Thubutu......!!Baba yake alishasema,, atarudi tena kwenye system!!
Baba luten au😅Baba yake alishasema,, atarudi tena kwenye system!!
Huyo mzee wa mjini hawezi kuishi Bumbuli. Bumbling ni jimbo la kituo cha posh tu.Atakula vumbi la bombuli mpaka ateme bungo
Waliokula maganda wamerudi itakua kipara. Ana backing from very high places.Thubutu......!!
HahaHuyo mzee wa mjini hawezi kuishi Bumbuli. Bumbling ni jimbo la kituo cha posh tu.
HahahaaaaMzee Kipara huko alipo atakua anakumbuka safari za nje na CHIEF. Mpaka sasa amemiss ile ya Rwanda na sasa SADC Zimbabwe.
HakyaMungu!!Thubutu......!!
Kumbe Hana akili.Kipara alipelekewa Naibu Swahiba kuchunguza harakat zake za kuelekea Jumba kuu. Yeye bila kustuka akawa anajiimarisha kikampeni2025 na kupanga Baraza kabisa,
1. DaUmmi PM,
2. Bumunda -Foreign,
3. Byabato - Ujenzi,
4. Molel - Afya.
Acha uwongo, bumbuli hatumii kilevi.Waliokula maganda wamerudi itakua kipara. Ana backing from very high places.
Ila Bumunda kwa ujinga ule wa kuropoka akiwa amelewa rubisi hata chadema iingie ikulu. Asahau.
Bumumda nahisi amemaanisha ngwala a.k.a matamaAcha uwongo, bumbuli hatumii kilevi.
Ule mradi wa maghorofa kule Nairobi umeishia wapi?. Mawazo yake ni pesa tu. Ana tamaa na kudhani wanaomzunguka hawana akili.Kumbe Hana akili.
Bumunda na Ile IQ yake (au tuseme tu Bumunda Hana IQ) foreign?
Huko ulaya si angekwenda kusema viongozi wanavyoiba hela za umma.
Oddo PM heheheeeh Tanzania haina watu.
Aiseekumbe kipara Ni mweupe kichwani kiasi hichi.