. World Food Prize Foundation, Iowa, USA
10. G20, Rio De Jenairo, Brazil.
 
Kipara alipelekewa Naibu Swahiba kuchunguza harakat zake za kuelekea Jumba kuu. Yeye bila kustuka akawa anajiimarisha kikampeni2025 na kupanga Baraza kabisa,
1. DaUmmi PM,
2. Bumunda -Foreign,
3. Byabato - Ujenzi,
4. Molel - Afya.
 
Kumbe Hana akili.
Bumunda na Ile IQ yake (au tuseme tu Bumunda Hana IQ) foreign?
Huko ulaya si angekwenda kusema viongozi wanavyoiba hela za umma.
Oddo PM heheheeeh Tanzania haina watu.
Aiseekumbe kipara Ni mweupe kichwani kiasi hichi.
 
Ule mradi wa maghorofa kule Nairobi umeishia wapi?. Mawazo yake ni pesa tu. Ana tamaa na kudhani wanaomzunguka hawana akili.
 
Back
Top Bottom