Mzee Kipara anamiss Safari za nje

Mzee Kipara anamiss Safari za nje

Kipara alipelekewa Naibu Swahiba kuchunguza harakat zake za kuelekea Jumba kuu. Yeye bila kustuka akawa anajiimarisha kikampeni2025 na kupanga Baraza kabisa,
1. DaUmmi PM,
2. Bumunda -Foreign,
3. Byabato - Ujenzi,
4. Molel - Afya.
Bumunda ndyo yupi?
 
Bumunda ndyo yupi?
MTU ambaye Ni mjinga mjinga na ambaye ubini wake una utata. Ni MTU anaye ongea ongea Sana, Hana Siri, ukifanya naye Jambo sirini jiandae kuumbuka maana Hana kifua Cha kutunza siri. Huyo ndio tunamwita Bumunda. Sio kila mtoto wa single maza Ni Bumunda, wengine ubini wao unafahamika.
 
Kipara alipelekewa Naibu Swahiba kuchunguza harakat zake za kuelekea Jumba kuu. Yeye bila kustuka akawa anajiimarisha kikampeni2025 na kupanga Baraza kabisa,
1. DaUmmi PM,
2. Bumunda -Foreign,
3. Byabato - Ujenzi,
4. Molel - Afya.
Bumunda hata Sentensi mbili za kiimgereza hajui sasa mnamuone tu
 
Back
Top Bottom